Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Wameziba masikio pamoja na kelele zote zilizopigwa kwenye hii thread
Lazima wazibe masikio.

Kitu, mtu, taasisi yeyote isiyo na upinzani lazima iwe na kiburi kwa sababu haina accountability.

Tufikirie sasa kufuta monopoly ya Jamiforums kwenye freewheeling cyber space ya Tanzania.

Na tumeshaanza. Haya ma clubhouse na ma podcast yanavyozidi kuchanganya hii one-dimensional Jamiiforums ya kuandika tu itazidi kuwa obsolete.
 
Maxence Melo

ukiweza rekebisha hiii inakera kweli mda mwingine hasaa ukiwa kwenye browers. unakuta mtu una andika msg na hakuna mtu ana type, ghafla mtu mwingine akianza ku type unakuta browser inacheza (interface) maraa inapanda juu au kushuka chini unakuwa huoni mpaka tena uanze ku scroll.

na kama wako wenginei wana type ndo kama inakuwa vurugu flani hivi na kero. ombi kama ukiweza punguza font size hizoo za (typing.......) au ziweke kwenye mpangilio. mbona hata tusipo ona mtu ana type mbona safi tu.

SIJUI KAMA UTAJIBU UKISHINDWA WE LIKE TU.
 
Habari, haya ni maoni yangu, nimeona niyatoe.

Kiukweli hii user interface ya sasa ya Jamii forums, binafsi naona sio user friend kabisa kwa sababu vitu vingi vimefichwa fichwa.
1662282223553.png



kwa sababu

1. Ukiwa uko kwenye uzi, ukitaka kurudi inakulazimu kufanya click zaidi ya mbili wakati ilitakiwa kuwa na one click ya kukurudisha kwenye new post

2. Forum nyingi zimeficha mpaka uanze kuzitafuta, kwenye home screen kuna link za forum 5 tu.

3. Font iliyotumika ya "Century Gothic" ni mbaya pia

4. Binafsi naona bora ile interface ya mwanzo kabisa, achana na hii iliyopita ambayo thread zilikuwa zinatembea.
 
Bwana max, unatuwekea tabaka kubwa watu tunaotumia viswaswadu, kutokana na hii ya kumalizia sent from my iphone using jamiiforums. Tunashidwa kutogoza warembo humu kwa sababu hiyo.
 
Be informed: The App is currently under maintenance na itakuwa tayari kwa matumizi ya umma ndani ya wiki 6 zijazo

kwakweli irekebisheni upande wa iphone eti haina bach navigation

nikawaza sasa kama mnasahau kitu muhimu namna hii si ni hatari???
 
Back
Top Bottom