Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA Sept 10, 2012

sasa ina anza kueleweka kumbe mauaji yanayo fanywa na polisi ni furaha na mtaji wa siasa kwa chadema!

Natamani kuona shape ya kichwa chako, hata kama ingekuwa ni kweli kuwa CHADEMA wanatumia mauaji yanayofanywa na polisi (ambao hawaongozwi na CHADEMA) polisi lazima waue?? Logic ya ajabu hii!
 
chama cha demokrasia na mendeleo (CDM) kimetangaza rasmi kutoiunga kazi yoyote ya TBC kwa kuwa chombo hichi ni hatari kwa taifa kwa upotoshaji unaoendelea kuwa unatangazwa na chombo hichi cha habari cha taifa
source kamati kuu tamko la makao makuu leo
 
mkuu huyo dogo alievuliwa udiwani pamoja na mwenzake ni marafiki wa Zzk.

Ng'oeni magugu yote ubaki mpunga ustawi tayari kwa mavuno. Mwenda wazimu tu ndiyo anaweza kutumiwa na ccm kwa karne hii ya sayansi na teke linalokujia.
 
kweli tbc imekuwa ikiegemea upande mmoja......... so kuisusia ni jambo la busara......... inabidi nawao tbc wasusie mikutano ya cdm...... ili wawe ndroo bt wataweza.......... ushauri.......ikiwezekana tuwahamishie ze comedy kwenye kituo kingione cha tv ili nivunje uhusiano na tbc kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa
 


Kwa mtaji wa umakini wa maamuzi yaliofanywa na Kamati Kuu CHADEMA kwa kuzingatia kulinda zaidi MASLAHI YA UMMA, nasema najivunia kuwa mwanachama wa chama hiki.

Utaifa na Maslahi ya umma mbeeeeeeeele kama tai siku zote CHADEMA ili tuweze kushinda adui UFISADI na vimbwanga vyake vyooote nchini.

Kuhusu TBC, Mwenyekiti mimi niliamua kukatisha utazamaji wa TV hii siku ile ile alipopigwa buti la usoni yule mpigania haki na usawa, Kamanda Dastan Tido Mhando.

TBC, Ujima!!! Mkurugenzi, Mshana Ujima Ujima!!! Habari watitangazazo ni Ujima Ujima Ujima mwaanzo mwisho!!!

Hongereni sana Kamati Kuu ya chama chetu kwa kuweza kufuzu huu mtihani mzito sana wa kuwekewa mtego wa kutaka kuuaua mkoani Iringa.

Lakini kamwe msisahau kuendelea kukodolea macho zaidi wale ma-Bundi tulio nao humo humo chamani maana mnajua tena zile za mkosaji zinavyokuaga siku zote.!
 
Mie naangaliaga TBC alhamisi kwa sababu ya Ze komedi kopi na kupest zaidi ya hapo hata wakiifunga kabisa poa tu.
Kabla ya CHADEMA kuonesha "UDHAIFU" wa TBCCM, mimi nilisha uona. Nina zaidi ya Mwaka sitizami TBCCM. Habari zao za uongo.
 
Safi sana maamuzi ya kamato yametulia, yanaonyesha umakini na watu wanaojali. Wasioogopa wala kuuangalia uso wa mtu kwa upendeleo. Sisiem imefondoa kitengo cha propaganda kutoka kwa H. tambwe na kukiamishia kwa Tv ya taifa inayoendeshwa kwa kodi zetu. Hii inauma sana na kuanzia leo baada ya tamko ni marufuku nyumbani kwangu kwa namna yeyote ile kutizamwa TBC Tv ama Radio. PolisiCcM mmeua sana mkishirikiana na Green guard lakini sasa hii damu ya mwandishi Mwangosi haitaenda bure. Sasa imefungua ukurasa mpya wa vuguvugu la mabadiliko na hivyo baragumu imeeisha pulizwa hakuna kurudi nyuma. Tumegandamizwa vya kutosha, tumenyanyaswa vya kutosha, tumegeuzwa watumwa katika nchi yetu wenyewe, tunauawa kama mbwa barabarani na wale tuliowaamini, sasa tunasema basi.
FREEDOM IS COMING TOMORROW!!
.
 
TBC nilishasusa zamani binafsi lakini rasmi sasa napiga marufuku mwanafamilia yangu yeyote kukuta ameifungua TV au radio hiyo! Wanatumia kodi zetu kwa manufaa ya CCM!

Dah!hapo Mkuu kwenye red umeniacha hoi.Usiwapige marufuku hivyo kwani si kila kipindi kina mtazamo wa kisiasa.Kuna vipindi vingine ni vizuri.
 
Mbowe,

Usisahau pia vifo vya mamia ya watu kule pemba 2001 na 2000 pamoja na miaka iliyofuatia, Mwembechai na kule Tanga juzi juzi. Au wale hawana umuhimu? Hii nchi kwa double standards!!!!
 
Hivi Chadema wanaisusiaje TBC sasa kwa mfano? Kinacholeta mantiki kwangu ni TBC kuisusia Chadema kwa kutotangaza habari zake na siyo kinyume chake.
Hujaenda na wakati swety Lady,
Chadema wakisusia kuangalia TBC ni credit kwa ITV, star tv etc. TBC itakosa biashara kwa sababu wateja watapungua.
Pili, King cobra wa Zambia aliomba TV ya Zambia Isiseme cho chote kuhusu mikutano yake wakati anagombea. Wao wakagoma na kuendelea kumchafua. Leo ni Rais wa Zambia. Vigogo wengine walijiuzulu bila kufukuzwa baada ya Rais mpya kuingia. Je, walijua hilo? TBC lazima wasome alama za nyakati.

 

Mimi huwa naamini maamuzi ya kamati kuu ya Chadema yako very objective. Huyu jamaa alianzisha harakati za kumwondoa mmeya wa chama chake bila kufuata taratibu za chama. Mwisho wa uhuni ndo huu.
Mimi napenda ujasiri wa Chadema.

Na wewe ni CHADEMA damu!!! Hata mimi nawapenda CHADEMA. "sisi sote ni ndugu na adui yetu ni mmoja - CCM" nanukuu.

Chama cha siasa bila nidhamu kinakuwa Genge (a mob). So nidhamu ni lazima katika kada zote.

Angalizo kwa vijana wenzangu, kwani wengi wanadhani talents au potentials walizonazo ndio kila kitu. Hapana, kwani hata sayansi inaonesha vitu hivyo ni 25%, iliyobaki 75% iko kwenye nidhamu, tabia/mwenendo, bidii/juhudi na uzalendo.
Mimi simfahamu huyo Chagulani lakini ni vizuri akarudi kwenye drawing board akajipanga upya.

Hongera CC ya CDM, nendeni kwenye vitendo fasta.
 
Back
Top Bottom