Maandamano ya Kumsapoti JK Washington DC

<span style="font-family: Arial"><font size="2"><font color="#000000"> <span style="font-family: Times New Roman"><font size="3">Waraka huu ni kwako wewe hasidi wa upendo, utulivu, na amani ya taifa letu la Tanzania unayejiita <b>Eliakim Mallya</b> na wapuuzi wenzako. Sina uhakika kama kweli jina hilo ulilotoa ni lako, maana kina cha woga na ujinga ulionao, havikuwezeshi wewe kuwa na ushujaa wa kutoa jina lako la kweli. Ninasikitika kwamba </font></span><span style="font-family umechemka.
 
Hongera sana Mallya wameshindwa kuvumilia moto mwisho wameanza kujitokeza kwa maana sijawahi kusikia rais anaandaliwa maandamano huko ya kumsupport yeye ni Diplomat ana msafara wake huu wasiwasi unatoka wapi walifikiri unatania.
 
Mkutano huu ni muhimu sana kwa watanzania tuishio nje, na kutakuwa na mada muhimu sana za kujadiliana hususani sisi watanzania ambao tunamapenzi makubwa na nyumbani, na ambao tunafuatilia mambo yanayoendelea huko.

Vile vile mkutano huu utajadili hoja muhimu kama bima ya Wana-diaspora chini ya NSSF ambayo itasaidia sana kuepukana na uchangishaji mara tupatapo misiba. Kwa umuhimu kuingiza siasa kunaweza kuwa na madhara makubwa sana. Kwa waandaaji kama hali itakuwa ni siasa basi Rais asije ile tufanikiwe katika hili. Wenzetu walioko nje wanafanya mambo makubwa sana na wanaushirikiano mzuri sana.

Kama Rais anasafiri sana inamaana mmeishakutana naye sana, na kama ni wa kusafiri atakuja tena tu, mtaitana kisirisiri kula ubwabwa na kucheka, sasa anapokuja kwenye kitu muhimu kwa watanzania ndio tuandamane, hii ndio akili yetu watanzania
 
Hya maandamano ya kumpinga JK yanawatoa nyoka kwenye mapango walikokuwa wanafaidi mpunga wa walipa kodi bila kunawa mikono khe khe khe kheeee kumbe wanakiona cha mtema kuni.

BTW hivi huku Alaska anakuja lini? Nataka na mimi nishiriki kwenye maandamano.
 
Haya magamba magumu sijui kama yanaweza vulikwa kwa maji ya moto!!!!Haki(unayejiita) we ni gamba gumu.Sidhani kwa mtanzania anayejua hali ilivyo nchini anaweza akakaa chini na kuandika upuuzi kama huu!!!!Au kwa kuwa nyie mko majuu hampati shida kama wanavyopata sisi tulioko nchini!

Hakika hatuna watu wazalendo wenye kupenda haki na maendeleo zaidi ya walafi na wanafiki kama wewe
 
Watanzania mlioka USA: mjue kwamba hali yetu huku nyumbani inatisha. Hata hivyo sisi tunaandamana licha ya vitisho vikali vya serikali ya CCM. Tuna kesi kadha za kuandamana. Tunapoandamana huku tuna uhakika wa kukutana na FFU, mabomu ya machozi, maji ya kuwasha na hata risasi za moto. Serikali huko haina tolerance tena. Najua huko US mkiandamana mko salama.

Naomba mjue kuwa msipoandamana dhidi ya Kikwete mtakuwa mmetusaliti. Tokeni kwa wingi, andamaneni bila woga, muiponye Tanzania.

Msipoandamana huko, tutaandamana huko 'KUWALAANI KWA KUTOANDAMANA'
 
Ukifanya sampling Randomly ya watu wanaopinga ulegelege wa serikali ya Kikete Unaona kabisa kuwa watanzania wamechoshwa na hali ngumu ya maisha na viongozi viziwi wasiojali hali za wananchi wa Taifa letu la Tanzania, Maaandamano oyeee lazima kieleweke Aluta continua!
 
