Elections 2010 Mabango ya JK yaliyofichwa

Maisha bora kwa kila mtanzania! Hawa watoto na huyo mwalimu wao ni viherehere vyao!!!!! teh! thh! teh! teh! teh! na wabunge nao wanacheka wote teh! teh! teh! mashangingi yanawangoja bunge liishe wooote waanza misafara ya kurudi Dar, wale wa Mfaranyaki na kiherehere chao cha kutuchagua sisi wa CCM kuwa wabunge wao wakome!!!!! :music:
 
Hata SOMALIA walioko vitani miaka na miaka sio hivi...!

Binti mwenye pink skirt atakuwa the 1st woman presidaa (CCM), mwenye green and Yellow will be the next makamba, waliobaki ni makada. Ee Mungu tuondolee hili zimwi la CCM litoweke na uwaongoze hawa watoto ktk mwanga na afya bora kabisa in their future, bila kusahau wazazi wao ambao mpaka leo badi wana matumaini na CCM uwape ujasili wakusumbua vichwa na kufanya maamuzi haraka kabla hatujafikia pabaya zaidi! na wapate ukombozi kwa kumpigia Dr wa ukweli!!:amen:
 
Hapa kuna taifa la kesho kweli!!! Eeeh MUNGU tuondolee balaa hili (CCM)
DSC01238.jpg

DSC01234.jpg


ELIMU BORA
CHAGUA CCM
CHAGUA KIKWETE
 
Huu ni ushuuda hata kama wanaupuuza kwa kusambaza mabango ya mabilioni ya pesa wakati hizo hela wangezitumia kuboresha elimu kwa hawa watoto wangelikuwa hawana presha kama walionayo.

Mnategemea nini kama taifa linalojengwa na sisiem linakuwa na gepu la maisha kama hili?
Huko tuendako kama sisiem ikiendelea namna hii, hawa ndio watoto watakaojitoa muanga kulikomboa taifa lao na wale wanaoliibia taifa labda wao na vizazi vyao wawe wamehamia majuu maana Tanzania wanakojidai kuna amani kutakuwa hakukaliki!
 
Back
Top Bottom