Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,950
- 711
Mie nilifikiri wanaandamana kwa sababu ya watu kuuawa na mabomu ya Gongo la Mboto!!
Akh-ya Mungu!JK at work
Baadhi ya wana JF leo wameamkia kushoto, Kweli wameonyesha jinsi wasivyokuwa wavumilivu kwa kutoa maneno mazitomazito kwa issue ambayo haiwahusu huku wengi wetu tukiwa tunaelewa matatizo mengi tu ya nchi. Je? Mnasemaje tuandamane kumgo huyu kibaraka wa Mafisadi (punguzen jaziba)
Hakika wamefikisha na kuonywsha hisia zao dhidi ya Serikali dhalimu ya Wamarekani9 na wenzake Ufaransa na Uingereza.
kama kweli hawa wangetaka haki kwanza wangeanza kumpiga Bagbo wa kule Iviry coast. Kwanini wameanzia kumpiga Gaddafi, Hiyo inaonyesha kuna mambo yamejificha ikiwa pamoja na kutaka utajiri wa nchi ile kama mafuta. Ni vizuri wooote mlijue hilo.
Lakini vile vile kama kweli Wamarekani walikuwa na nia njema kwanza wangeanza kumalizia zile vita walizozianzisha kama Afghanstan, Iraq n.k
Ni lazima dini ya haki ilione hilo na kulikemea kwa kuonyesha dhahiri kuwa wamechukia na hawalipendi.
Yaa Mola walaani wale wote walio madhwalimu
Uhusiano wa karibu saaana mkuu! well saidsuleimani kova,khalphan kikwete,said mwema,galib bilal,vwai nahodha.je hawa watu wana uhusiano na maandamano ya leo?
suleimani kova,khalphan kikwete,said mwema,galib bilal,vwai nahodha.je hawa watu wana uhusiano na maandamano ya leo?
Hakika wamefikisha na kuonywsha hisia zao dhidi ya Serikali dhalimu ya Wamarekani9 na wenzake Ufaransa na Uingereza.
kama kweli hawa wangetaka haki kwanza wangeanza kumpiga Bagbo wa kule Iviry coast. Kwanini wameanzia kumpiga Gaddafi, Hiyo inaonyesha kuna mambo yamejificha ikiwa pamoja na kutaka utajiri wa nchi ile kama mafuta. Ni vizuri wooote mlijue hilo.
Lakini vile vile kama kweli Wamarekani walikuwa na nia njema kwanza wangeanza kumalizia zile vita walizozianzisha kama Afghanstan, Iraq n.k
Ni lazima dini ya haki ilione hilo na kulikemea kwa kuonyesha dhahiri kuwa wamechukia na hawalipendi.
Yaa Mola walaani wale wote walio madhwalimu
Mufti alishasema no kushiriki katika maandamano, hapo vipi? hahahahahaha! shule muhimu sana!
Qaddafi analaumu Al-Qaeda. Wewe wa Mbagala unalaumu mataifa ya magharibi.
nani mkweli kati ya wewe na Qaddafi?
Kuna Anti – America demonstration inaendele karibu na International School of Tanganyika mwenye habari na picha kamili atujuze...