Maandamano ya Kumsapoti JK Washington DC

Waraka huu ni kwako wewe hasidi wa upendo, utulivu, na amani ya taifa letu la Tanzania unayejiita Eliakim Mallya na wapuuzi wenzako. Sina uhakika kama kweli jina hilo ulilotoa ni lako, maana kina cha woga na ujinga ulionao, havikuwezeshi wewe kuwa na ushujaa wa kutoa jina lako la kweli. Ninasikitika kwamba imebidi watu wenye heshima zetu tukae chini kutoa kauli kuhusiana na upumbavu uliowekwa kwenye mtandao na mtu asiyekuwa na heshima wala adabu kama wewe, na wapuuzi wenzako wengine mlioko katika kapu moja.
Kwanza, tendo la kumvunjia heshima kiongozi wa taifa letu kwa kutoa kashifa iliyotolewa, pia ni tendo la kulivunjia heshima taifa letu na watu wake, jambo ambalo linakufanya wewe Eliakim Mallya na wote mnaohusika na kashifa hii kuwa mahayawani, maana hayawani hana aibu.

Pili, ukosefu wa utimamu wa akili yenu nyie mhusikao na kashifa hii, pia unajidhihirisha kwa jinsi mlivyojaribu kukosea heshima Watanzania tunaoishi Marekani kwa kujifanya kutuwakilisha wakati nyie ni vivuli. Ni mtu gani awezaye kusikiliza maneno yatokayo kwenye vinywa vya wapumbavu? Ninawajutia kuwa mmesoma kwa kiasi fulani lakini hamkuelimika hata kidogo.

Tatu, ninyi ni viumbe msiokuwa na tone la shukurani kwani pamoja na kwamba Tanzania iliwasomesha na kuwafikisha hapo mlipo (hamwezi kulikataa hilo), mnaanza kuisaliti na kuibeza. Hali kadhalika ninyi ni wasaliti wa utamaduni, mila na desturi za taifa letu na watu wake. Hadhi ya Watanzania iko katika kauli zao njema nyumbani na hata ughaibuni-mahali popote walipo. Taifa letu limepata sifa kubwa sana kutokana na ubora na mwenendo wa tabia za watu wake dunia nzima. Leo hii, watu wachache mliochanganyikiwa mnataka kuupaka matope ubora wetu; hatutaruhusu wala kukubali vitendo na mienendo ya kihuni.

Nne, wahenga walisema debe shinda haliachi kutika, na debe tupu haliachi kuvuma; ninyi mlionena na kuchapisha uvundo wenu huu, ni mifafano dhahiri ya methali hizo. Kwa vile Eliakim Mallya na wenzako mmetota, endeleeni kutota katika tope la ujinga na utovu wa adabu kama walivyo wahaini wa aina yenu.

Mwesigwa. Blandesi

Eti hatuna fadhila licha ya kusomeshwa! Wao wanavuna nchi yetu walitoa pesa mifukoni mwao? Mijitu mingine hata haifikiri! Ninyi ndio wale wa ilimradi amani ipo mengine majariwa!
KIKWETE LAZIMA AKUTANE NA MABANGO YA KUMPINGA! AKAE NYUMBANI ASHUGHULIKE MATATIZO YA WATANZANIA

I real want to see this hapo DC. Najua sisi tulio Tanzania tunahakikisha harudi tena hapa Tanzania na nyie wajinga mlioko huko US mnataka kumpokea kwa wizi wake wa kura na fedha za wananchi sio. Hayo maandamano yenu tunataka balozi atangaze rasmi kwani si tunajua ni kipenzi chake kwa kumpa kazi ya ubalozi US. Huyo mama si unajua huko ndani ya ccm wanapigania hizi post za kufanya mahali kama US na UK hivyo yeye kahakikishiwa ana posho kubwa na percent katika kila deals za kikwete, Idd Simba na Rostam huko US.

Bring it on na nikifanikiwa kutoka lazima niwe DC kuwasha moto kwa kikwete anayesafiri na tax money yangu. Hata aibu huna, unatumia vitu vya bure kwa kutumia njia ya wizi wa kura kujilazimisha kama raisi wa Tanzania wakati huwezi ku-explain 20million voters ni wakina nani mpaka leo hii. Hata ushahidi huna wakuonyesha hadharani ulishinda hizo kura wahuni wenzio waliokupa. Wananchi tunamtambua Dr Slaa ndio raisi wetu hata kama ukiendelea kutumia katiba yenu na ffu wenu. Watanzania hawana hata ndege moja ila wewe kikwete huoni hata aibu kurusha na kuwasha ndege kumwaga mafuta wakati wananchi hawana mafuta ya kutumia kwa ajili ya huduma za umeme mahospitalini, majumbani na hata usafiri wa kupeleka wagonjwa kwa ajili ya huduma? Thats why we think kikwete ni incompetent, corrupt, arrogant and everything above... nani angempigia kura binadamu wa namna hii?

