Muinjilisti
Senior Member
- Dec 20, 2010
- 105
- 52
Sidhani kama amewatukana wanawake,hizo ni hisia zako tu.Alichofanya mkubwa huyu ni kujaribu kutufahamisha kuwa huenda yuko vile sababu ya menopause na hiyo ni condition ya kawaida kwa wanawake wa umri alioutaja,ingawa sio lazima wote kuwa na dalili tajwa.HAKUNA TUSI!
Vipi na Makamba naye yuko kwenye Menopause? Mbona yeye ni kituko zaidi? Tujue kutofautisha kati ya hilo mnaloliita Menopause na tabia za mtu za asili. Akosolewe kwa tabia zake zisizoridhisha na si kwa sababu yeye ni mwanamke, eti yuko kwenye Menopause!
Nimeona ni udhalilishaji wa jinsia kwa sababu Mwanamke yeyote aliyeko kwenye madaraka akichemsha mnaconclude hilo, wanaume wangapi wanachemsha! Acheni hizo!