johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,023
- 142,065
Ukweli ni kuwa kamati ya Ulinzi na Usalama ya mkoa wa Arusha ndio ilipaswa kumshauri RPC kutengua Kibali cha maandamano ya CHADEMA Ili kupisha mazishi ya kimkoa Uwanja wa Sheikh Abeid.
Unaweza kudhani Katiba ya Tanzania haisemi Polisi watoe kibali lakini ukweli ni kuwa huwezi kuandamana bila Ulinzi wa Polisi kwahiyo Ulinzi ndio Kibali chenyewe.
Nawatakia Kwaresma njema. 😄
Unaweza kudhani Katiba ya Tanzania haisemi Polisi watoe kibali lakini ukweli ni kuwa huwezi kuandamana bila Ulinzi wa Polisi kwahiyo Ulinzi ndio Kibali chenyewe.
Nawatakia Kwaresma njema. 😄