By the way kikwete hufiki 2015

Nakubaliana na maelezo yako mkuu 100%

Kuna jitihada kubwa zinafanyika kuhakikisha Rais JK anapokewa kwa heshima atakapokuja Washington. Watanzania mnaombwa kushiriki kwa wingi ktk Ubalozi wa TZ uliopo Washington DC kumpa Support na changamoto Rais JK ambaya alishinda uchaguzi 2010. WTZ mliopo Marekania mnaombwa mjitokeze kwa wingi kumpa Support Rais JK.

Mpenda Haki, na Ukweli.

NY, USA

Kuweni na huruma na watz,hivi huyo Jk hamuoni anavyoendelea kuimaliza nchi kwa kuiuza kwa watu wanaojiita wawekezaji? Naumia sana na watu wa aina yenu kwa kweli,ndugu zetu mlioko huko endeleeni na msimamo huo huo wa kuonyesha mabango kwa huyu Rais kiguu na njia,mfano ametoa tani za Mahindi kwenda Somalia wakati zipo taarifa kua Singida Wilaya ya Manyoni wanakula Pumba hivi kweli huyu ni Raisi kweli na anawaza vzr?

Peopleeeees!! Jamani hivi kwanini huyu anaejiita mwesigwa blandes asipigwe ban? Kwa kweli umetusaliti. Sidhan hata wewe hilo ni jina lako la ukwel. Unamuaibisha Mwesigwa Baregu. Ukifa unatakiwa utupwe chooni na siyo kaburini. Kwa nini huna huruma kwa waTANZANIA? Eliakimu Malya the great,aluta continue.

Mungu yu pamoja nasi. Never giveup to the last dot of blood. We are together brother. Acheni upuuzi wa huyo mwehu zionist mwesigwa blandes mla vya watu na mchapia steel wire huyo. Mwesigwa angalia thread zako usiropoke tu. Au kwa vile huonekani?

Shame upon u. Na hutafanikiwa. Damu ya wa Tanzania inakulilia mlangoni mwako na huyo mpuuzi mwenzako anaekuja huko kulimbikiza mali zake na za mwanae. Watu wa arusha na nyamongo wamekufa kwa sababu ya upumbavu kama wako huo wa kuitetea serikali, na siyo wananchi.

Acha kujikomba kwani huna hakika na GPA yako kwamba utakosa kazi? Acheni uhayawani. Big up sana eliakimu malya.

Kuna jitihada kubwa zinafanyika kuhakikisha Rais JK anapokewa kwa heshima atakapokuja Washington. Watanzania mnaombwa kushiriki kwa wingi ktk Ubalozi wa TZ uliopo Washington DC kumpa Support na changamoto Rais JK ambaya alishinda uchaguzi 2010. WTZ mliopo Marekania mnaombwa mjitokeze kwa wingi kumpa Support Rais JK.

Mpenda Haki, na Ukweli.

NY, USA

Tuondolee upupu wako hapa hamna kitu kama hicho wala hakitakaa kitokee kwenda kucheka wakati watu wanakosa huduma za msingi za kijamii, utaenda wewe na magamba wenzako wenye akili fupi za kufikiri juu ya jambo mlitendalo.

Hapa ni mabango kwa kwenda mbele, Atatue matatizo ya watanzani safari za kila siku hatuzitaki aache kukimbia majukumu.

Peopleeeeeeeeeeeeeees!!?, naona jamaa anakuja na id tofauti za kujisuport! Huleeeee, no one suport yr nonsense post on jk. Am the cdm follower!! As a youth i believe i can make changes to our tz economic welbeing through political revolution! We have many real revolutionalist and patriotists. Ninataka wote wa aina ya mwesige waangukie pua cku za uson!

Waraka huu ni kwako wewe hasidi wa upendo, utulivu, na amani ya taifa letu la Tanzania unayejiita Eliakim Mallya na wapuuzi wenzako. Sina uhakika kama kweli jina hilo ulilotoa ni lako, maana kina cha woga na ujinga ulionao, havikuwezeshi wewe kuwa na ushujaa wa kutoa jina lako la kweli. Ninasikitika kwamba imebidi watu wenye heshima zetu tukae chini kutoa kauli kuhusiana na upumbavu uliowekwa kwenye mtandao na mtu asiyekuwa na heshima wala adabu kama wewe, na wapuuzi wenzako wengine mlioko katika kapu moja.
Kwanza, tendo la kumvunjia heshima kiongozi wa taifa letu kwa kutoa kashifa iliyotolewa, pia ni tendo la kulivunjia heshima taifa letu na watu wake, jambo ambalo linakufanya wewe Eliakim Mallya na wote mnaohusika na kashifa hii kuwa mahayawani, maana hayawani hana aibu.

