Niko nje shuleni lakini sijalala siku mbili nzima pamoja kwa sana jamani mimi ni mwenzenu na hata maneno ya bango langu ninayo kichwani nimelia sana sana sana na naumizwa sana na wale wanaoleta mzaha humu ndanil, jamani unamuua Ulimboka anahatarisha vipi usalama wa taifa wakati wakina Chenge, Rostam Lowaas, Zoka, Shimbo aliyeiba hela za wanajeshi walio vitani, Zombe yuko nje kauwa wana familia wanne sasa hivi ukoo mzima umejaa umaskini, jaji aliyesikiliza kesi ya zombe huku akijua wazi ameua yuko nje, Kikwete aliyewafunga Babu seya na watoto wake watatu maisha kwa kisa cha mwanamke, kwa kuwa hajawahi kukanusha na tunajua amesikia basi tunaamini ni kweli wote hawa hawajauwa, hata Blandina Nyoni na mchumba wake Mtasiwa walioua wagonjwa muhimbili zaidi ya 700 hawajaguswa hata unyonya, kubenea waliyetaka kumuua wakasema eti anatembea na mke wa watu bado anauguza macho akikaribia upofu ni swala la muda tu, kisa hasa ni nini? tuko pamoja jamani hii n Takriri na sasa tunatanga civil society iongoze na sio political party wakati huo political parties za opposition waitishe kikao cha haraka cha kupanga serikali, hii ya wauaji imefikia basi, wale wa magereza tayarisheni jela chafu kuliko zote maana wako wengi tukianza na msururu hakuna kulala mpaka kusafisha mende wote. Tumeanza na mungu hatutashindawa, tunataka mwamnyange asimame imara, huyo Mwema muuaji wenzao hatumuhitaji maana mbele ya Jeshi watafyata mkia, tunahitaj wapambanaji wote sasa wawe wemesha connect kwa sms, tukiwakuta hakuna kuwaripoti tuwatangulize ili uwe mfano jamani mauaji yote hayo wa kwao hajafa hata mmoja? Kova ajieleze ama sivyo asilale kwake