Maandamano ya CCM kumsindikiza Sioyi kuchukua fomu LIVE

Tupo hapa kikatiti ndo maandamano yanaanzia kumsindikiza Mgombea mteule wa ccm Sioyi Sumary Kuchukua fomu kwa mkurugenzi usa river..updates

Hizi ni mbwembwe tu hakuna kiongozi wa CCM atakaye sindikizwa na wananchi bila rushwa.... Mwambieni tunamsubiri kwenye mdahalo ajiandae asipokuja imekula kwake......

Peoples power
 
Wapi picha mleta uzi? au ndio unataka kuleta ya miaka ya 1990 wakati chama kimeshika hatamu.
 
njaa mbaya
namwona shangazi yangu naye yupo kwenye msafara wakati anasifia maisha bora wakati watoto tunamlelea
....Mfungashie watoto wake uwarudishe kwake akirudi kutoka kumsindikiza Sioyi awakute halafu atatia akili....:alien:
 
Chama cha majambazi CCM,wafuasi wake hawana hela hata ya kuwapeleka watoto wao hata shule za chekechea,sijui wataacha lini kushabikia ujinga wa CCM
 
Waacheni watu waandamane kuonyesha upendo kwa chama chao imara CCM siyo kama hivi vyama vya watu na familia zao ukimpinga mwenyekiti tu umefukuzwa,Kidumu Chama Cha Mapinduzi CCM!
 
"Taarifa za kiintelinjesia" zimeonyesha hakuna fujo inayoweza kutokea na maandamano haya!
 
Back
Top Bottom