Maazimio ya Kamati Kuu ya CHADEMA Sept 10, 2012

8.Kutokana na mgogoro wa muda mrefu mkoani mwanza uliosababisha meye wa chadema kuvuliwa umeya kinyume na utaratibu na kwa njama za CCM na Serikali,na bahati mbaya sana kwa kushirikisha madiwani wa CHADEMA,KAMATI KUU imewavua UANACHAMA madiwani wake wawli 1 ADAMU CHAGULANI wa kata ya IGOMA na HENRY MATATA wa KITANGIRI, PIA uongozi wote wa CHADEMA mkoa wa mwanza Umevunjwa.

maadui zetu wako nje na ndani. hakuna kumuonea haya mtu anayesaliti chama kwa sababu yoyote ile.
 
Sound good...... huyo ambaye jimbo lake M4C itapita kitongoji kwa kitongoji atakiona cha moto, lazima 2015 jimbo aliachie.
 
Kuisusia TBC safi sana, kilio chetu wengi wetu JF kimesikika, kutumia helcopter na kupita kitongoji kwa kitongoji badala ya vijiji kwa mkoa wa Singida huo ni ujumbe tosha kwa Mwiguru Nchemba
 
sasa ina anza kueleweka kumbe mauaji yanayo fanywa na polisi ni furaha na mtaji wa siasa kwa chadema!
 
Hii TBC inapaswa kujitafakari upya. Imekosa kabisa sifa ya kuwa chombo cha habari katika nchi ya kidemokrasia. Utafikiri iko Iran ambako hupokea maelekezo yote kutoka kwa Ayatollah.

Walipaswa waende mbele kidogo, waipige TBC marufuku kutangaza kabisa habari za Chadema; najua itakuwa ngumu lakini angalau wangekuwa wamepaza sauti.

Mimi na familia yangu tumeikataa TBC rasmi.
 
1,2,3,4 safi
5, haswa, tena hii tv na redio ni adui mkubwa sana na anabidi kuogopwa.
6 ni kweli na kama wakikataa hayo basi hata siasa yenyewe hawaiwezi, maandamano ni sehemu ya wengi kusema yaliyo moyoni mwao, na hata hivyo katiba inaruhusu hivyo.
7 :israel:
:peace:
8 no comment

ila pamoja na tbc, naona naona kuna 'mitambara bovu' inaloyoitwa 'magazeti ya uhuru na mzalendo', haya kwa ushauri sahihi, yalitakiwa kuwa yanatoka kiwandani moja-kwa-moja hadi magengeni kufungia nyanya...ni chafu, waandishi wake ni sehemu ya wanaojiita wanahabari, kumbe 'wafu ila watembeao'...na maadili yao haijulikani walisomea wapi elimu yao ya uandishi wa habari, na kwa ubovu wao, bali magazeti hayajawahi kufungiwa kwa upotoshaji...ila wanaonewa akina mwanahalisi! Non-sense! Pambafff.....!
 
"hawajui walitendalo"

jamani hivi mtu kama rajeo anayeendekeza uchochezi wa kikabila administrator wa hii forum yuko wapi????kazi yenu ni nini hasa hali mshajua kuwa ukabila, udini ni sumu kwa ustawi wa taifa letu!naomba huyu mtu anayejiita rajeoafungiwe haraka sana
 
Tuko nyuma yetu viongozi wetu madhubuti.....ccm na ndoya yao na cuf wanadhani wanaweza kuendele akuwahadaa watz .....haiwezekani na haitawezekana....tbc inaboa kuliko maelezo yoyote, jeshi la policcm ni la ccm na serikali na aio wananchi....
 
Maamuzi haya yameguza kilio cha wananchi wengi hususan kuunda tume huru ya uchunguzi wa vifo tata katika matukio ya kisiasa.1.ARUSHA vifo 3.IGUNGA,vifo vingi havijulikani bado,3.ARUMERU MASHARIKI,vifo 5, 4.SINGIDA kifo 1, MOROGORO na IRINGA
chadema haitatambua wala kushirikiana na kamati batili ya NCHIMBI. Tunahitaji matokeo

sasa ina anza kueleweka kumbe mauaji yanayo fanywa na polisi ni furaha na mtaji wa siasa kwa chadema!

Kama mnaona mauaji yanayofanywa na polisi wanaoongozwa na serikali yenu ni mtaji kwa cdm, kwanini msiwakataze! Refusha akili yako Mkuu!
 
1,2,3,4 safi
5, haswa, tena hii tv na redio ni adui mkubwa sana na anabidi kuogopwa.
6 ni kweli na kama wakikataa hayo basi hata siasa yenyewe hawaiwezi, maandamano ni sehemu ya wengi kusema yaliyo moyoni mwao, na hata hivyo katiba inaruhusu hivyo.
7 :israel:
:peace:
8 no comment

TBC inapotosha watu kuanzia kwenye sensa hadi matukio ya polisi.

VIVA CDM.
 
Hii TBC inapaswa kujitafakari upya. Imekosa kabisa sifa ya kuwa chombo cha habari katika nchi ya kidemokrasia. Utafikiri iko Iran ambako hupokea maelekezo yote kutoka kwa Ayatollah.

Walipaswa waende mbele kidogo, waipige TBC marufuku kutangaza kabisa habari za Chadema; najua itakuwa ngumu lakini angalau wangekuwa wamepaza sauti.

Mimi na familia yangu tumeikataa TBC rasmi.

Kaka!;Ningekua na uwezo ninge block mawimbi ya TBC TV na Redio yasiingie kabisa kwenye Tv na redio yangu;
 
Back
Top Bottom