Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 47,013
- 32,459
Waislam kweli ni watu wa ajabu...sasa badala ya kuwaunga mkono maaskofu kuishinikiza serikali itoe maelezo kuhusu mfumo kristu mnaanza kuwalalamikia tena maaskofu. Kwanini tusiungane pamoja kuidai serikali itoe maelezo kuhusu hili maana waislam wengi wenye mtazamo kama wako hamuwezi kuamini kitu chochote kutoka kwa maaskofu...
Waislam waungane na Maskofu kuiambia serikali kuwa waislam ni wachochezi? Kweli wewe ni kituko cha mwaka.