Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,403
- 920
Yani hadi nimejisikia raha aisee!dah!
Nyakati za kumwona mtu mwenye mawazo ya kisiasa tofauti na wewe kuwa ni adui wa nchi au ni hatari kwa usalama wa Taifa zimepita
Again, Zitto was not in the meeting!
"Hawajui walitendalo"
La TBC nilitumbukiza mie na nashukuru bwana Makene kalifikishaHivi Kamati ya CDM imedesa maazimio yake kutoka JF au wanajf ndo wamedesa CDM?
Hilo linajulikana muda mrefu sana...Zitto ni mwana CCM (TISS) unategemea vipi yeye kuwepo kwenye vikao vya kamati kuu? Wanachema hilo mnalijua. alikuwa na TISS wakipanga namna ya kuzuia M4C na mbowe asipate Urais.
Mie naangaliaga TBC alhamisi kwa sababu ya Ze komedi kopi na kupest zaidi ya hapo hata wakiifunga kabisa poa tu.
Mkuu karibu STAR TV ni ya ukwel ndo maana hata BBC wanaiaminia kwa kurusha kipnd chao cha dira ya dunia startv......halafu kuna komedi moja ya ukwel inaoneshwaga evry monday kuanzia saa 3 ucku.
UKIANGALIA TBC UNAWEZA KUVUNJAVUNJA SCREEN YA TV YAKO BURE MKUU KWA HASIRA. Achen wakina Tendewa waiangalie wenyewe