Maandamano makubwa kumpongeza Jakaya Kikwete!

KIM KARDASH

JF-Expert Member
Sep 21, 2011
5,139
1,139
Maandamano makubwa yanatarajiwa kufanyika nchi nzima kumpongeza Rais Kikwete na kamati kuu ya CCM kiujumla kwa kufanya kuchukua maamuzi magumu ya kulifanyia mabadiliko makubwa baraza la mawaziri.

Rais kikwete ameamua kufanya maamuzi magumu hayo licha ya kwamba kuna jukumu zito la maandalizi ya bajeti za wizara na kwa hiyo ni changamoto kubwa kuingiza watu wapya kwa maana ya nafasi za mawaziri, lakini hata hivyo, hao wapya itabidi wategemee zaidi mihtasari ya watendaji watakaokuwapo katika kila wizara husika itakayoguswa na mabadiliko.

Wananchi mbalimbali nchini wamepongeza hatua hiyo ibnayotarajiwa kuchuliwa na rais kikwete huku wakisema kwamba hatua hiyo itaifanya ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iwe na nguvu kubwa ya kuisaidia serikali kupambana na ubadhirifu unaofanywa na mawaziri kwa kushirikiana na watendaji wa serikali wasio waaminifu.

Naye mbunge zitto kabwe ambae alishikia bango hoja ya kutaka bunge lipige kura ya kutokua na imani na waziri mkuu,akizungumza bungeni wiki juzi aliwapasha mawaziri kwa kuwaambia ''Mawaziri msimsingizie Raisi na kumchafua kwa uzembe wenu na ubaridhifu wenu wa kushindwa kusimamia mali na pesa za walipa kodi kwa manufaa yenu binafsi i lazima muwajibike na mchukuliwe hatua stahiki''
 
Maandamano makubwa yanatarajiwa kufanyika nchi nzima kumpongeza rais kikwete na kamati kuu ya ccm kiujumla kwa kufanya kuchukua maamuzi magumu ya kulifanyia mabadiliko makubwa baraza la mawaziri.

Labda kwa kulaani kwa kuchelewa kwake kuchukua hatua hadi hali ikawa hivi.
 
Hata mlevi ambae pia ni taahira asingeweza kujitukanisha mwenyewe kwa namna hii uliofanya hapa! Siamini kuwa una mental capacity ya kuliona tusi ulilojitukana hapa, so I'll try to explain: umeonyesha kuwa taahira mlevi ana mental capacity kubwa kuliko yako!
 
Sioni la kumpongeza apo zaidi ya kumlaumu tuu bse aliweka viwavi jeshi kwenye baraza lake uku akitegemea mazao kuchipua thubutuuu
 
Maandamano makubwa yanatarajiwa kufanyika nchi nzima kumpongeza rais kikwete na kamati kuu ya ccm kiujumla kwa kufanya kuchukua maamuzi magumu ya kulifanyia mabadiliko makubwa baraza la mawaziri.

Rais kikwete ameamua kufanya maamuzi magumu hayo licha ya kwamba kuna jukumu zito la maandalizi ya bajeti za wizara na kwa hiyo ni changamoto kubwa kuingiza watu wapya kwa maana ya nafasi za mawaziri, lakini hata hivyo, hao wapya itabidi wategemee zaidi mihtasari ya watendaji watakaokuwapo katika kila wizara husika itakayoguswa na mabadiliko.

Wananchi mbalimbali nchini wamepongeza hatua hiyo ibnayotarajiwa kuchuliwa na rais kikwete huku wakisema kwamba hatua hiyo itaifanya ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) iwe na nguvu kubwa ya kuisaidia serikali kupambana na ubadhirifu unaofanywa na mawaziri kwa kushirikiana na watendaji wa serikali wasio waaminifu.

Naye mbunge zitto kabwe ambae alishikia bango hoja ya kutaka bunge lipige kura ya kutokua na imani na waziri mkuu,akizungumza bungeni wiki juzi aliwapasha mawaziri kwa kuwaambia ''Mawaziri msimsingizie Raisi na kumchafua kwa uzembe wenu na ubaridhifu wenu wa kushindwa kusimamia mali na pesa za walipa kodi kwa manufaa yenu binafsi i lazima muwajibike na mchukuliwe hatua stahiki''

Kuna mikoa mingine haina wanachama nawapenzi wa sisiem, ssa itakuwaje na makusudio yenu ni nchi nzima?
 
Hapo mtaharibu kila kitu mkimpa kichwa Vasco Da Gama. Vipi mumpongezewakati hata baraza jipya hamlijui? Akirudisha wale wale mtarudi barabarani kulaani? Mbona hata hajawawajibisha watendaji wabovu kwenye hayo mawizara? Mtaharibu kila kitu TAKE MY WORD MKUU!
 
Nilikuwa sijui kwamba kumbe Serikali tuliyonayo imejaa wabadhirifu na wazembe, Asante sana kwa taarifa Kim.
 
mbona mbowe hajawahi kuvunja hata kamati ya harusi,we unadhani kuvunja baraza la mawaziri mwezi mmoja na nusu kabla ya bajeti ni jambo jepesi..?
Peleka ujinga wako huko kwenu zenji tokea asubuhi naona unarusha vithread vyako ambavyo vina expire baada ya nususaa kwa kukosa wachangiaji kwi ! Kwi! Kwi kwi kwi kwi!!!!!!!!
 
mbona mbowe hajawahi kuvunja hata kamati ya harusi,we unadhani kuvunja baraza la mawaziri mwezi mmoja na nusu kabla ya bajeti ni jambo jepesi..?

Umesahau kilichowapata madiwani wa kata tano Arusha?? Halafu umesikia kiongozi gani wa CHADEMA mzembe mbadhirifu akacha kuwajibishwa haraka??mawaziri kwa taarifa yako hawana mchango wowote kwenye kuandaa bajeti, wapo matibu wakuu wa wizara na wataalamu wengine ndio wanasuka bajeti waziri kazi ni kusoma tuundio maana wakati bajeti inasomwa katibu mkuu lazima awepo kuwasidia hawa vilaza kujibu!!
 
Kwa lipi lililofanyika mpaka watu wapoteze muda wao kufanya maandamano!!!!
 
hapo mtaharibu kila kitu mkimpa kichwa vasco da gama. Vipi mumpongeze wakati hata baraza jipya hamlijui? Akirudisha wale wale mtarudi barabarani kulaani? Mbona hata hajawawajibisha watendaji wabovu kwenye hayo mawizara? Mtaharibu kila kitu take my word mkuu!

Mnachekesha sana hamna kazi za kufanya? Simwokote makopo muuze? Eti maandamano ya kumpongeza nani? Kwanini? Kwa lipi? Acheni siasa ebu fanyeni kazi jengeni uchumi kama ni kulaani wezi na kuwafikisha mahakamnaii siku wanapanda karandinga tutaandamana kama idadi yao wote watapelekwa kisutu mahakamani
 
Mimi pia naungana na watanzania wote, kumpongeza Rahisi wa Tanzania kwa atua hii nzuri ya mabadiliko, "Hakika sas Tanzania itapiga hatua ya Maendeleo. Wabunge Hongereni kwa uwamuzi mzuri mlio uchukua wakutaka mabadiliko kwa mawaziri.
 
Angebaliki kipindi kile cha bunge atleast ningesema maamuzi magumu
mpaka aangalie upepo; ungeseme tuandamane kwa kuwapongeza wale waliendelea kushinikiza PM hajihuzuru baada ya bunge kuhairishwa ningekuspoti
 
Back
Top Bottom