Mabadiliko Baraza la Mawaziri: Prof. Palamagamba aula, Mwakyembe achukua nafasi ya Nape Nnauye

Nchi inaelekea kubaya sana mkuu,ila Nape atabaki kuwa shujaa.
Mkuu, hilo halina pingamizi hata kama alikuwa anatania aliposema ...kama hatua haziatachukuliwa sipaswi kuwa hapa....ina maana alikuwa tayari kwa lolote ingawa sina uhakika kama angejiuzulu kweli, lakini kitendo cha kutolewa uwaziri kimemjenga kwa kiasi fulani, maana maisha hayaishii kwa waziri pekee au mtumishi katika taasisi yoyote, maisha ni zaidi ya hapo.
 
Tanzania ndio hiyo inakomaa kisiasa maana inapofikia sehemu mnaweka sheria pembeni kama wakubwa na kutumika kwa wanyonge tu hiyo ni hatua mojawapo ya maendeleo.
 
sasa nimeanza kumuelewa yule mzee wa msoga

tulishika mabango kumtukana pale nkuruma hall na ile dhambi still inatutafuna graduates wa mwaka ule

itoshe tu kusema mungu akupe maisha marefu mzee wetu uzidi kushuhudia hizi sarakasi
 
LAZIMA TUJIFUNZE KUELEWA MAMBO HOTUBA ZA RAIS ZILISHAONYESHA KUWA ANAALERT SOMETHING KWA HIYO ALIYEKUWA WAZIRI ANGEWEZA KUELEWA MAPEMA YASINGEMKUTA HAYA TOKEA ILE SIKU ANAANZA KUMSHUTUMU MAKONDA KWENYE ISHU YA MADAWA RAIS AKAMJIBU AKAJA TENA AKAMJIBU . JUZI AMEMJIBU TENA BADO ANAENDELEA NA TUME MWISHO NDIYO HAYA HAYAWI HAYAWI YAMETIMIA WALE TUME WACHUKUE RIPOTI YAO KWANZA . CHA AJABU MEDIA HIZO HIZO ANAZOZIBEBA NDIZO ZITAKAZOMTANGAZA
 
Dah nimejikuta naimba wimbo huu
Tanzania Tanzania nchi yangu Tanzania
Nchi nyingi zaulaya nyingi zinakulilia.
Huu wimbo cdhan kama watoto watakuwa wanaimbishwa tena shule huu wimbo
 
Magufuli ni chaguo la MUNGU
Magufuli :vita hii hakuna kuangalia brand wala Jina wala Sura
Makonda :tumeamua kuanza hii vita ni kama kumwagia mafuta kwenye shimo kila nyoka atatoa kichwa
 
Hiki sicho tulichotarajia miaka miwili nyuma.... Anyway wapo walioshuka mpini wapo walioshika makali ..yote kwa yote kuna kitu nakiona 2020
 
Back
Top Bottom