Maandamano ya CCM kumsindikiza Sioyi kuchukua fomu LIVE

Tunaingia usa river wilayani,tukio limepangika vya kutosha.kidumu chama tawala
 
Sisim inaumwa ugojwa unaoitwa "life terminal disease" inamaana lazima ife tu hata waende india
 
njaa mbaya
namwona shangazi yangu naye yupo kwenye msafara wakati anasifia maisha bora wakati watoto tunamlelea

Hahahah mkuu umenichekesha sana,hao ndio wanachama wengi wa magamba walivyo!yaani wengi wao ni wa zito sana kifikra,mwenyewe nina mama yangu mdogo yaani yeye na c.c.m ni kama kucha na kidole,ila mtoto wake namsomesha mimi!anakuambia c.d.m hawana jipya na wataleta fujo,kuna siku mpaka nikachukia nikamuambia tatizo huko mmelishwa ujinga mpaka vichwa vimekua vigumu kama mawe ya milima uluguru
 
Tunaingia usa river wilayani,tukio limepangika vya kutosha.kidumu chama tawala

Yaani wote mnaoandamana, ikiwa kwa bahati mbaya Siyoi akashinda kila mmoja anayeandamana hapo ameshiriki kuongeza ari, nguvu na kasi zaidi ya matatizo yaliyopo ya Wameru ambayo chanzo ni CCM mnayoishabikia leo kwa kuwa mmekula unga wa NDERE.
 
Tunaingia usa river wilayani,tukio limepangika vya kutosha.kidumu chama tawala
Mzee unachoka tu no one is interested maandamano ya CCM yalishapoteza mvuto toka enzi ya chama kimoja, yangekuwa ya Chadema mtiti wake ungeuona hadi kina Saidi Mwema ungewasikia kwenye vyombo vya habari.
 
Tupo hapa kikatiti ndo maandamano yanaanzia kumsindikiza Mgombea mteule wa ccm Sioyi Sumary Kuchukua fomu kwa mkurugenzi usa river..updates

Baadaye mnaambulia kupewa ubwabwa!!! Common sense is not common.
 
Tupo hapa kikatiti ndo maandamano yanaanzia kumsindikiza Mgombea mteule wa ccm Sioyi Sumary Kuchukua fomu kwa mkurugenzi usa river..updates

Jinsi ulivyo anzisha uzi wako ni kama ulikuwa unapima upepo. Vipi kwani mbona hamjiamini?
 
Ndo jamaa sioi anakabidhiwa fomu na msimamizi wa uchaguzi Trasias Kagenzi,aliwahi simamia pia uchaguzi mdogo tarima alikoshindia Charles Mwera
 
Hahahah mkuu umenichekesha sana,hao ndio wanachama wengi wa magamba walivyo!yaani wengi wao ni wa zito sana kifikra,mwenyewe nina mama yangu mdogo yaani yeye na c.c.m ni kama kucha na kidole,ila mtoto wake namsomesha mimi!anakuambia c.d.m hawana jipya na wataleta fujo,kuna siku mpaka nikachukia nikamuambia tatizo huko mmelishwa ujinga mpaka vichwa vimekua vigumu kama mawe ya milima uluguru
Wewe ni sehemu ya tatizo, ungemuachia mwenyewe Mama yako mdogo ajuwe uchungu wa kulipia shool fees asingethubutu kushiriki upuuzi.
 
Ndo sioyi ametoa shukrani pamoja na katibu wa ccm Mary chatanda,msafara unaelekea ccm mkoa.2po tengeru just now
 
Back
Top Bottom