Mabachela wenzangu munaweza vipi?

Fene

JF-Expert Member
May 4, 2021
2,472
3,453
Ubachela huu noma, takea lini sijui nina nguo chafu nasemea tu kufua,

Leo mida hii nipo nazichek tu nguo chafu hapa dah! Ila leo itabidi tu nifue

Mabachela wenzangu muna-survive vipi na usafi wa nguo

nguo-1024x576.jpg
 
Mkuu hiyo boxer mbona imechanika hivo?
Nunua nyingine bhana halafu ni ile ya zaman
Sasa hivi zimetoka fashion nyingine jitahid ununue hiz mpya Sasa
 
Dahhhh....
Nampongeza dem wako venye anauwezo mkubwa wa kuvumilia mwanaume wa aina yako
 
Mkuu hiyo boxer mbona imechanika hivo?
Nunua nyingine bhana halafu ni ile ya zaman
Sasa hivi zimetoka fashion nyingine jitahid ununue hiz mpya Sasa


Pigo gani za kiumbea hizo mkuu
 
Hatimae nimeghairi, nioge nikalale tu

Nitafua mapema morning
 
Back
Top Bottom