kilolambwani
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 395
- 75
Hayo yatakuwa ni ya CCM maana maaskofu wakiongea wanasema ni Chadema
cha ajabu ni kwamba Walibya wanaandamana kumng'oa dikteta Al-Qaddafi; wengine huku ati wanaandamana kumtetea Al-Qaddafi.
big shame!
sasa mbona wanaandamana vichochoroni au hawana kibali au wanahofia habari za kiintelijensia
Hakuna raia wa Libya aliyeandamana kumpinga Gaddafi, usiropoke tu. Wanaompinga wamepandikizwa na Mataifa ya Magharibi. Ndio maana Gaddafi anaconfidence ya kuwapa wananchi wake silha wapambane na majehi ya NATO.
Hakuna raia wa Libya aliyeandamana kumpinga Gaddafi, usiropoke tu. Wanaompinga wamepandikizwa na Mataifa ya Magharibi. Ndio maana Gaddafi anaconfidence ya kuwapa wananchi wake silha wapambane na majehi ya NATO.
Well said mkuuKukosa elimu ni sawa na kuugua kansa ya damu. Walibya wanafurahia kuwepo kwa majeshi ya mataifa hayo, wewe mtanzania ambaye walibya wanakuona kama takataka eti unadhani unajua mahitaji ya libya kuliko wao. Poleni majuha walibya watapata uhuru wao na wataendesha taifa lao kama wanavyotaka.
Kina Nani haoo?
Wakamateniiiii...
Yaani watu tunaandamana kuipinga serikali ya Tanzania, wao wanaandamana kuipinga Marekani!!!
Hilo neno(red) ni gumu sana kwao!.....wakimaliza hayo maandamano, nawaomba waandamane kupinga skyrocketing inflation in Tanzania!!!
Inasikitisha hii mkuu!Mmmh! Hiyo kali! wamarekani wenyewe wameombwa saana na sasa wanageukwa, lakini nadhani ni kwa watu wetu wenye akili hapa TZ!!! Hahahaha!!!!
Njaa zinawasumbua, washaridhika na visima vya maji chumvi na vipaza sauti!hao ni wehu waliokosa kazi za kufanya. wanahimizana kupinga maandamano ya kudai haki katika nchi yao, lakini wanajifanya kuandamana kudai haki za Walibya. unafiki tu.
Wamelala wanafaidi mavituz! from the american people!Mbona yalizuiliwa, inakuwaje hapo, habari za kiintelijensia hazijawafikia wenye nchi?
Tena mwarabu!Inflation! kwa hao wanaoandamana hilo ni jina la mtu!!!!!!!!
polisi wepi? hawa hawa?polisi walishapiga marufuku,niliona tbc jana kova akisema
Mkuu hapo kwenye redi, Hao ni wasomi wetu ambao wametangulia kusoma chuo, ndio wakaanza darasa la kwanza... mtoto mdogo anasoma chuo, lazima atadumaa tu.Elimu bana kitu cha muhimu sana!!! badala ya kuandamana sky-rocketing ya price za bidhaa mbali mbali, migawo ya umeme, uongozi mbovu wao wanaandamana upuuzi
wenyewe libya wameandamana? very absurdy... simply stupid move
Wanaompinga wamepandikizwa na Mataifa ya Magharibi.