Kwanini Rais Samia asiitake Wizara za Mambo ya Nje na Ndani zihakikishe zinamrejesha aliyekopa Mabilioni?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
24,052
71,361
Kila siku nawaambia, Rais Samia, hafai kua Rais, Nchi hii inahitaji mtu anayejitoa Maisha yake Kwa ajili ya kupigania Taifa lake Kama alivyofanya Hayati John Joseph Pombe Magufuli !! ... Hivi Kwa JPM ungeanzia wapi kukopa na kutokomea? Mbona Huu Uhuni Kwa JPM haukwepo?

Rais analalamika, yaan RAIS Mwenye Mamlaka na Kila kitu unalalamika?? Kwahiyo unalalamika ili Mtanzania alokosa hata Bima ya Afya ndio aende kumtafuta huyo Mfanyabiashara?

Au ulikua unatupa Taarifa ili tujue mnaiba Pesa za Nchi hii?

Watanzania wataaminije hizo Pesa kachukua Mfanyabiasha?? Kama tuliwah kua na wafanyakazi hewa, Huyo Mfanyabiashara atakuwepo?? Huyo Mfanyabiashara nikisema ni Wewe/Kikundi chako ndio umezichukua ila umejificha Kwa Mfanyabiashara ? Kwann anshindwa kumtaja?

Mpaka Rais anasema ametokomea, inamaana wamejiridhisha huyu mtu Hana Nia ya kulipa, Inamaana Wanashindwa hata kumtangaza kwenye Vyombo vya Habari?

Unajuaa Rais Samia, hata kama Urais ni mtaamu ila acha mambo yasofaaa , Taifa halitaki lugha yako na kiswahili chako lainilaini, huongei na Familia yako, Familia yako unayo hapo Ikulu ,hao ndio uongee nao Kwa kiswahili chako za Zanzibar kama Urais huwezi, achaa!! hukulazimishwa, sio lazima uonekane wee ni RAIS, fahari yako iwe ni Misafara ya magari, Walinzi, na Kila Raha ya Urais, huku Watanzania tunaumia.

Hizo Billion zingefanya mambo mangapi kwenye Taifa hili ambalo Kila siku tunakopa?

Basi, sawa kaibaa, Inamaana unashindwa kuziamuru Wizara za mambo ya Ndani na Nje, kushikiliana na Polisi wa kimataifa, kumtafuta huyo mtu? Kama sio Wizi nn?? Bilioni 50 ,kwamba hizo Pesa anatembeaa nazo mkonon au? Sikuna Mahali zimehifadhiwa?

RAIS unalia, unalalamika kuhusu Rushwa na Ufisadi? Na Una Mamlaka.

Halafu Kwa stahili hii mnategema muheshimiwe kweli? Mnatia hasira sana

Dhahabu zilikamatwa Kenya, ila zirudishwa Tanzania, kwann hili liwe zito?

Ninajua Kuna mijizi mikubwa ambayo imekuhakikishia Urais kwa mashariti ya kutulia wao wafanye yao, ila si Kwa stahili hii.

Taifa limerudi Enzi za JK, Wizi Wizi Rushwa Rushwa.

Mnatia sana Hasira! Ndio sababu Kila kukicha mnamtukana Hayati JPM.

TUNAMUHITAJI HAYATI MAGUFULI MPYA.
 
Usiumie moyo kijana, hata hili litapita.

Pambana ndoto zako zitimie, haya mengine tuwaachie wenye nayo kwa vile baada ya siku chache utaibuliwa mjadala mwingine kimkakati wa kutuhadaa kuhamisha agenda hii na hakuna atakayezungumzia tena.

Kila mwaka haya yapo na yanapita kimyakimya bila mabadiliko chanya.

Tulia relax jilie mbususu zako ulizozoe kwa utulivu.
 
Usiumie moyo kijana, hata hili litapita.

