sumuantidote
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 218
- 125
Mkuu We lazma utakua ni jiniazi..Mandamano hayafanyiki na wachora katuni wataendelea kuchora!
Hizi kelele sio mpya na haziwezi kumalizika mpaka pale wapiga kelele watakapo tembea katika maneno yao kwa sababu vyama vinavyopiga kelele kuhusu demokrasia havina hata misingi ya demokrasia ndani ya vyama vyao.
CHADEMA wamechukua jukumu kubwa ambalo kwa sasa liko juu ya uwezo wao kama chama.
“...Democracy is not a bottle of Coca-Cola which you can import. Democracy should develop according to that particular country. I never went to a country, saw many parties and assumed that it is democratic. You cannot define democracy purely in terms of multi-partist parties...”-Mwl. Nyerere.
Tanzania is unique country!
Hawa washikishwa ukuta wanatanga tanga tu saa hizi, baada ya kukosa legitimacy kwa ku embrace uozo walioupigia kelele for 8 long years, sasa wanakuja na vibweka vyao vya mara sijui ukuta mara sijui dikteta, mara sijui nini nini...
Watu tume chill tu kiaina tunawacheki jinsi wamedoda..
Kiama yao 2020.. we burry them for good...