lm317
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 451
- 44
Tuliisha geuzwa MSUKULE siku nyingi!Sisi Wabara kweli ni wussies hamna mfano. Wengi tunasema Muungano hauna faida kwetu na tunasema tunauchukia sana, halafu tunasema tunaombea Wazanzibar ndio waupinge ili sisi tupone! What kinda sissy punks are we?
Ni sawa na mwanamke (sisi Wabara) amechoka vipigo vya mumewe halafu anaomba mume (Wazanzibar) ampe talaka na nauli ya kurudia kwao aondoke! Badala ya kuvunja li-ndoa unilaterally! Wabongo tunatia huruma.