Maandamano ya UKUTA yasipofanyika...

Mleta uzi wewe ni koyoyo... I hate guys who are kissing others guys ass... duniani hakuna Mtukufu isipokuwa Mungu pekee.Sasa wewe kumuita binadamu mwenzako mtukufu ni sawa na kumkufuru Mungu..hizi njaa ZENU na kujipendekeza kwenu kutawapeleka pabaya

Swissyou

mkurupuko.com
 
Sidhani kama umenielewa ninachomaanisha ama umeamua kupotosha kwa makusudi. Lile tukio la kuuwawa kwa askari ni tukio la kihalifu kama matukio mengine, ila kwa bahati mbaya limetokea wakati joto la operesheni ukuta limepanda, hivyo mamlaka zikapita huku kwenye mitandao zikakutana na michango ya chuki dhidi ya polisi kutoka kwenye kundi linalohisi kutotendewa sawa na polisi. Kilichofanyika ni polisi na watawala kulibeba suala hilo kwa jazba na kuamua kulihusisha na siasa kwa lengo lisilodhahiri. Unataka ufafanuzi zaidi ya huo?
Endelea kuweka maelezo yako sawa, maana inaonekana umefurahi wale walinda amani kulazwa.
 
Na wewe utakuwa unakosa malipo yako? Akishinda utakuwa umeumia wapi? Halafu mbona ipo wazi tu Chadema wamejipiga mtama wenyewe na Magu anashinda hiigame tena kwa kishindo tatizo Chadema wanawahi kuamini watu sana angalia sasa wanavyojiaibisha
Atapata bonge la ushindi!
 
kwa kawaida nimebaini kila kipindi cha tension kikikaribia(mchakato wa kuipigia kura KATIBA MPYA,Kipindi cha Uchaguzi,Kuelekea UKUTA N.k),id nyingi mpya zinaanzishwa kutetea upande EITHER wa serikali ama chama tawala..Na baada ya hapo ID hizi hutoweka.Natumai nawe si miongoni mwao.Time will tell.
 
Mleta uzi wewe ni koyoyo... I hate guys who are kissing others guys ass... duniani hakuna Mtukufu isipokuwa Mungu pekee.Sasa wewe kumuita binadamu mwenzako mtukufu ni sawa na kumkufuru Mungu..hizi njaa ZENU na kujipendekeza kwenu kutawapeleka pabaya

Swissyou
hapo ni sawa na kumuita cheupe wakati rangi yake alisi ni mweusi
 
Endelea kuweka maelezo yako sawa, maana inaonekana umefurahi wale walinda amani kulazwa.

Ina maana afande bado hujaridhika na maelezo yangu kweli, ama unataka rushwa aisee. Acha bana maana wewe uko juu ya sheria hivyo ninapaswa kukuogopa ile mbaya.
 
Haya maandamano sijui mikutano....inaandaliwa kwenye mitandao na itafanyika kwenye mitandao tu
 
Kama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi mkubwa sana.

Hayo maandamano yasipotokea atakuwa kafanikiwa kuwatisha wananchi katika kutofanya yale ambayo hayampendezi yeye.

Na huu ndo utakuwa mwanzo tu. Huko mbeleni ikitokea kuna jambo ambalo halimpendezi yeye binafsi basi hatosita kutumia vyombo vya dola kuwatisha watu ili waache kufanya walichokuwa wamepanga kufanya.

Hiyo ndo Tanzania mpya. Tanzania ya MWENYE ENZI, Mtukufu rais John Pombe Joseph Magufuli [nahisi pia tutalazimishwa kuyatumia majina yake yote manne la sivyo wataokiuka watatafutwa na kuadhibiwa, hata kama wapo mitandaoni].

Na nyie wachora vikatuni nahisi dawa yenu inakorogwa huko maabara. Kama mkiendelea kumchora vibaya MWENYE ENZI, MTUKUFU rais John Pombe Joseph Magufuli basi siku zenu zinahesabika.

Yakiwatokea ya kutokea msije lalama eti sikuwaambia! Shauri yenu.
Ushaanza kuhisi kuwa wenzako washanywea kama kawaida yao.
Hata kwa Mkwere JK walinywea na ile kulinda kura yao....
Sasa na wewe njoo uungane na wenzako kuandamana.
JPM kaseama anataka viongozi na wahamasishaji wa maandamano ndo wajitokeze mstari wa mbele.
Njoo, usijifiche nyuma ya maboksi.
 
