Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

Status
Not open for further replies.
Lakini hasa safari hiyo anafuata nini huko DC, ingekuwa vyema pia wadau kufahamu kusudio la safari maana itasaidia watu kufikia maamuzi ya ushiriki wao katika maandamano hayo.
 
mi nshaona hamna cha maandaman wala nini huyu mwingireza ashatufanya sisi wajinga kila siku kesho.......BUNCH OF CHEATS...!
 
Lakini hasa safari hiyo anafuata nini huko DC.

Mkutano wa UN General Assembly(UNGA), ambao pia utajidili masuala yanayohusu magonja yasiyo ya kuambukizwa hasa Malaria, JK ni mwenyekiti wa marais wanaopambana na Malaria.
 
Nakuambia CCM wanafikiri nguvu ya soda ngoja tuone kama watu hawajaanza kukimbia nchi
 
Ndoto za mchana hizo. Wahuni hawatakaa watawale nchi hii!!....period!
hahahahahaah....nimekumbuka maneno ya gadafi nae alisema maneno yanayo shabiiana na haya lakini leo hajulikani yuko shimo gani wahuni wana kula bata....
 
Mkutano wa UN General Assembly(UNGA), ambao pia utajidili masuala yanayohusu magonja yasiyo ya kuambukizwa hasa Malaria, JK ni mwenyekiti wa marais wanaopambana na Malaria.

Unajua unachoandika au unaropoka tu! Malaria sio ugonjwa unaombukizwa? Shame yourself. Magonjwa yasiyoambukizwa ni kama allergy, diabetes, BP nk na hayo mawli ya mwanzo niliyotaja ndiyo yameingizwa kwenye mpango huo.
 
CCM mlichobakiza ni udini na ukabila tu pole sana...

Pole ninyi mnaoendelea kuandamana, rais anaendelea shughuli zake na watanzania wanaendelea na kazi zao za kujiletea maendeleo isipo wajinga kama wewe mnaotumiwa kufanya vurugu kwa manufaa ya familia nne za CHADEMA.
 
SAMMOSSES:big up,we fed up with the entirely circumstance,Our fresh and plenty nation becomes the dump of all culprit!we emancipate ourselves from mental parasite,none but ourselves can free our country?this is redemption message to our Native.Our best friend we believed for more about fifty years leads us to the dustbin of poverty,why don't we disagree in this calamity and lack of humanity amongst us.

Lets us eliminate them through the protest,by refusing them through the faces of their Husband(American).how long we spoken out to rectify our problems,while they stand aside and look because they are benefactor of our minerals.All we are the witness of decline of our treasury(minerals).
We emancipate ourselves to say stop theft of our mineral in our country.

we want changes,we wants our plenty nation with its reputation,we wants them out of rules and send them in jail.its time of freedom,we wants to be free from disloyal cleric.
 
If you have better solution kwani nini usisaidie ndugu zako au unasubiri rais wa nchi hii awe mchaga?
<br />
<br />
Ulitakiwa kwanza ufungiwe jiwe shingoni then utupwe bahari!HUFAI HATA KWA DAWA!Nyambafu
 
<br />
<br />
Ulitakiwa kwanza ufungiwe jiwe shingoni then utupwe bahari!HUFAI HATA KWA DAWA!Nyambafu

Umeona sasa, huoni ni jambo jema CHADEMA si chama tawala, maana woote wanaowapinga wangeishia baharini. Mungu iepushe nchi hii na hawa wenye uroho wa damu zetu...amina
 
Hivi jamani maandamano yapo?

Yapo mkuu ila waandamanaji bado hawajua yatafanyika wapi maana hata mikutano inapofanyikia na hotel aliyofikia rais hawajajua, kesho tarehe 21 ndio itatoka ratiba kamili. Tafadhari nenda kaandamane kutakuwa na wazungu wengi sana watawaona.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom