Yalikuwa halali,
masaa 48 kabla tarifa ilishatolewa police kulinda maandamano, walikubali police kwa barua halali kwenda chadema, masaa 8 kabla tarifa ya kukataza ikatoka kwa utaratibu na kisheria unakataza pale ambapo umewasilisha vielelezo kwa nini umekataza na cdm wangeelewa, badala yake shem wa JK kupitia ch ten akakataza bila hata barua au maelezo kwenda cdm. So cdm walitumia barua yaa kwa kwanza kufanya maandamano na maandamano yako halali ila Mwema /JK wabebe jukumu la mauaji haya na vema ocampo aje Tanzania sasa
Maandamano yaliyofanyika Arusha ambako inasemekana kuna watu wamepoteza maisha...je yaliruhusiwa kisheria na vyombo vya usalama au la?
Bora umeliambia mi linaniuzigiiii!