Pambana ndoto zako zitimie, haya mengine tuwaachie wenye nayo kwa vile baada ya siku chache utaibuliwa mjadala mwingine kimkakati wa kutuhadaa kuhamisha agenda hii na hakuna atakayezungumzia tena...
Mkuu mbususu sawa nakula ila hapana, lazima tuwafikiri watu ,Masikin na fukara wasojiweza , watu ambao wanatuhitaji sisi.

Tutalaaniwa, Mungu atatuadhibu sana.
 
Huyo Mfanyabiashara nikisema ni Wewe/Kikundi chako ndio umezichukua ila umejificha Kwa Mfanyabiashara ??.
Kashfa nzito astaghafulahi laazimu tupo kwenye mfungo wa Ramadhan usije sahau, mfungo haujaisha mfungo unambana kufanya maanuzi subiri mfungo uishe utaona maanuzi yake, waliogoma kupisha watatolewa kwa nguvu mtupishee pumbavu stupid
 
Akiagiza atoe report kwako?
Hikohiko kilichomfanya alikazie mbele ya vyombo vya Habari, naam, kimfanye Tena akishaagiza aniletee/awaletee Mrejesho watanzania..

Huyu mtu ni mwepesi wa kuongea na Kujifanya anaandika kwenye kikaratasi, ila baada ya hapo, hamna cha ufatiliaji.

Aliwahi kuja Wilaya X, akajifanya kuandika Matatizo yake ya Wananchi , mpaka Leo hii naandika hapa, mambo yako vilevile.

Kwa kusema Ivo, akiagiza bado alete Mrejesho!!.
 
Huyu mtu ni mwepesi wa kuongea na Kujifanya anaandika kwenye kikaratasi, ila baada ya hapo, hamna cha ufatiliaji.
Umesema kwamba ?
Aliwahi kuja Wilaya X, akajifanya kuandika Matatizo yake ya Wananchi , mpaka Leo hii naandika hapa, mambo yako vilevile.
Umemaanisha kwamba ?
Hikohiko kilichomfanya alikazie mbele ya vyombo vya Habari, naam, kimfanye Tena akishaagiza aniletee/awaletee Mrejesho watanzania..
Hii inamaanisha nini mkuu ?
Kwa kusema Ivo, akiagiza bado alete Mrejesho!!
Basi sawa Ila tupo kwenye funga bado
 
Kashfa nzito astaghafulahi laazimu tupo kwenye mfungo wa Ramadhan usije sahau, mfungo haujaisha mfungo unambana kufanya maanuzi subiri mfungo uishe utaona maanuzi yake, waliogoma kupisha watatolewa kwa nguvu mtupishee pumbavu stupid

Lazima iwe nzito Kwa sababu suala lenyewe ni zito, yaleyale ya alokua Gavana BOT enzi hizo !!.

Rais anakiri, kakopa, katokomea, alivyoweka kama zamana ni fake.

what next?

yaan yeye alalamike, Mtanzania alalamike, kwann nisiseme anajua Pesa ziliko?.
 
Si wanasema BoT Ina intelijensia Kali kiasi ukichukua kuanzia milioni Tano benki yoyote nchini wanakuwekea kakibendera kwenye akaunti yako na bank yenyewe inakuwa flagged!

Hicho kitengo ilikuwa myth ama ukweli kipo?
 
Wizara ya mambo ya nje ihakikishe mfanyabiashara yupi anarudisha pesa wakati Raisi hata jina amegoma kumtaja

Wengine wanalaumu TISS kuwa wamelala wamtafute nani wakati Raisi hata jina lake ana kigugumizi kumtaja ili apate ushirikiano wa vyombo vya dola ndani na nje na watanzania wa ndani na nje

Jina lake kwa nini Raisi hataki kutaja?

Raisi anamwogopa mwizi au?
Raisi kuogopa kutaja jina la Mwizi kuna shida tayari imeanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom