Maandamano IFM

wanafunzi wameteka panton kubwa waandish wahabari walishafika na ffu wako tayari ferry wanafunzi wanasubiriana ferry upande wa kigamboni
 
Ferry hamna magari yanayovuka toka saa tano.....wanadai wanaibiwa na kubakwa...pia wanaume wanalawitiwa....mwenye kujua zaidi atujulishe nini kina endelea..
 
Mwanafunzi wa kiume anabakwa? au kulawitiwa. Na wako watatu chumbani wanashindwa kupambana nao. Au ndo wale mguu pande, mguu legeza wa joti the commedy.
 
hawa majambazi wana silaha au wamekuwa wanakuja namna gani hadi wakaka wanashindwa kupambana nao.
 
Ndio Polisi wetu walivyo. Sie mtaani kwetu kulikuwa na kibaka sugu mmoja na kundi lake walikuwa wanasumbua sana. Kila siku wakipelekwa Polisi wanatoka. Mpaka siku moja wakamvamia dada wa mkuu wa kituo kidogo cha polisi hapa mtaani. Hapo ndio walikamatwa wakafikishwa mahakamani na huyo afande Mkuu wa Kituo akaorganize mashahidi wa kutosha jamaa akahesabiwa mvua 125 kwa makosa mbali mbali ya mpaka miaka mitatu iliyopita. Sasa hivi anaozea Segerea, na chama lake lote wametawanyika mtaa uko salama.

dawa nikuwa uawa tu hawana msaada si polisi wa mijizi..

#RIPEddyMacha
 
ingekuwa wizi wa pesa za bank polisi wangeenda haraka ili wakiziokoa wazichukue ila uhalifu mwingine hawaendi.
 
hawa majambazi wana silaha au wamekuwa wanakuja namna gani hadi wakaka wanashindwa kupambana nao.

nasikia wanakuwa kikundi na mapanga so lazima utoe kila kitu ila leo naona watakuwa wameamua baada ya wenzao kuolewa..
 
hawa majambazi wana silaha au wamekuwa wanakuja namna gani hadi wakaka wanashindwa kupambana nao.

ukikamatika kwenye18 huna ujanja, ila hili swala la watoto wakiume kuingili hapana kunakila sababu hawavijana warudi jkt
 
Polisi mpaka wasikie mtalii au mwekezaji mgeni amekabwa na vibaka ndo utaona mkuu wa majeshi, waziri wa mambo ya ndani wanaenda eneo la tukio na kutoa matamko.
Kumbuka kule Serengeti na wachina kuandamana Dar baada ya mmoja wao kuuwawa.
 
Yaani hawa watoto wa siku hizi balaaa, yaani mtu anawaibia na analawiti na kuondoka kwenye kambi ya vijana wa chuo. Haki ya mungu JKT muhimu sana kwao vinginevyo tutakuwa na kizazi cha ajabu. Mibaba nayo inaandamana kupinga kulawitiwa???

Niwakumbushe enzi za Tambaza, Konda akipiga mwanafunzi mmoja tu, taarifa zikifika shule watu wanaweka mkutano cafeteria na jioni watu wanaingia road kutembeza sako la nyani ngedere haponi kama mziki ukifungwa fire ilikuwa Dar nzima inapata habari.

Baba zenu wakatia fitina miaka 15 baadae sasa vijana wanavamiwa na kubakwa, huo mziki wa Tambaza ilikuwa Form IV tu sasa hawa wmefika six mpaka chuo.
 
Maandamano yameshakuwa ya kawaida mno Tz,hakuna hata atakayeshtuka,watawapa majibu mepesi kama kawaida yao.
Hatuna serikali,tuna 'wapuuzi' tu!
 
Kwa kuwa UDOM wana nafasi kubwa na majengo mengi ambayo kwa sasa yako idle si IFM, wangepewa hata college moja huko wakahamia na wanafunzi wao wakati wanajipanga manake chuo kimejaa mno na nafasi ni ndogo sasa.
 
Mabomu ya machozi yanarindima sasa si wanachuo si watoto wa primary wote wanaathirika Picha za tukio zima zitafuata baadaye sijui hata niko wapi ila niko kwenye nyumba ya wasamaria wema nasubiri hali itulie
 
Back
Top Bottom