Maandamano Makubwa Kupinga Muungano - Baada ya Swala ya Ijumaa, Zanzibar!

meddie

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
434
125
Baada ya wanaharakati kufikisha madai yao na barua yao UN Zanzibar hapoi last week zidi ya muungano. Sasa maandamano makubwa kupinga mungano yamepangwa baada ya swala ya ijumaa 18 Nov 2011. Mandamano yataanzia Komba Wapya ground, na kuishia Maisara grounds yakipitia Kinazini, Msikiti Mabuluu, Mlandege, Michenzani, Madema then kuingia maisara. Lengo ni kujulisha umma/kuelimisha umma juu ya masuara ya muungano Tanganyika na Zanzibar na harati zilizofanyika mpaka kufikisha barua ya kupinga muungano ktk ofisi za UN Zanzibar.
Barua kuhusu maadamano haya wamepelekewa polisi; Kujulishwa si kuombwa ruhusa, pia copy imepelekwa UN Sub office Zanzibar, AG, Police cammander Urban, ZARFA lawyer- Kenya na Media house.

Habari ndo hiyoo anayetaka source asubili Ijumaa!
 
Yeeeeeeeeeeees
nataman yatokee hiyo ijumaa

nawashauri wazenji wawe wakali kama mbogo ili huu muungano uvunjwe
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Safi sana wazenj vunjeni huu muungano hauna faida kwenu wala kwa watanganyika
 
Wazenzi nawaaminia, wana ile damu ya kujilipua,damu ya janjaweed,al shabaab,na alqaida. Ngoja tusubiri huo moto.
 
Naamin itaonesha kwa ufasaha tofauti iliyopo kati y a maandamano na cdm!,..since binafsi naamin maandamano yanasababishwa na ombwe,wizi,udhaifu na unyang'anyi wa magamba!
 
Nyinyi ndiyo wajinga kabisa, badala ya kuandamana kulaani wabunge wenu wanaoshadadia muswaada
wa katiba mpya, eti mnaandamana kupinga Muungano. Kwanini mnaongopa kuukumbatia mbuyu na
badala yake mnauzunguka. Suluhu ya matatizo ya Muungano yako kwenye hotuba aliyoitoa Tundu Lissu
ambayo inapingwa vikali na CUF wakiongozwa Hamad Rashid.

Tundu Lissu amependekeza waziwazi kuwepo kwa serikali tatu Tanganyika, Zanzibar na Muungano. Pia amewapasha
CCM kwamba waliingiza mambo yasio kwenye article of union kutoka 11 ya awali hadi 22 ya sasa including suala la
mafuta na gas asilia. Lakini kwakuwa ndoa ndoano (mmeza ndoano ya CCM) mnashadadia kama mahayani (CUF MPs).

Mmeliwa nyinyi Wazanzibari wabunge wenu ni mamuluki wa CCM. Go to hell, ngoja IGP mwema aje awatwage risasi
ndiyo mtajua huyo mwanaume aliyewaoa ni JAMBAZI la kutupwa jehanamu.
 
Kamishna wa polisi Operesheni Maalum alitangaza wiki iliyopita kuzuia maandamano yote nchini, hata wanaotoka misikitini wanatakiwa wasitembee zaidi ya watu watatu
 
Ha ha ha ha ha............ Maandamano ya kuvunja Muungano yanaanzia msikitini, hii kali teh teh teh teh teh teh.......... kwa maana hiyo wanataka kuitupia lawama CDM kwamba wao ndiyo chanzo. Yetu macho na masikio. Wameona wamekosa misaada ya Gaddaffi sasa wameamua kulianzisha. Poleni sana Zanzibar. Ila tunachojua SHIMONI hakukaliki tena kwani Kenya hataki tena mchezo na Al Shaabab.
 
Nyinyi ndiyo wajinga kabisa, badala ya kuandamana kulaani wabunge wenu wanaoshadadia muswaada
wa katiba mpya, eti mnaandamana kupinga Muungano. Kwanini mnaongopa kuukumbatia mbuyu na
badala yake mnauzunguka. Suluhu ya matatizo ya Muungano yako kwenye hotuba aliyoitoa Tundu Lissu
ambayo inapingwa vikali na CUF wakiongozwa Hamad Rashid.

Tundu Lissu amependekeza waziwazi kuwepo kwa serikali tatu Tanganyika, Zanzibar na Muungano. Pia amewapasha
CCM kwamba waliingiza mambo yasio kwenye article of union kutoka 11 ya awali hadi 22 ya sasa including suala la
mafuta na gas asilia. Lakini kwakuwa ndoa ndoano (mmeza ndoano ya CCM) mnashadadia kama mahayani (CUF MPs).

Mmeliwa nyinyi Wazanzibari wabunge wenu ni mamuluki wa CCM. Go to hell, ngoja IGP mwema aje awatwage risasi
ndiyo mtajua huyo mwanaume aliyewaoa ni JAMBAZI la kutupwa jehanamu.
Ha ha ha ha .. Kaka Jambazi......
 
acheni wajitowe, hasara iko wapi? hiyo ni lkaana itakayo dumu milele na milele kwa vizazi vyao, wanachotaka ni kurahisisha upatikanaji wa halua na tende toka uarabuni.
 
Safi sana. Haka kanchi kanakoitwa zanzibar sikapendiiiiiii yaani basi tu. Bora waendelee kupinga ili hatimaye turejeshe Tanganyika yetu.
 
wazenji siwaelewi kabisa lkn mbona wabunge wenu wa umoja wa kitaifa kafu+magamba hawataki muungano uvunjwe???? basi wazenji mjiunge na chadema tufanikishe hili swala
WANAONGEA TU KUWAFURAHISHA WAUME ZAO CCM LKN WAKIRUDI KWAO WANAUKATAA KWA NGUVU ZOTE, achana na kitu mume bwana.
 
go ZNZ go. Kwa mziki huu CCM watazidi kufahamu upupu wao. Kotekote hawakubaliki hawa majambazi
 
Habari njema nawaunga mkono muungano ukivunjika Tanaganyika itafaidika Zanzibar itafaidika lakini wale wazenj waliojazana Dar wajiandae kuondoka mara moja.

Back
Top Bottom