Maandamano ya kumlaani Spika Makinda

Wabunge ccm wenyewe wakisimama badala ya kutoa hoja wana KUMBUSHIA AHADI ZA RAIS!
 
Makinda anatumia sheria za bunge, kama kuna kitu cha kuangalia ni sheria na kanuni za kimangimeza bungeni.
 
HA...!!! HA..!!! hii inhusiana na Spika mbovu....Duh !!??? Lakini watake wasitake mwisho wao umewadia....
.

soma hiyo habari utaelewa kwanini haya yanatokea

Menopause is a stage in life when a woman stops having her monthly period. It is a normal part of aging and marks the end of a woman's reproductive years. Menopause typically occurs in a woman's late 40s to early 50s.
What are the symptoms of menopause?

Early symptoms of menopause among others include

  • Emotional changes (irritability, mood swings, mild depression) :angry::frown:
  • Sleeplessness
 
Itakuwa vizuri kama maandamano hayo yatafanyika mwezi may 14 j'mosi, na yafanywe na wa jf na kama tutaweza tutafute suport t6ka mtaani
 
Najua yapo mambo mengi ya kuandamana kwa sasa. Hata hivyo mi nadhani hili la bunge kuendeshwa ki-hovyo hovyo na Spika Makinda ni kubwa na jambo la hatari sana kwa maendeleo ya taifa letu. Nawashauri CHADEMA, na wote wanaokerwa na mama huyu, wafanye maandamano nchi nzima au sehemu kadhaa za nchi, kulaani uendeshaji mbovu wa bunge unaofanywa na spika. Ingawa najua haitafanya aondolewe madrakani, naamini itamoa msg, na itamfanya ajue kuwa anachokifanya bungeni kinawaudhi wengi. Mi nadhani kwa sasa anadhani kuwa hajashtukiwa kuwa anaendesha bunge visivyo, so akiona maelfu wameandamana kumlaani, atapata funzo fulani/

Wanaounga mkono pendekezo hili waseme "Ndiyooooooooo"
Wanaopinga waseme "Siyoooooooooo"

Ahsante sana kwa kunisikiliza...

yule mama sura kama kinyago-cha-mpapure. simpendagi.

ati anawaambia wabunge "Waheshimiwa naomba msifanye mambo ya kijinga".

anatumia neno lolote mjengoni kwa kisingizio cha uspika.
 
Nafasi ya mzee wetu Sita itamla mpaka basi....... Fitna ni mbaya jamani, Taifa hili bado lilikuwa linamhitaji sana Muzee
 
soma hiyo habari utaelewa kwanini haya yanatokea

Menopause is a stage in life when a woman stops having her monthly period. It is a normal part of aging and marks the end of a woman's reproductive years. Menopause typically occurs in a woman's late 40s to early 50s.
What are the symptoms of menopause?

Early symptoms of menopause among others include
  • Emotional changes (irritability, mood swings, mild depression) :angry::frown:
  • Sleeplessness

Sipendi Spika Makinda anavyoendesha bunge, lakini haya uliyoandika hapa unawatukana wanawake wote! Wanawake wangapi wako katika nyadhifa mbalimbali katika huo umri unaousema na wanafanya vizuri! Kumbuka hao ni mama zako! Nachukia udhalilishaji wa kijinsia wa aina hiyo! Uwe na heshima mkuu....
 
kwa jinsi ccm walivyo vinyonga wale waliomuweka wamepigwa chini na yeye watmpiga chini kama wao
 
Nchi yetu uraia bado somo gumu sana kueleweka. Watanzania hatuna national interest, tunashabikia vyama. Tunahitaji kiongozi wa taifa anajua hilo na awetayari kilifanyia kazi. Kazi ya kuangalia watawala wanawajibika kwa maslahi ya nchini nao wanacheza ndoma hiyo hiyo ya kidumu chama chetu, sas unategemea nini hapo? Tuehesabu maumivu kwa miaka iliyobaki kabla ya uchagizi ujao, tene tutegemee katiba mpya itatuba wabunge wengi kutoka vyama shindani na raisi atwsajibishwa tu
 
Wakuu wote tunaöna mwenendo mzima, hakuna haja ya kusema tutaje mabaya yake. Ila mimi naunga mkono hoja, sioni haja ya kila kitu cdm waanzishe. Kwa uchungu tulionao mim nafikiri kwa umoja wetu tufike mahali tuamue na tuwaelimishe wananchi tuandamane kupinga upuuzi huu. Mwisho wasiku bunge litapitisha sheria za kipuuzi afu baadaye tuanze kulalamika. Naomba tuamke sasa tuanzishe maandamano.
 