Pili, ukosefu wa utimamu wa akili yenu nyie mhusikao na kashifa hii, pia unajidhihirisha kwa jinsi mlivyojaribu kukosea heshima Watanzania tunaoishi Marekani kwa kujifanya kutuwakilisha wakati nyie ni vivuli. Ni mtu gani awezaye kusikiliza maneno yatokayo kwenye vinywa vya wapumbavu? Ninawajutia kuwa mmesoma kwa kiasi fulani lakini hamkuelimika hata kidogo.

Tatu, ninyi ni viumbe msiokuwa na tone la shukurani kwani pamoja na kwamba Tanzania iliwasomesha na kuwafikisha hapo mlipo (hamwezi kulikataa hilo), mnaanza kuisaliti na kuibeza. Hali kadhalika ninyi ni wasaliti wa utamaduni, mila na desturi za taifa letu na watu wake. Hadhi ya Watanzania iko katika kauli zao njema nyumbani na hata ughaibuni-mahali popote walipo. Taifa letu limepata sifa kubwa sana kutokana na ubora na mwenendo wa tabia za watu wake dunia nzima. Leo hii, watu wachache mliochanganyikiwa mnataka kuupaka matope ubora wetu; hatutaruhusu wala kukubali vitendo na mienendo ya kihuni.

Nne, wahenga walisema debe shinda haliachi kutika, na debe tupu haliachi kuvuma; ninyi mlionena na kuchapisha uvundo wenu huu, ni mifafano dhahiri ya methali hizo. Kwa vile Eliakim Mallya na wenzako mmetota, endeleeni kutota katika tope la ujinga na utovu wa adabu kama walivyo wahaini wa aina yenu.

Mwesigwa. Blandesi

Post yako inaonesha ni namna gani ulivyo mbinafsi na usiye na upendo kwa raia wenzako wa Tanzania wanaoteseka kila siku. Usiwe kama hujui mambo yanayotokea huku kila siku, kila siku maisha ya watanzania yanazidi kuwa magumu pamoja na jitihada zao za kila siku za kujikwamua kiuchumi.... Wanafunzi wanakwenda shule lakini hakuna walimu, vitabu wala maabara; wanafunzi wanamaliza vyuo vikuu lakin hakuna ajira wala mfumo wa kuwawezesha kujiajiri; wafanyakazi wanalipwa mishahara midogo isiyowawezesha kujikwamua kiuchumi; matajiri wachache, marafiki wa JK wanajineemesha kwa kujimegea utajiri mkubwa wa nchi yetu; maliasili zinagawiwa bure bila kuwanufaisha watanzania kwa mgongo wa
uwekezaji na mengine mengine.

Lakini Mwesigwa, unaona bado haitoshi kumuwajibisha kidogo kwa maandamano?! Hii ni hatari na tabia kama yako ndio inayotufanya watanzania tuendelee kuwa maskini, Badilika tuijenge nchi kwa kuwawajibisha wanaotusababishia hali ngumu!?

mbinu za kanisa kwa ****** zitagonga mwamba kwani ukiwa na akili kwa nini ****** munamuonea bure haya yote ni munataka atoke basi mpaka mwisho kieleweke nanyi wa huko marekani amekuja mara ngapi au ndiyo ni mashauzi yenu sasa fanyeni hivo muone,
Go to hell all who hate ******.

Mkuu futari ya mchemsho wa kiti moto imekulevya? Mbona unapeleka mashambulizi kusiko husika? Kanisa linaingiaje hapa?

Kweli nimeamini mtu akishafilisika kisera na kihoja lazima ajifiche kwenye udini,ukanda na ukabila.

Si ajabu wewe ni mmoja wa watu wasiokua na uchungu na huruma na nchi yetu na wananchi kwa pamoja,sijajua unalenga nini unaposema unamsapoti rais ambae nch yake wakina mama wanakufa wakati wa kujifungua kwa kukosa dawa na usimamizi,mgawo wa umeme wa saa mpaka 48,shule kutokuwa na walimu na vitendea kazi,ufisadi kila kukicha,vijana kukosa ajira na mengine mengi yatakayomfanya mtu makini na anaetumia ubongo wake vyema kuona kuwa huyu amekosa uhalali wa kuendelea na nafasi yake!Hey use your brain!!