Wewe gamba naomba uniambie kikwete kwanini atembelei mikoa kazikasin na kanda ya ziwa mpaka leo kama kweli alichaguliwa kialali haruta countinue mpaka angoke m kwerre...........k
Alienda kusini kukagua shamba la mihogo la ekari tatu, akahutubia watoto,
akaenda kutembelea matank ya maji yaliyojengwa enzi sijui za Nyerere,
Akatembelea kibanda cha kubangua korosho kwa mikono, wakina mama wakanunuliwa uniform mppya masikini, mwenyewe anachekacheka tu!!!
 
Waraka huu ni kwako wewe hasidi wa upendo, utulivu, na amani ya taifa letu la Tanzania unayejiita Eliakim Mallya na wapuuzi wenzako. Sina uhakika kama kweli jina hilo ulilotoa ni lako, maana kina cha woga na ujinga ulionao, havikuwezeshi wewe kuwa na ushujaa wa kutoa jina lako la kweli. Ninasikitika kwamba imebidi watu wenye heshima zetu tukae chini kutoa kauli kuhusiana na upumbavu uliowekwa kwenye mtandao na mtu asiyekuwa na heshima wala adabu kama wewe, na wapuuzi wenzako wengine mlioko katika kapu moja.
Kwanza, tendo la kumvunjia heshima kiongozi wa taifa letu kwa kutoa kashifa iliyotolewa, pia ni tendo la kulivunjia heshima taifa letu na watu wake, jambo ambalo linakufanya wewe Eliakim Mallya na wote mnaohusika na kashifa hii kuwa mahayawani, maana hayawani hana aibu.

Pili, ukosefu wa utimamu wa akili yenu nyie mhusikao na kashifa hii, pia unajidhihirisha kwa jinsi mlivyojaribu kukosea heshima Watanzania tunaoishi Marekani kwa kujifanya kutuwakilisha wakati nyie ni vivuli. Ni mtu gani awezaye kusikiliza maneno yatokayo kwenye vinywa vya wapumbavu? Ninawajutia kuwa mmesoma kwa kiasi fulani lakini hamkuelimika hata kidogo.

Tatu, ninyi ni viumbe msiokuwa na tone la shukurani kwani pamoja na kwamba Tanzania iliwasomesha na kuwafikisha hapo mlipo (hamwezi kulikataa hilo), mnaanza kuisaliti na kuibeza. Hali kadhalika ninyi ni wasaliti wa utamaduni, mila na desturi za taifa letu na watu wake. Hadhi ya Watanzania iko katika kauli zao njema nyumbani na hata ughaibuni-mahali popote walipo. Taifa letu limepata sifa kubwa sana kutokana na ubora na mwenendo wa tabia za watu wake dunia nzima. Leo hii, watu wachache mliochanganyikiwa mnataka kuupaka matope ubora wetu; hatutaruhusu wala kukubali vitendo na mienendo ya kihuni.

Nne, wahenga walisema debe shinda haliachi kutika, na debe tupu haliachi kuvuma; ninyi mlionena na kuchapisha uvundo wenu huu, ni mifafano dhahiri ya methali hizo. Kwa vile Eliakim Mallya na wenzako mmetota, endeleeni kutota katika tope la ujinga na utovu wa adabu kama walivyo wahaini wa aina yenu.

Mwesigwa. Blandesi

Ukitaka kujua ulichoandika hapa kwamba unadhihirisha kutoelimika tazama maoni ya waliowengi wanavyokushangaa. Kumbuka kizazi cha leo hatuishi kwa kujikomba ili tupate cheo, tunachojua hiyo ni haki ya kila mmoja.

Hii si zama ya kuwaimbia nyimbo za kuwasifu viongozi wakati tuko gizani, magari na viwanda vimesimama eti tuende kumlakini Kikwete. Mwenye akili kama yako ndiye atakayeambatana nawe, lakini tulioelimika tutafunua ukweli kuhusu taifa letu linavyoenda mrama.
 
wana hamu yakuonekana kwenye vyombo vya habari pia naona kumpongeza kwa ushindi haitoshi mpongezeni kwakuweza kutupa umeme kwa mgao, mafuta kwa mgao, foleni za mijini kutuongezea, kusaini mikataba feki,kutumia polisi kuangamiza raia wasio na haki,kukandamiza upinzani, kumtuma waziri mkuu kusema uongo bungeni, kuoa kila kukicha kama mswati, kuiba kura mwaka 2010, kulipua raia wa mbagala na gombs kwa mabomu, kuwakumbatia mafisadi wakiwemo mapacha watatu.
ongezeeni
 