Siyoooooooooooo
Najua yapo mambo mengi ya kuandamana kwa sasa. Hata hivyo mi nadhani hili la bunge kuendeshwa ki-hovyo hovyo na Spika Makinda ni kubwa na jambo la hatari sana kwa maendeleo ya taifa letu. Nawashauri CHADEMA, na wote wanaokerwa na mama huyu, wafanye maandamano nchi nzima au sehemu kadhaa za nchi, kulaani uendeshaji mbovu wa bunge unaofanywa na spika. Ingawa najua haitafanya aondolewe madrakani, naamini itamoa msg, na itamfanya ajue kuwa anachokifanya bungeni kinawaudhi wengi. Mi nadhani kwa sasa anadhani kuwa hajashtukiwa kuwa anaendesha bunge visivyo, so akiona maelfu wameandamana kumlaani, atapata funzo fulani/

Wanaounga mkono pendekezo hili waseme "Ndiyooooooooo"
Wanaopinga waseme "Siyoooooooooo"

Ahsante sana kwa kunisikiliza...
 
Huyu mama hana sifa ya kuingiza watu barabarani .
Huyu mama apelekewe faru tu hadi ajiudhuru mwenyewe minaona hii ndio dawa yake akileta wenge tu unagonga hapo kichwani .
Tuna vifaru wakutosha kule mjengoni kama kina Tundu lisu,Kijana wangu Mnyika,Komandoo Halima Mdee,maliza kabisa na bomu la tan 700 huyu si mwingine ni kijana angu wa kitaa God bless Lema washindwe kuisambaratisha kitu ndogo vile....let us wait time wil tel.
 
Sipendi Spika Makinda anavyoendesha bunge, lakini haya uliyoandika hapa unawatukana wanawake wote! Wanawake wangapi wako katika nyadhifa mbalimbali katika huo umri unaousema na wanafanya vizuri! Kumbuka hao ni mama zako! Nachukia udhalilishaji wa kijinsia wa aina hiyo! Uwe na heshima mkuu....

Sidhani kama amewatukana wanawake,hizo ni hisia zako tu.Alichofanya mkubwa huyu ni kujaribu kutufahamisha kuwa huenda yuko vile sababu ya menopause na hiyo ni condition ya kawaida kwa wanawake wa umri alioutaja,ingawa sio lazima wote kuwa na dalili tajwa.HAKUNA TUSI!
 
Hivi hawa ccm wanaposema wamewapa hao mafisadi wao siku 90 ili wapime kama wanastahili kuwa na nyadhifa hizo walizokuwanazo ama sivyo watashushiwa kimbunga; je ina maana hao mafisadi ambao pia ni wabunge itabidi wajiuzuru huo ubunge? Wasipojiuzuru huo ubunge ambao waliupata kwa tiketi ya ccm maana yake kuwa ubunge sio wadhifa wa kuongoza? Kama ni wachafu kuwa wajumbe wa NEC na CC ya chama watakuwaje wasafi kuongoza wananchi kama wabunge!!
 
soma hiyo habari utaelewa kwanini haya yanatokea

Menopause is a stage in life when a woman stops having her monthly period. It is a normal part of aging and marks the end of a woman's reproductive years. Menopause typically occurs in a woman's late 40s to early 50s.
What are the symptoms of menopause?

Early symptoms of menopause among others include
  • Emotional changes (irritability, mood swings, mild depression) :angry::frown:
  • Sleeplessness

Hongera sana
 
Huyu naye tuandamane kwa ajili gani?Wananchi tukiandamana kwa ajili ya Makinda si ndio tutakuwa tumepoteza mwelekeo na kumumwacha yeye akipeta kwa kuvimba kichwa?let us egnore all about she pretends to perform for the fevour of few embezzers,she is gonna be judged by her evials,so lets wait and see, our eyes 'll manifest what i say.
 
Back
Top Bottom