Kuna jitihada kubwa zinafanyika kuhakikisha Rais JK anapokewa kwa heshima atakapokuja Washington. Watanzania mnaombwa kushiriki kwa wingi ktk Ubalozi wa TZ uliopo Washington DC kumpa Support na changamoto Rais JK ambaya alishinda uchaguzi 2010. WTZ mliopo Marekania mnaombwa mjitokeze kwa wingi kumpa Support Rais JK.

Mpenda Haki, na Ukweli.
NY, USA

Wale wanaondaa maandamano ya kumpinga waanatoa sababu za kufanya hivyo wewe mbona hautoi sababu?Unamsapoti kwa lipi? Toa upupu wako JF siyo sehemu ya vilaza wa kupokea tu taarifa bila kuhoji

Yani kuna watu wa ajabu sana humu duniani. MNAMTETEA KIKWETE KWA LIPI? Enyi WAPUUZI WAPUMBAVU mnaotumiwa kama chu.pi hamjisikii karaha? Jk ni mhuni tu aliyepata madaraka kimiujiza tu. Rais gani anacheka na kugonga kama sh.@*¿ Mawaziri wake wanazungumzia vyanzo mbadala vya umeme.

Siwasikii wakizungumzia maji. Yeye anadai tatizo la umeme lifumbuliwe kwa sala. Shit, meen! Na kwa taarifa yenu nyie magamba, kikwete ataishia kujificha kwenye handaki. Ikulu atapaona padogo. WAPUUZI NYIE

Si ajabu wewe ni mmoja wa watu wasiokua na uchungu na huruma na nchi yetu na wananchi kwa pamoja,sijajua unalenga nini unaposema unamsapoti rais ambae nch yake wakina mama wanakufa wakati wa kujifungua kwa kukosa dawa na usimamizi,mgawo wa umeme wa saa mpaka 48,shule kutokuwa na walimu na vitendea kazi,ufisadi kila kukicha,vijana kukosa ajira na mengine mengi yatakayomfanya mtu makini na anaetumia ubongo wake vyema kuona kuwa huyu amekosa uhalali wa kuendelea na nafasi yake!Hey use your brain!!

Na hata damu salama hatuna sasa kwasababu ya kutoona vipaumbele vyetu. âKuongezewa damu sasa hatariâ
Matatizo yaliyopo ndani ya uwezowetu kuyatatua ni mengi, tatizo tumeruhusu kilakitu kuamuliwa na wanasiasa ambao hawana taaluma husika na kuwaweka wataalamu pembeni.

Kuna habari nyingine ukizisikia zinatisha na usiweze kuamini kama kuna serikali inayosimamia raia wake hapa.

Jamani tunajua shida za Tanzania na si kweli kwamba kuna wana diaspora waliohaidiwa chochote lakini kwa mawazo yangu fanyane maaandamano UN JK atakapo hutubia sio DC kwani tuna mambo muhimu ambayo tunataka kuongelea kwenye dispora meeting. Kikwete sio lazima aje na kama maandamano yataendela basi tutamuomba asije kwenye mkutano wetu wa DC kwani Kikwete hasaidii lolote kuja kwenye mkutano lakini mkutano ni lazima tufanye. Huu mkutano kama nilivyokuwa nafikiria ni mawazo mabaya kuchanganya na ubalozi kwani watu wanaanza kufikiria ni mkutano wa serikali si kweli huu ni mkutano wa Watanzania na Wamerakani wenye nia nzuri waishio huku na mgeni wa Tanzania kama mwaka jana alikuwa katibu mkuu kiongozi aliongea dakika 30 tu. Kuna watu wa vyuo, Mkuu wa miradi ya barabara ya millenium challenge, representative wa USA wa kanda ya mashariki kutoka kwa mama clinton, representative wa world bank, IMF, n.k hivyo kama kikwete ataleta drama ni bora asiwepo!. Mimi sio mshabiki wa Chama chochote kile lakini kwa mawazo yangu ningeona ni vizuri watu kuandamana UN na sio DC hii pesa ya mikutano tumelipa sisi na si serikali!!. Serikali ni mwalikwa mmoja tu kati ya wengi! hata kama tusipokuwa na kiongozi wa bongo poa tu

Nadhani hapa ndo panafaa zaidi kwa waandamanaji kufikisha ujumbe

sasa mnamualika jk wa nini? Si bora mgeni rasmi awe balozi wenu? Au membe? Who the hell is jk? Mjue tu kwa kumualika mnalitesa taifa hili. Sina takwimu sahihi ya gharama za safari yake moja. Ila ni gharama kubwa mno ambazo ni kodi zetu. Kama mnataka basi mumpige STOP kuja huko

Back
Top Bottom