Narudia tena,upinzani kupingangana na serikali ni Jambo la kawaida kwenye nchi ya demokrasia,polisi kuzuia maandamano ya upinzani ni kawaida kwenye nchi ambazo zina demokrasia changa,kwa mtazamo wangu Tanzania is a free and democratic country na ushahidi unaonyesha jinsi gani tupo Huru hata mawazo mengi Ya wachangiaji ni kupondana kisiasa tu na kuhamasisha maandamano ambayo hayata leta mabadiliko yeyote.Tarehe moko the choice is yours,you can be keyboard warrior au nenda ukawe real warrior kwenye nchi yenye demokrasia changa.
 
Kama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi mkubwa sana.

Hayo maandamano yasipotokea atakuwa kafanikiwa kuwatisha wananchi katika kutofanya yale ambayo hayampendezi yeye.

Na huu ndo utakuwa mwanzo tu. Huko mbeleni ikitokea kuna jambo ambalo halimpendezi yeye binafsi basi hatosita kutumia vyombo vya dola kuwatisha watu ili waache kufanya walichokuwa wamepanga kufanya.

Hiyo ndo Tanzania mpya. Tanzania ya MWENYE ENZI, Mtukufu rais John Pombe Joseph Magufuli [nahisi pia tutalazimishwa kuyatumia majina yake yote manne la sivyo wataokiuka watatafutwa na kuadhibiwa, hata kama wapo mitandaoni].

Na nyie wachora vikatuni nahisi dawa yenu inakorogwa huko maabara. Kama mkiendelea kumchora vibaya MWENYE ENZI, MTUKUFU rais John Pombe Joseph Magufuli basi siku zenu zinahesabika.

Yakiwatokea ya kutokea msije lalama eti sikuwaambia! Shauri yenu.
Ukifikiri ukautafakari ushiriki wako kwenye UKUTA ndivyo ilivyo kwa unayemdhania ni fala ataandamana/kutoandamana
 
kwa kawaida nimebaini kila kipindi cha tension kikikaribia(mchakato wa kuipigia kura KATIBA MPYA,Kipindi cha Uchaguzi,Kuelekea UKUTA N.k),id nyingi mpya zinaanzishwa kutetea upande EITHER wa serikali ama chama tawala..Na baada ya hapo ID hizi hutoweka.Natumai nawe si miongoni mwao.Time will tell.
Sipo upande wowote Bali mimi ni raia mpenda amani na nimewachukia wanasiasa kuliko hata kinyesi Cha keko,ukweli ni kwamba tuna demokrasia by our African standard Kama unafikiri hakuna demokrasia kaandamane tarehe moja then utanielewa
 
kama ''raia mpenda amani'' watu wafanyeje ili kudai haki yao iliyo kikatiba?Kwanini unapenda kuishi kinafiki kwa kigezo cha ''amani''............?
African Standard Democracy ndiyo ipo hiyo?Ilihalalishwa wapi?
 
Late people demonstrate wherever they can!!
Life is shot
A lots of feeling
No money in the pocket!!
Our piece is to leave others who is against us do wherever they what in their country!!
 
kama ''raia mpenda amani'' watu wafanyeje ili kudai haki yao iliyo kikatiba?Kwanini unapenda kuishi kinafiki kwa kigezo cha ''amani''............?
African Standard Democracy ndiyo ipo hiyo?Ilihalalishwa wapi?
Hakuna katiba iliyovunjwa ni siasa tu na wasioelewa siasa wanafuata mkia na kama imevunjwa kuna mahakama.wapinzani kote duniani kazi yao ni kuitikisa serikali kwa njia Ya kisiasa na ukuta ni siasa tu zitapia baada Ya tarehe moja watu watasahau but it's your choice uwe keyboard warrior hiyo tarehe moko or be a real warrior who want changes on our young democratic country of Tanzania nina uhakika wengi wetu humu tataandamana kwenye keyboard,Tanzania siyo Misri wala kenya
 
