Maandamano Makubwa Kupinga Muungano - Baada ya Swala ya Ijumaa, Zanzibar!

Haina shida kama wanataka kuondoka ni heri ila hatudaiani hakuna cha coastal strip wala mavi gani, ukitaka tu sie tumesha muuzia kesi BUSH mtapambana nae kigamboni....hao mmechelewa tatu bila
 
Baada ya wanaharakati kufikisha madai yao na barua yao UN Zanzibar hapoi last week zidi ya muungano. Sasa maandamano makubwa kupinga mungano yamepangwa baada ya swala ya ijumaa 18 Nov 2011. Mandamano yataanzia Komba Wapya ground, na kuishia Maisara grounds yakipitia Kinazini, Msikiti Mabuluu, Mlandege, Michenzani, Madema then kuingia maisara. Lengo ni kujulisha umma/kuelimisha umma juu ya masuara ya muungano Tanganyika na Zanzibar na harati zilizofanyika mpaka kufikisha barua ya kupinga muungano ktk ofisi za UN Zanzibar.
Barua kuhusu maadamano haya wamepelekewa polisi; Kujulishwa si kuombwa ruhusa, pia copy imepelekwa UN Sub office Zanzibar, AG, Police cammander Urban, ZARFA lawyer- Kenya na Media house.

Habari ndo hiyoo anayetaka source asubili Ijumaa!

Hawana ubavu wa kuandamana hawa, unalalia mkate wa kumimina una nguvu ya kupambana na mjeshi wetu ha ha ha ha ha
 
wazenji siwaelewi kabisa lkn mbona wabunge wenu wa umoja wa kitaifa kafu+magamba hawataki muungano uvunjwe???? basi wazenji mjiunge na chadema tufanikishe hili swala

Kaka nina wasiwasi ni Viongozi/Wabunge kulinda kitumbua chao, Ila wananchi hawataki kwa kuwa hawaoni faida yake, hawa viongozi wana neemeka ndio maana wautaka, Nauwakika hata wabunge wa baraza la uwakilishi znz hawautaki muungano.
 
Wakuu heshima kwenu, MUUNGANO hauwezi vunjika na ukiivunjika bara tutatapata hasara, kuna mzenji mmoja aliwahi kunitonya muungano ukivunjika itabidi tugawane pasu kwa pasu uchumi wa nchi hasa pato la BENKI KUU. kama ni kweli nadhani viongozi wetu itabidi waulinde muungano kwa nguvu zote. hata hivyo mi sikumuuamini.
 
Baada ya wanaharakati kufikisha madai yao na barua yao UN Zanzibar hapoi last week zidi ya muungano. Sasa maandamano makubwa kupinga mungano yamepangwa baada ya swala ya ijumaa 18 Nov 2011. Mandamano yataanzia Komba Wapya ground, na kuishia Maisara grounds yakipitia Kinazini, Msikiti Mabuluu, Mlandege, Michenzani, Madema then kuingia maisara. Lengo ni kujulisha umma/kuelimisha umma juu ya masuara ya muungano Tanganyika na Zanzibar na harati zilizofanyika mpaka kufikisha barua ya kupinga muungano ktk ofisi za UN Zanzibar.
Barua kuhusu maadamano haya wamepelekewa polisi; Kujulishwa si kuombwa ruhusa, pia copy imepelekwa UN Sub office Zanzibar, AG, Police cammander Urban, ZARFA lawyer- Kenya na Media house.

Habari ndo hiyoo anayetaka source asubili Ijumaa!
Hebu kama polisi wana mbavu wayazuie tuone!

Kamishna wa polisi Operesheni Maalum alitangaza wiki iliyopita kuzuia maandamano yote nchini, hata wanaotoka misikitini wanatakiwa wasitembee zaidi ya watu watatu

Saidi na Shamsi hawawezi kupiga mabomu maandamano yaliyotoka msikitini!!, ila siamini kama wanaweza kuandamana kudai upuuzi badala ya kudai mambo ya maana
 
nitafurahi kusikia Mataifa yanasema Tanganyika ,the formerly Tanzania,na Zanzibar,the former colony of Tanzania.
 
Ni bora na wafanye maandano ya kuunga mkono maandamano ya Zenji siku hiyohiyo ya Ijumaa
 
nitafurahi kusikia Mataifa yanasema Tanganyika ,the formerly Tanzania,na Zanzibar,the former colony of Tanzania.
umekosea
itasomeka hivi:Zanzibar ,the formerly technical colonial master of Tanganyika has ..............
manake wazenzi wametutawala kiaina
 
Niwe mkweli ndugu zangu.....siku muungano huu ukivunjika nitafurahi sana,kwanza tanganyika hatuna Rais,bunge,nyimbo ya taifa,bendera ya rais lakini wenzetu wanavyo vyote.Nawapongeza wznz andamaneni nasisi tumechoka na deko lenu mwaseka kama nini bwana
 
Inamaana wazenji hawatak kuambiwa ukweli,km vp wasepe wamevunja katiba..eti tukae kimya,who are they?ni kuwapa makavu live..
 
Wakuu heshima kwenu, MUUNGANO hauwezi vunjika na ukiivunjika bara tutatapata hasara, kuna mzenji mmoja aliwahi kunitonya muungano ukivunjika itabidi tugawane pasu kwa pasu uchumi wa nchi hasa pato la BENKI KUU. kama ni kweli nadhani viongozi wetu itabidi waulinde muungano kwa nguvu zote. hata hivyo mi sikumuuamini.

Kwa nini tusitumia idadi ya watu kama kigezo?
 
wanataka kujitoa! Sasa watakuja kuchukua ndugu zao wote tulionao huku bara! Au wana maono ya karibu, watawafukuza ndugu zetu wa bara walioko huko au? Kiupande wangu sina shida wakijitenga hata sasa hivi ninachohofu ni matokeo yatakuwaje, fine kama wamejipanga let them be.
 
duh, wapemba waliopo bara wapo kwenye utata mkubwa sana na biashara zao , naona hawalali kwa pressure
 
Kamishna wa polisi Operesheni Maalum alitangaza wiki iliyopita kuzuia maandamano yote nchini, hata wanaotoka misikitini wanatakiwa wasitembee zaidi ya watu watatu

Alizuia Bara tu na si Zanzibar.

Kwani Zanzibar ni nchi nyingine na madaraka ya huyo kamishna mwisho Chumbe. Znz wana kamishna wao wa polisi.

Yeeeeeeeeeeees
nataman yatokee hiyo ijumaa

nawashauri wazenji wawe wakali kama mbogo ili huu muungano uvunjwe

huu muungano ukivunjika we utabakia nchi gani? na utafaidika vipi?
mbona tunashadadia sana kuvunjika kwa Muungano, kwani mpaka hapo ulipofikia huu muungano umewakosesha nini wabara?
 
Wazenji wanaweza ni mashababi, lakini huku bara kuna watoto wa kike wanaoitwa chadema ni kelele tu utadhani changudoa aliyekosa soko, tumewachoka.

Bara wengi wanafiki wenye shida ya kushibisha matumbo yao. Haya tone maandamano ya nchi nzima kupinga hiyo katiba mpya kama yatafanikiwa chini ya uasisi wa Chadema.

Znz hawataki dhulma na ndio maana baada ya kupeleka barua UN sasa wanaweka mambo hadharani na barua itasomwa.
 
Matunda ya shule za kata.

Back
Top Bottom