Mwanza: Maandalizi ya Maandamano ya amani yakamilika, Magari ya Matangazo yaingia Barabarani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,742
218,334
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Maandalizi ya Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha , dhiki na ufukara uliopitiliza , yalioambatana na kupinga Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa bungeni yamekamilika .

Leo Naibu Katibu Mkuu wa Chadema , Benson Kigaila ameongoza kikao cha Wadau kwa ajili ya kuwezesha maandamano hayo ya amani kwa viwango vya Kimataifa

Screenshot_2024-02-13-18-21-24-1.png
Screenshot_2024-02-13-18-21-51-1.png

Screenshot_2024-02-13-18-21-34-1.png

Habari nyingine zinaeleza kwamba , baada ya Maandamano hayo ya Tarehe 15/02/2024 , Viongozi wa Chadema wataelekea Monduli ili kushiriki Mazishi ya Lowassa

==========

Screenshot_2024-02-13-21-41-42-1.png
 
Ni heri, watanzania ni vema wakaamka na kuanza kutuma ujumbe kwa watawala utakaowafanya waje kusikiliza kero zinazosababishwa na poor service delivers, push back na sio kulalama humu, 1976 maandamano ya wanafunzi pale Orlando's west ndio yalibadilisha chemistry ya SA, sio uongo wa anc, Azaria,or pac,tusile nyasi tena eti president apate presidential jet!!!,Mwanza oyeeee, show the way
 
Ni heri ,watanzania ni vema wakaamka na kuanza kutuma ujumbe kwa watawala utakaowafanya waje kusikiliza kero zinazosababishwa na poor service delivers, push back na sio kulalama humu, 1976 maandamano ya wanafunzi pale Orlando's west ndio yalibadilisha chemistry ya SA, sio uongo wa anc, Azaria,or pac,tusile nyasi tena eti president apate presidential jet!!!,Mwanza oyeeee, show the way
Screenshot_2024-02-13-17-43-07-1.png
 
Nchi ikiondokana na hili jinamizi ccm utawekwa huru kijana, utafurahia maisha

Acha kudharau njia ya kukomboa nchi kutoka kwa mafisadi ccm
Ukimuondoa ccm ukamuweka chadema nikama umemuondoa teja ukamuweka mlevi, wote wahuni tu.

Leo unaandamana kesho honey badger anaitwa mezani anapata fungu anakurudia anakwambia usimseme vibaya mama.
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Maandalizi ya Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha , dhiki na ufukara uliopitiliza , yalioambatana na kupinga Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa bungeni yamekamilika .

Leo Naibu Katibu Mkuu wa Chadema , Benson Kigaila ameongoza kikao cha Wadau kwa ajili ya kuwezesha maandamano hayo ya amani kwa viwango vya Kimataifa

View attachment 2903052View attachment 2903048
View attachment 2903053

Habari nyingine zinaeleza kwamba , baada ya Maandamano hayo ya Tarehe 15/02/2024 , Viongozi wa Chadema wataelekea Monduli ili kushiriki Mazishi ya Lowassa
Sipendi kuwa mnafiki

Ila chadema kimepoteza ushawishi 50% kwa watanzania

Najua mtabisha ila mtajione kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na mwakani uchaguzi mkuu
 
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Maandalizi ya Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha , dhiki na ufukara uliopitiliza , yalioambatana na kupinga Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa bungeni yamekamilika .

Leo Naibu Katibu Mkuu wa Chadema , Benson Kigaila ameongoza kikao cha Wadau kwa ajili ya kuwezesha maandamano hayo ya amani kwa viwango vya Kimataifa

View attachment 2903052View attachment 2903048
View attachment 2903053

Habari nyingine zinaeleza kwamba , baada ya Maandamano hayo ya Tarehe 15/02/2024 , Viongozi wa Chadema wataelekea Monduli ili kushiriki Mazishi ya Lowassa
kaofisi ka kupanga ni kabaya kama banda la kuku kako Nyegezi stand karibu na Kamanga Hospital nimeona Leo watu wakilipwa posho za kuandamana hafu ni kiduchu kwelikweli
 
Wataandamana hadi ofisi za Umoja wa Mataifa zilizoko mtaa wa Furahisha, Mwanza? Zile ofisi za UN za Dar zililiziba masikio? Kweli CHADEMA ni Bongo Movie.
 
Back
Top Bottom