Mabasi za dar / mtwara

wakuu, hivi ni basi gani nzuri la kwenda Masasi? na huwa linaondoka saa ngapi kwa dar? natanguliza shukrani
 
2000 tulikwama tukalala matandu pale siwezi kusahau tukaja kuvutwa la liaz kutoka nangurukulu sina hamu napo.
 
Back
Top Bottom