Hakuna katiba iliyovunjwa ni siasa tu na wasioelewa siasa wanafuata mkia
sasa uhalisia wako (huku ukijifanya neutral) unaonekana...Ni Unafiki wa kiwango cha kutisha katika mustakabali wa utu wa mwanadamu.Hakika rangi halisi na uhalisia wa mioyo hufichwa tu kwa muda.Niliuliza makusudi,nione unadondokea wapi..
na kama imevunjwa kuna mahakama.wapinzani kote duniani kazi yao ni kuitikisa serikali kwa njia Ya kisiasa na ukuta ni siasa tu zitapia baada Ya tarehe moja watu watasahau but it's your choice uwe keyboard warrior hiyo tarehe moko or be a real warrior who want changes on our young democratic country of Tanzania nina uhakika wengi wetu humu tataandamana kwenye keyboard,Tanzania siyo Misri wala kenya
na haya ndio maneno yaliyoandikwa na mtu anayejinasibu ni ''mpenda amani''....Watu mmejivika unafiki wa kiwango cha juu,Maandamano na Mikutano ya vyama(Ndani na Nje) vyote vilikuwepo chini ya serikali hii hii ya CCM,miezi minane baadae kwa katiba ile ile yanaonekana ni ''uchochezi''.Na wanafiki kama nyinyi mnaokuja na ID mpya kila uchao mnajifanya ''wapenda amani''.Si uje na id yako ya siku zote(huo ndio ukeyboard gangsterism wenyewe).Wanafiki hamna nafasi na mkubali kutofautiana kimtazamo.Msilazimishwe kupendwa kwa vitisho.
 
Viongozi wa chedesh wakutana na viongoz wa chama original.... Muafaka umepatikana Hamna kuandamana tena...... Hilo ndo limebaki .... Waiting
 
sasa uhalisia wako (huku ukijifanya neutral) unaonekana...Ni Unafiki wa kiwango cha kutisha katika mustakabali wa utu wa mwanadamu.Hakika rangi halisi na uhalisia wa mioyo hufichwa tu kwa muda.Niliuliza makusudi,nione unadondokea wapi..

na haya ndio maneno yaliyoandikwa na mtu anayejinasibu ni ''mpenda amani''....Watu mmejivika unafiki wa kiwango cha juu,Maandamano na Mikutano ya vyama(Ndani na Nje) vyote vilikuwepo chini ya serikali hii hii ya CCM,miezi minane baadae kwa katiba ile ile yanaonekana ni ''uchochezi''.Na wanafiki kama nyinyi mnaokuja na ID mpya kila uchao mnajifanya ''wapenda amani''.Si uje na id yako ya siku zote(huo ndio ukeyboard gangsterism wenyewe).Wanafiki hamna nafasi na mkubali kutofautiana kimtazamo.Msilazimishwe kupendwa kwa vitisho.
Mheshimiwa nchi yeyote yenye serikali na demokrasia serikali ndio Baba Wa Taifa awe baba mzuri au mbaya ni baba yako tu,tofauti yako kati Ya wewe na mimi wewe Humpendi alichokisema Baba na mimi nimeaamua kumtii Baba kwa sababu sina uhakika nisipomtii nitafaidika na nini na wewe unajua usipomtii utafaidika na nini,mimi nasubiri mpake nikue ndio ntaacha kumtii Baba kwa sababu baba ndio kwanza ameanza kunilea sio muda mrefu
 
Kama UKUTA wakinywea na mwishowe kutokufanya hayo maandamano yao ambayo wamepanga kuyafanya hiyo tarehe 1 mwezi ujao, basi mheshimiwa MWENYE ENZI, MTUKUFU rais Magufuli atakuwa amepata ushindi mkubwa sana.

Hayo maandamano yasipotokea atakuwa kafanikiwa kuwatisha wananchi katika kutofanya yale ambayo hayampendezi yeye.

Na huu ndo utakuwa mwanzo tu. Huko mbeleni ikitokea kuna jambo ambalo halimpendezi yeye binafsi basi hatosita kutumia vyombo vya dola kuwatisha watu ili waache kufanya walichokuwa wamepanga kufanya.

Hiyo ndo Tanzania mpya. Tanzania ya MWENYE ENZI, Mtukufu rais John Pombe Joseph Magufuli [nahisi pia tutalazimishwa kuyatumia majina yake yote manne la sivyo wataokiuka watatafutwa na kuadhibiwa, hata kama wapo mitandaoni].

Na nyie wachora vikatuni nahisi dawa yenu inakorogwa huko maabara. Kama mkiendelea kumchora vibaya MWENYE ENZI, MTUKUFU rais John Pombe Joseph Magufuli basi siku zenu zinahesabika.

Yakiwatokea ya kutokea msije lalama eti sikuwaambia! Shauri yenu.
Mtukufu Mheshimiwa Rais Dr John Pombe Joseph Magufuli...dah, hili jina refu kiasi linanikumbusha lile la mwenzake - Mobutu Sese Seko Kuku wa Nzagbendu!
 
Back
Top Bottom