Baada ya wanaharakati kufikisha madai yao na barua yao UN Zanzibar hapoi last week zidi ya muungano. Sasa maandamano makubwa kupinga mungano yamepangwa baada ya swala ya ijumaa 18 Nov 2011. Mandamano yataanzia Komba Wapya ground, na kuishia Maisara grounds yakipitia Kinazini, Msikiti Mabuluu, Mlandege, Michenzani, Madema then kuingia maisara. Lengo ni kujulisha umma/kuelimisha umma juu ya masuara ya muungano Tanganyika na Zanzibar na harati zilizofanyika mpaka kufikisha barua ya kupinga muungano ktk ofisi za UN Zanzibar.
Barua kuhusu maadamano haya wamepelekewa polisi; Kujulishwa si kuombwa ruhusa, pia copy imepelekwa UN Sub office Zanzibar, AG, Police cammander Urban, ZARFA lawyer- Kenya na Media house.
Habari ndo hiyoo anayetaka source asubili Ijumaa!
wazenji siwaelewi kabisa lkn mbona wabunge wenu wa umoja wa kitaifa kafu+magamba hawataki muungano uvunjwe???? basi wazenji mjiunge na chadema tufanikishe hili swala
Hebu kama polisi wana mbavu wayazuie tuone!Baada ya wanaharakati kufikisha madai yao na barua yao UN Zanzibar hapoi last week zidi ya muungano. Sasa maandamano makubwa kupinga mungano yamepangwa baada ya swala ya ijumaa 18 Nov 2011. Mandamano yataanzia Komba Wapya ground, na kuishia Maisara grounds yakipitia Kinazini, Msikiti Mabuluu, Mlandege, Michenzani, Madema then kuingia maisara. Lengo ni kujulisha umma/kuelimisha umma juu ya masuara ya muungano Tanganyika na Zanzibar na harati zilizofanyika mpaka kufikisha barua ya kupinga muungano ktk ofisi za UN Zanzibar.
Barua kuhusu maadamano haya wamepelekewa polisi; Kujulishwa si kuombwa ruhusa, pia copy imepelekwa UN Sub office Zanzibar, AG, Police cammander Urban, ZARFA lawyer- Kenya na Media house.
Habari ndo hiyoo anayetaka source asubili Ijumaa!
Ongeza kidogo wigo wako wa kumbu kumbu, Egypt, Tunisia, Libya walianzia msikitini!Craaaaaaaaaaaaaap! Sijawahi kuona mkakati ulioanzia msikitini ukafanikiwa.
Kamishna wa polisi Operesheni Maalum alitangaza wiki iliyopita kuzuia maandamano yote nchini, hata wanaotoka misikitini wanatakiwa wasitembee zaidi ya watu watatu
umekoseanitafurahi kusikia Mataifa yanasema Tanganyika ,the formerly Tanzania,na Zanzibar,the former colony of Tanzania.
Wakuu heshima kwenu, MUUNGANO hauwezi vunjika na ukiivunjika bara tutatapata hasara, kuna mzenji mmoja aliwahi kunitonya muungano ukivunjika itabidi tugawane pasu kwa pasu uchumi wa nchi hasa pato la BENKI KUU. kama ni kweli nadhani viongozi wetu itabidi waulinde muungano kwa nguvu zote. hata hivyo mi sikumuuamini.
Kamishna wa polisi Operesheni Maalum alitangaza wiki iliyopita kuzuia maandamano yote nchini, hata wanaotoka misikitini wanatakiwa wasitembee zaidi ya watu watatu
Yeeeeeeeeeeees
nataman yatokee hiyo ijumaa
nawashauri wazenji wawe wakali kama mbogo ili huu muungano uvunjwe
Wazenji wanaweza ni mashababi, lakini huku bara kuna watoto wa kike wanaoitwa chadema ni kelele tu utadhani changudoa aliyekosa soko, tumewachoka.