Waraka huu ni kwako wewe hasidi wa upendo, utulivu, na amani ya taifa letu la Tanzania unayejiita Eliakim Mallya na wapuuzi wenzako. Sina uhakika kama kweli jina hilo ulilotoa ni lako, maana kina cha woga na ujinga ulionao, havikuwezeshi wewe kuwa na ushujaa wa kutoa jina lako la kweli. Ninasikitika kwamba imebidi watu wenye heshima zetu tukae chini kutoa kauli kuhusiana na upumbavu uliowekwa kwenye mtandao na mtu asiyekuwa na heshima wala adabu kama wewe, na wapuuzi wenzako wengine mlioko katika kapu moja.
Kwanza, tendo la kumvunjia heshima kiongozi wa taifa letu kwa kutoa kashifa iliyotolewa, pia ni tendo la kulivunjia heshima taifa letu na watu wake, jambo ambalo linakufanya wewe Eliakim Mallya na wote mnaohusika na kashifa hii kuwa mahayawani, maana hayawani hana aibu.

Pili, ukosefu wa utimamu wa akili yenu nyie mhusikao na kashifa hii, pia unajidhihirisha kwa jinsi mlivyojaribu kukosea heshima Watanzania tunaoishi Marekani kwa kujifanya kutuwakilisha wakati nyie ni vivuli. Ni mtu gani awezaye kusikiliza maneno yatokayo kwenye vinywa vya wapumbavu? Ninawajutia kuwa mmesoma kwa kiasi fulani lakini hamkuelimika hata kidogo.

Tatu, ninyi ni viumbe msiokuwa na tone la shukurani kwani pamoja na kwamba Tanzania iliwasomesha na kuwafikisha hapo mlipo (hamwezi kulikataa hilo), mnaanza kuisaliti na kuibeza. Hali kadhalika ninyi ni wasaliti wa utamaduni, mila na desturi za taifa letu na watu wake. Hadhi ya Watanzania iko katika kauli zao njema nyumbani na hata ughaibuni-mahali popote walipo. Taifa letu limepata sifa kubwa sana kutokana na ubora na mwenendo wa tabia za watu wake dunia nzima. Leo hii, watu wachache mliochanganyikiwa mnataka kuupaka matope ubora wetu; hatutaruhusu wala kukubali vitendo na mienendo ya kihuni.

Nne, wahenga walisema debe shinda haliachi kutika, na debe tupu haliachi kuvuma; ninyi mlionena na kuchapisha uvundo wenu huu, ni mifafano dhahiri ya methali hizo. Kwa vile Eliakim Mallya na wenzako mmetota, endeleeni kutota katika tope la ujinga na utovu wa adabu kama walivyo wahaini wa aina yenu.

Mwesigwa. Blandesi

Huna lolote wewe mwanaharamu kibaraka.Ni matatu,aidha wewe ni accessory to ufisadi (ndugu,rafiki,mnufaika , wa umafisadi),au ni walewale vijana wa Othman (which is most likely),au ni kale kaugonjwa ka kujikomba (which I doubt kwa vile ungetumia jina lako halisi ili hao unaojikomba kwao wakuone).

Mpuuzi wewe unataka kuturejesha zama za chama kimoja ambapo kiongozi ni Mungu-mtu.Kwanini unalazimisha matakwa yako yawe ya dunia nzima?Kama ni haki kwako kumpenda Kikwete basi ni haki pia kwa mwingine kutompenda.Maandamano dhdi ya Kikwete hayalengi kumdhalilisha wala kumchafulia jina.Ni harakati za Watanzania wenye uchungu na nchi yao wanaodai kilicho bora kwa taifa lao.Sasa kosa lao hadi hapo ni lipi?

Lugha unayotumia ni kama anayotumia Riz One huko Twitter.Imejaa ngebe,kejeli na matusi.Ni uwendawazimu kumkalia kooni Bwana Mallya kwa madai ya kumdhalilisha Rais ilhali na wewe unafanya kilekile kuwadhalilisha Watanzania wenzako wenye mawazo tofauti na yako.

Anyway,pole na swaum bwana kiseo
 
Back
Top Bottom