TiQoHivi bashite anampa nini babu kipara
Mkuu, hilo halina pingamizi hata kama alikuwa anatania aliposema ...kama hatua haziatachukuliwa sipaswi kuwa hapa....ina maana alikuwa tayari kwa lolote ingawa sina uhakika kama angejiuzulu kweli, lakini kitendo cha kutolewa uwaziri kimemjenga kwa kiasi fulani, maana maisha hayaishii kwa waziri pekee au mtumishi katika taasisi yoyote, maisha ni zaidi ya hapo.Nchi inaelekea kubaya sana mkuu,ila Nape atabaki kuwa shujaa.
MI NAMUONA HAJISOMIDaaah!mkulu si wamchezomchezo
wacha movie iendelee. huenda akili ndo zitawakaa sawa.
Oooohhh yeah,and it's my birthday rememberNifah...
Nitafute mchana tukapige wine tuu!
Am modeless..
Acha kabisaNdio nini hiki sasa!??