Maandamano ya kumlaani Spika Makinda

Sidhani kama amewatukana wanawake,hizo ni hisia zako tu.Alichofanya mkubwa huyu ni kujaribu kutufahamisha kuwa huenda yuko vile sababu ya menopause na hiyo ni condition ya kawaida kwa wanawake wa umri alioutaja,ingawa sio lazima wote kuwa na dalili tajwa.HAKUNA TUSI!


Vipi na Makamba naye yuko kwenye Menopause? Mbona yeye ni kituko zaidi? Tujue kutofautisha kati ya hilo mnaloliita Menopause na tabia za mtu za asili. Akosolewe kwa tabia zake zisizoridhisha na si kwa sababu yeye ni mwanamke, eti yuko kwenye Menopause!

Nimeona ni udhalilishaji wa jinsia kwa sababu Mwanamke yeyote aliyeko kwenye madaraka akichemsha mnaconclude hilo, wanaume wangapi wanachemsha! Acheni hizo!
 
huyu mama mwepesi sana, wala haitaji maandamano. dawa yake ni kuendelea kumfrustrate na kumpanikisha kama mlivyoona juzi. mwenyewe atarudi kwenye line, asiporudi nitaomba mb mmoja wa chadema amtokee pale mbele na ile sima (rungu la bunge)
 
Hapana mkuu hakuna haja ya kuandamana ni kumpa muda tu.............. hili ni tatizo la kujifunzia kazi kazini !!!!
 
Nilitoa hoja hii wakati wa kikao kilichopita. Naomba tena nisisitize, kuwa kama kuna watu wana uchungu na demokrasia ya nchi yetu, basi wahakikishe huyu mama anadhibitiwa..
 
Ni haki upinzani kumshitaki spika kwa kuwa uendeshaji wa bunge unaenda kihorela na hii inadhihirisha kuwa huyu mama alishika madaraka hayo kwa nguvu ya mafisadi. Bunge linaweza kumuondoa spika katika madaraka yake iwapo tu inaweza kupigwa kura ya kutokuwa na imani naye au kwa njia ya maandamano. Yupo katika wadhifa huo kwa ajili ya kutetea maslahi ya wananchi na kama hawezi basi wananchi ndiyo watakaomwajibisha. Naomba tujadili!
 
Naunga mkono umma wa Watanzania (ukiacha wachache wanaofaidika na mfumo uliopo) waje juu na wapinge kwa namna zozote zile yakiwemo maandamano kuwepo kwa Spika kama Makinda ambaye hafai kutupleleka karne ya 211
 
Hapana, hawezi kupewa muda maana wananchi wataendelea kuumia. Na kama ni suala la kujifunzia kazi kazini ilikuwaje chama kikapitisha inexperience person kushika wadhifa huu? Kama ni kujifunza basi arudi shuleni akasome, wapo watu ambao wamemudu kuliongoza bunge letu kwa ustadi mkuu hivyo atoswe tu aondoke!
 
wabunge wa cdm hawana nidhamu na wanaendekeza fujo na lugha za kejeli bungeni je nyinyi hamlioni hilo?namsupport ana makinda 100 % anafaa mno kuwa spika.
 
Bado nahamasisha hii kitu. Kwa jinsi alivyoendesha mjadala wa mswada wa kutenegneza katiba mpya, hakuna namna zaidi ya kumuonyesha huyu mama tumeshoshwa naye...
 
Bila yeye kutoka haina maana kuandamana kwani wabunge kutoka bungeni ni ishara tosha na kama ni kubadilika angeshabadilika,hapa katiba mpya ndo suluhisho kamili
 
Mtu asiyeolewa nyinyi amuoni anamatatizo wewe hakuna ata kiumbe cha kiume kinachompenda na wanawake wengine wanasema alalikuwa na mambo ya ajabu shuleni

1. msagaji

2.mshirikina

3. ana jinsia mbili

 
I hope siku moja huu wito utafanyiwa kazi...
 
In fact Makinda is part of 'liwalo na liwe mission'. She seems to have nothing to loose would the country's peace distorted! I am really wondering at her decisions in the parliament sessions! No way except demos to show her, tnz and the entere world of hr ruining decisions.
 
