Maandamano ya amani kupigania taifa

anayezungumza sasa ni mwanafunzi wa Udom mwenyekiti wa chadema Udom analaani mauaji na kuwalaani police
 
mkurugezi wa mafunzo wa chadema wa taifa anau2bia uku wakisema mabalozi na diwani wa kata anakotokea Sumaye wamerudisha kadi za ccm na kujiunga chadema uku akimchambua mkwere na jeshi lake la polisi.
 
please update!!
mkurugezi wa chadema wa mafunzo anasema kama Nyerere alikataa kumlipa Valumbia alipokwenda ICC iweje leo 2mlipe Dowans.
Pia anasema kaka Mbowe anakuja na hoja ya Dowans kupeleka bungeni.
 
mkutano ndo umeisha ila wanafunzi wa vyuo ndio waliokuwa wengi ktk mkutano. Na tamko la wanadodoma ni SIKU DOWANS WAKILIPWA NI KUANDAMANA kama Tunisia.
Ila nilichokiona hapa Dodoma watu wanahitaji mabadiliko tena makubwa kwa kuwapa hoja zilizojengwa na zenye tija kutetea taifa ndivyo alivyofanya mkurugenzi wa mafunzo wa chadema wa taifa na kuwaacha wanadodoma wakisema pindi Dowans ikilipwa wataandamana kama Tunisia
.
 
Back
Top Bottom