Maandalizi ya kuzamia South Africa na Botswana sasa 93%

Hahahaaaa yataka roho ngumu sana kaka. Kuna kipindi ukiwa njiani unawaza hivi niko timamu kweli kichwani au nishakuwa msukule napelekwa kuzimu!!? Kitakacho kupa nguvu ni abiria wezako tena wengine wahajui hata watafikia wapi lkn wako wanalisongesha mbele tu. Lakini huko kwetu vijana wengi tu wako Mali wanafanya mining job sasa angalia Mali na hapa South ucheki umbali.


Siyo utani kaka yatakiwa uwe na roho ngumu haswaa Mungu ndo anajua yote maisha popote Naamini wabongo wengi wapo huko sema wengi wao ndo Kama ulivyosema mitungi saana
 
Watu wa kanda ya ziwa kwa story kama kaka yao Shigongo
Karibu sana, Durban hapo jana
78c451580b5f8496005b6d802129f385.jpg
 
Watu wa kanda ya ziwa kwa story kama kaka yao Shigongo
Umejiunga Jamiiforum 2013 Dec 29
Likes received 1
Posts 52
Baadhi ya posts zako:
-Anaejua namba ya huduma kwa wateja CRDB
-Eneo la hekari 5 linauzwa Dodoma
-Mengi na Gesi Mtwara

Msaada ninaokupa,kuhusu CRDB geuza nyuma ya kadi yako ya ATM utaziona hizo namba kwaheri.
 
Umejiunga Jamiiforum 2013 Dec 29
Likes received 1
Posts 52
Baadhi ya posts zako:
-Anaejua namba ya huduma kwa wateja CRDB
-Eneo la hekari 5 linauzwa Dodoma
-Mengi na Gesi Mtwara

Msaada ninaokupa,kuhusu CRDB geuza nyuma ya kadi yako ya ATM utaziona hizo namba kwaheri.
Niko busy kutafuta hela kwa njia sahihi badala ya kuuza utu wangu na heshima ya mke wangu kwa kuolewa na wanawake.
 
Hongera kwa kujituma kutafuta maisha mkuu kwenye mitandao ya kijamii
 
Back
Top Bottom