Maandamano ya Januari, Tuvae Fulana za Dr. Slaa

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
GrEatThinkers,

Kuna wadau wametoa wazo la kutengeneza fulana za Dr. Slaa,

Ushauri wangu ni kuwa ktk maandamano ya Januari tuwe pia na Sare ya Fulana hizo ikiwezekana.

mnasemaje wadau??
 
Sitovaa ya CCM wala CDM....Kama ni kuvaa ni kuvaa utaifa sio ushabiki wa vyama vya siasa
 
Naunga mkono hoja. Tuzivae ili kumpa heshima yake kwani amekuwa akisimamia maslahi ya nchi kwa moyo wake wote na bila uoga.
 
Kama maandamano ni ya kisiasa sawa, lakini nijuavyo mimi hayo ni maandamano ya utaifa kwahiyo sitavaa tisheti ya slaa wala jk

Nitavaa jezi ya taifa stars, au tisheti nyeupe kuonyesha amani ndio lengo langu

once you politicize everything, you ruin everything
 
GrEatThinkers,

Kuna wadau wametoa wazo la kutengeneza fulana za Dr. Slaa,

Ushauri wangu ni kuwa ktk maandamano ya Januari tuwe pia na Sare ya Fulana hizo ikiwezekana.

mnasemaje wadau??

Naunga mkono spencer
 
Naombeni sana zikianza kuuzwa tufahamishane fasta....tafadhali sana wajumbe, najua hata bei itakua poa tuy, ningependa niwanunulie na wapambe wangu pale kijiweni
 
Tunapaswa kuvaa bila woga alafu tuna
hakikisha Amani inapewa kipao mbele
Katika maandamano hayo .tulipo hatuna
Amani Kama watu wanavyohubiriwa ndio
tunaitafuta hio Amani na imeondolewa
na watu waliovalia vazi la suti la heshima
as Kama mwananchi nashauri tuvae tumu
enzi mpambanaji na tufikishe ujumbe wetu
kwa amani.
 
Kama maandamano ni ya kisiasa sawa, lakini nijuavyo mimi hayo ni maandamano ya utaifa kwahiyo sitavaa tisheti ya slaa wala jk

Nitavaa jezi ya taifa stars, au tisheti nyeupe kuonyesha amani ndio lengo langu

once you politicize everything, you ruin everything
Kwenye RED,Kaka kwani twaenda michezon???
 

Whati isi Rabishi hia? Acha watu watoe mawazo ya kujenga ! Unataka tuendeleea na mawazo ya usingizi iliundelee kutufisadi? Achana na sisi, Peoples' pawaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa . Mpaka kielewekeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wazo limeenda shule mzazi

Ahsante Tuntemeke,

tunaunga mkono hoja ambayo ni sahihi,

Mimi binafsi naguswa sana na Utaifa wa Dr Slaa.

Nitaivaa hiyo Tshirt na Familia nzima hadi msaidizi wa ndani.


Peoples..........power
 
mie kila mara nikifungua hizi threads nadhani ntakuta maelekezo kuwa zinapatikana wapi????????!!!!!!!!!!!!!!!

mie nataka kwa ajili ya familia yangu yote na masela wangu kijiweni!!!

hizi t shirt zisipotoka mapema magazabu yetu yatapoa halafu itatokea hatari ya kupoteza momentum na pia effect!
 
Haya sasa tuangalie uwezekano wa kuzipata sasa, naomba kama kuna mwenzetu mwenye access na wakuu wa CDM awasilishe hoja yetu kwa niaba ya sisi wote tuliotayari...sio lazima tukubaliane na kila mtu.
 
Back
Top Bottom