Rais Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu za pole kutoka kwa viongozi na taasisi mbalimbali baada ya kufiwa na Baba yake Hayati Ali Hassan Mwinyi

Pfizer

JF-Expert Member
Mar 25, 2021
304
518
IMG-20240305-WA0003.jpg
IMG-20240305-WA0005.jpg
IMG-20240305-WA0004.jpg

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Migombani kutoka kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali John Jacob Mkunda kufuatia kifo cha Baba Mzazi, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassani Mwinyi aliyefariki dunia tarehe: 29 Februari 2024, Dar es Salaam na kuzikwa tarehe: 02 Machi 2024, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini, Unguja.

📅 05 Machi 2024
📍Ikulu, Migombani
 
RAIS DK. MWINYI APOKEA SALAMU ZA POLE
View attachment 2925071View attachment 2925072View attachment 2925073

Naomba kufahamu zaidi kama Baraza la Mapinduzi members wake ni wepi hao
 
RAIS DK. MWINYI APOKEA SALAMU ZA POLE
View attachment 2925071View attachment 2925072View attachment 2925073
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole nyumbani kwake Migombani kutoka kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali John Jacob Mkunda kufuatia kifo cha Baba Mzazi, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassani Mwinyi aliyefariki dunia tarehe: 29 Februari 2024, Dar es Salaam na kuzikwa tarehe: 02 Machi 2024, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini, Unguja.

📅 05 Machi 2024
📍Ikulu, Migombani
Mambo mengine ni ya k upuuzi, na kupoteza muda na rasilimali za, nchi,
Mlikuwa wore msibani, mkazika pamoja, sasa kwenda kumpa pole kama taasisi, maana yake nini?
Sasa utasikia na boss wa uhamiaji nae kaenda, IGP, nae kaenda, ujinga ujinga mwingi!
DRC inawaka moto, msumbiji magaidi yamerudi, west Africa magaidi yanaua kila siku, sasa badala ya kuja na mbinu za kisiasa za kutatua hizi shida, jwtz nayo inafanya Public Relations! What s the https://jamii.app/JFUserGuide is wrong with our brain!
 
Mambo mengine ni ya k upuuzi, na kupoteza muda na rasilimali za, nchi,
Mlikuwa wore msibani, mkazika pamoja, sasa kwenda kumpa pole kama taasisi, maana yake nini?
Sasa utasikia na boss wa uhamiaji nae kaenda, IGP, nae kaenda, ujinga ujinga mwingi!
DRC inawaka moto, msumbiji magaidi yamerudi, west Africa magaidi yanaua kila siku, sasa badala ya kuja na mbinu za kisiasa za kutatua hizi shida, jwtz nayo inafanya Public Relations! What s the JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala is wrong with our brain!
CDF alikuwa Congo ndiyo amerudi.
 
CDF amepanda ndege na wasaidizi wake + posho nono kwenda Zanzibar kupeleka salama pekee? hii nchi imelogwa siyo bure
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole Ikulu Mnazi Mmoja kutoka kwa Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa upande wa Zanzibar wakiongozwa na Mohamed Aboud Mohamed, Leyla Burhan Ngozi na Muhandisi Nasri Ally kufuatia kifo cha Baba yake Mzazi, Mwenyekiti wa CCM Taifa Mstaafu, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia tarehe: 29 Februari 2024, Dar es Salaam na kuzikwa tarehe: 02 Machi 2024, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini Unguja .

📅 16 Machi, 2024.
📍Ikulu, Zanzibar.
IMG-20240316-WA0040.jpg
IMG-20240316-WA0038.jpg
IMG-20240316-WA0039.jpg
IMG-20240316-WA0037.jpg
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole Ikulu Mnazi Mmoja kutoka kwa Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa upande wa Zanzibar wakiongozwa na Mohamed Aboud Mohamed, Leyla Burhan Ngozi na Muhandisi Nasri Ally kufuatia kifo cha Baba yake Mzazi, Mwenyekiti wa CCM Taifa Mstaafu, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia tarehe: 29 Februari 2024, Dar es Salaam na kuzikwa tarehe: 02 Machi 2024, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini Unguja .

📅 16 Machi, 2024.
📍Ikulu, Zanzibar.
Hiki nacho ni cha kutuletea sisi tujadiliane! Ni kupoteza muda.
 
Mwinyi angekuja huku bibi aende kule embu tujiongezee...
Wanawake waliumbwa kuwa wasaidizi wa wanaume na siyo kutawala hata kama anaakili kubwa kiasi gani!! Nashangaa Hawa manabii, maprofeti na mashehe wanaogopa kusema!!
Akiwa makamu nisawa lkn asiwe head of state tuache kutoka kwenye mpango wa Mungu.
 
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole Ikulu Mnazi Mmoja kutoka kwa Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Chatanda (MCC) pamoja na Makamu wake Ndg. Zainab Shomari kufuatia kifo cha Baba yake Mzazi, Mwenyekiti wa CCM Taifa Mstaafu, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia tarehe: 29 Februari 2024, Dar es Salaam na kuzikwa tarehe: 02 Machi 2024, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini Unguja .

📅 16 Machi, 2024.
📍Ikulu, Zanzibar.

IMG-20240317-WA0006.jpg
IMG-20240317-WA0007.jpg
IMG-20240317-WA0005.jpg
IMG-20240317-WA0008.jpg
IMG-20240317-WA0011.jpg
IMG-20240317-WA0009.jpg
IMG-20240317-WA0010.jpg
 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za pole Ikulu Migombani kutoka kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wamasai waishio Zanzibar (ERETO), Ndg. Thomas Makau Lepachu na ujumbe wake kufuatia kifo cha Baba yake Mzazi, Rais Mstaafu wa Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mzee Ali Hassan Mwinyi aliyefariki dunia tarehe: 29 Februari 2024, Dar es Salaam na kuzikwa tarehe: 02 Machi 2024, Mangapwani, Mkoa wa Kaskazini Unguja.

Jumuiya hiyo wamemkabidhi Mbuzi na Kondoo ikiwa ni sehemu ya rambirambi yao kwa utamaduni wao.

📅 17 Machi, 2024.
📍Ikulu, Migombani.

IMG-20240317-WA0047.jpg
IMG-20240317-WA0046.jpg

IMG-20240317-WA0045.jpg
IMG-20240317-WA0048.jpg
 
Back
Top Bottom