Najua yapo mambo mengi ya kuandamana kwa sasa. Hata hivyo mi nadhani hili la bunge kuendeshwa ki-hovyo hovyo na Spika Makinda ni kubwa na jambo la hatari sana kwa maendeleo ya taifa letu. Nawashauri CHADEMA, na wote wanaokerwa na mama huyu, wafanye maandamano nchi nzima au sehemu kadhaa za nchi, kulaani uendeshaji mbovu wa bunge unaofanywa na spika. Ingawa najua haitafanya aondolewe madrakani, naamini itamoa msg, na itamfanya ajue kuwa anachokifanya bungeni kinawaudhi wengi. Mi nadhani kwa sasa anadhani kuwa hajashtukiwa kuwa anaendesha bunge visivyo, so akiona maelfu wameandamana kumlaani, atapata funzo fulani/

------------------------------------------------------------------------------------
------------------------------------------------------------------------------------

UPDATE

Nimefuatilia kwa karibu jinsi mama huyu anavyoendesha kikao cha bajeti, na ukisoma taarifa ya jinsi anavyomkingia kifua Pinda, naona bado haya maandamano hayaepukiki.
Mkuu Tuko, nimekusoma kuhusu, maandamano nchi nzima!, jee hiki ndicho Watanzania wanachokitaka kwa 2015?.

Nilidhani its high time kwa Chadema not to concentrate kueleza kile ambacho CCM haikufanya for the past 50 years, bali kile ambacho Chadema itafanya ili ichaguliwe 2015!.

Pasco.
 
Hakuna ubaya wowote wa kuandamana kumlaani kigagula kwa kuliendesha Bunge hovyo hovyo na hivyo Bunge hilo kuzidi kudharaulika. Kukaa kimya eti kusubiri 2015 hakuhusu chochote maana itampa kichwa kigagula na msaidizi wake Ndugai wazidi kuwaburuza Wabunge wa upinzani vile watakavyo katika juhudi za kuficha madhambi na uozo wa magamba.

Mkuu Tuko, nimekusoma kuhusu, maandamano nchi nzima!, jee hiki ndicho Watanzania wanachokitaka kwa 2015?.

Nilidhani its high time kwa Chadema not to concentrate kueleza kile ambacho CCM haikufanya for the past 50 years, bali kile ambacho Chadema itafanya ili ichaguliwe 2015!.

Pasco.
 
Hakuna ubaya wowote wa kuandamana kumlaani kigagula kwa kuliendesha Bunge hovyo hovyo na hivyo Bunge hilo kuzidi kudharaulika. Kukaa kimya eti kusubiri 2015 hakuhusu chochote maana itampa kichwa kigagula na msaidizi wake Ndugai wazidi kuwaburuza Wabunge wa upinzani vile watakavyo katika juhudi za kuficha madhambi na uozo wa magamba.
Mkuu BAK, kuandamana nchi nzima, kumlaani Spika na Naibu wake, is a good thing, tutajitokeza kwa wingi kuhudhuria maandamano hayo na kuipongeza Chadema kwa nguvu zetu zote, tena tulaani hadi kwa albadir!, then what?. Hicho ndicho Watanzania wanachotaka kuelekea 2015?.

Kwa maoni yangu, its high time Chadema ipunguze "populist" issues na ijikite kwenye "liberation strategies" kuwaeleza Watanzania itawakomboaje kutoka katika makucha ya CCM!.

Mtu ukiwa umekabwa na kupiga tuu mayowe ya kuomba msaada bila juhudi za dhati za kujinasua, mwisho utaishiwa pumzi na mkabaji kuishia kujinyongea kwa ulaini kabisa!. Maendeleo ya Tanzania yamekuwa yakikabwa na CCM kwa miaka yote 50 iliyopita, kuendelea kupiga mayowe "tunakabwa, tunakabwa!", inatosha!, sasa tunataka kuzikia juhudi za kujinasua!.
Pasco.
 
Back
Top Bottom