Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
ELIMU BORA
CHAGUA CCM
CHAGUA KIKWETE
Uvivu ndio unaoiua TANZANIA. Hivi wakati Mkapa alipotangaza kila kijiji chenye uwezo kijenge shule na serikali itatoa mabati, sementi, mbao na walimu, hawa wazee wao walikuwa wapi.
Amini usiamini, katika tarafa ninayotoka zimajengwa shule nyingi mpaka zinakosa wanafunzi. Huwezi kuamini kuwa shule zote za msingi ktk tarafa hiyo zina mkondo mmoja mmoja tu kila darasa. Yaani darasa la kwanza na la pili lina wanafunzi 15 kila darasa.
Maajabu kweli kweli, nguvu ya kuzaa hawa wazee wanazo, lakini ya kufyatua matofali na kukata miti ya kutengeneza madawati hawana, UVIVU!!!
Hawa wazee hawakustahili kuruhusiwa kuzaa hata mtoto mmoja kama mimi ningekuwa mtoa kibali cha kuzaa. Acheni propaganda za kuendeleza uvivu!!!!!!!!!

aliye na raha siku zote hamjui mwenye shida, vinginevyo usingeona hizi kama ni propaganda
Ni propaganda!! Na kama sio propaganda basi ni kuendeleza na kuukubali uvivu.
Ninasababu ya kusema hivi; Unajua ninahuruma sana kwa mtu anayepata shida na hakupata nafasi ya kuondokana na shida zake. Namba mbili ni mtu aliyepoteza bahati zote za kuondokana na shida- Huyu simuonei huruma hata siku moja. Hawa ndio watu wanaotuchelewesha kusonga mbele.
Unajua hata kijiji nitokako tulikuwa katika hali hiyo kablöa ya pesa za Mkapa na Kikwete, lakini sasa hivi kijijini kwetu tunalilia walimu sio majengo na madawati.
Ukweli Tanzania ya leo hii wanafunzi wanalia na ukosefu wa walimu sio mijengo na madawati. Kijijini kwetu kila mtoto akiingia darasa la kwanza ni lazima aje na dawati lake. Kama baba unaweza kumchongea kiti na meza ya kukaa nyumbani mtoto wako, kwanini ushindwe kumtafutia kiti cha kukaa mtoto wako pale shule anapotumia zaodi ya masaa 7, siku 5 kwa wiki.
Eti ninawapenda watoto wangu, ni lazima utafsiri neno kupenda kwa vitendo. Sina huruma na hawa watu hata kidogo, lazima wachangie katika elimu kama hawana pesa basi ni misuli yao ndio inahitajika.

It's all about responsibilities kati ya mzazi na serikali iliyopo madarakani. Responsibility ya mzazi ni kulipa kodi kwa serikali, kuchagua viongozi, nk. Na serikali responsibility yake ni kutumia kodi na mapato mengine kwa ajili ya kuendesha nchi, shule, madawati, walimu vikiwemo.
Pale unapoona kuwa wazazi wanafanya responsibilities za serikali ujue kuwa hiyo ni dalili ya a failed state. Mahali ambapo serikali haifanyi majukumu yake huku vingozi wake wakishiriki kwenye wizi mkubwa wa mali za umma na kuishi maisha ya kifalme.
Kwa hiyo dadaangu nchi haiendeshwi hovyo hovyo kama hii ya kwetu, kuna mgawanyo wa majukumu na hapo ndipo nchi inapokuwa na efficiency na maendeleo yanaonekana.