Mwanaharakatihuru
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 477
- 120
Maandamano kwa Dar es Salaam yataanzia karibu kituo cha Haki za binadamu nyuma ya chuo cha ustawi wa jamii kesho saa tatu asubuhi mwambie na mwenzako kama yaliyowapata wapigania haki wengine yanakugusa tafadhali fika bila kukosa na huu ni mwanzo wa kuiambia serikali hakika tunaweza kuwaadabisha.