UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,598
- 11,993
Aisee hivi serikali ina hizo hela za kuhudumia hayo magari wakati kuna chanjo hazipo kwenye mahospitali ? Ukipewa bajeti ya hizi siku kazaa Polisi walizofanya mazoezi mitaani unaweza kushika kichwa ,halafu mbaya zaidi wajanja pia ndani ya Jeshi la Polisi wanatumia mwanya huo kupiga hela