Maandalizi ya kuzamia South Africa na Botswana sasa 93%

Gauteng province kwa wajanja haya tunasubili mrejeshe.
Huwezi amini brother sitarudi tena hapa kuongelea mambo yangu. Angalia matusi na kebehi kwa hao watu mara mimi taperi n.k. Kuna kipindi nilifiwa na Mdogo wangu kwa ajali ya basi huko Mtwara nikaleta uzi humu jamii forum dada mmoja ambaye namheshimu sana aliguswa sana na akataka anitumie pesa lkn nilimshukuru na kumuomba asitume pesa isipokuwa amuombee kwa mungu Mdogo wangu. Anaitwa mwana mcheki hata hapa alichangia kidogo japo nilianza kutoa matusi kwa hao watu baadae niliumia sana kwa namna ninavyomheshimu huyo dada na matusi niliyotoa,nilimuomba msamaha lkn hajajibu,Hilo hapo ndilo lilipoteza roho ya Mdogo wangu.
ac7da1eba56764ca927d9037cec07865.jpg
 
f0c7bbf9720d353e96d47151c6a352da.jpg
ec929c3cb491b12c3ecadada07937f40.jpg
Tuko pamoja,dharau,kebehi mara taperi havijanipunguzia kitu ndugu zangu. Nilifiwa na Mdogo wangu mwaka jana na nikaposti namna alivyopata ajali,Wadau mbalimbali waliomba kunitumia pesa akiwemo dada anayetumia jina la Mwana hapa jamiiforum,nikamwambia asante na sihitaji pesa zaidi ya kumuombea marehemu mungu ampe pumziko la milele. Akatuma no zake nikampatia kila kinachojiri kuanzia maiti ikifika nyumbani hadi mazishi. Nawasamehe bure.





db98028e17045afc71d58264c68c7cc3.jpg

Tiketi (electronic) kwa ajili ya misele Gauteng/Jo'burg
Sina muda tena na marubano.
kaka hongera saana endelea kutupo mrejesho chochote kitakachojiri usisite kutujulisha
 
Safi sana nilijua bado huja pokelewa ninge kuja Kuku chek nipo venderbij park ukikwama nicheki mkuu
 
Laiti ningejua zaidi kuhusu wewe ningekushauri, yawezekana wanakuhitaji kwa ajili ya mambo fulani fulani siyo ngono tu bali hata mambo ya ushetani. Kama wewe ni mshirikina mzuri basi uwezekano mkubwa ni huo.
 
Nasikia wabongo wanaoishi huko si watu Wa kuwaamini mkuu kuna mdau mmoja alishasemaga humu humu
 
sikuiona hii,vipi upo Botswana ama?halafu kwa nini hukunicheki whatsapp dada yako mie ningekushauri mawili matatu
 
Safi sana nilijua bado huja pokelewa ninge kuja Kuku chek nipo venderbij park ukikwama nicheki mkuu
Tafadhari sana jiheshimu sana. Sijaja kufanya ngono huku niko kwa mikakati ya kimaisha na sijajuana nae leo.
Laiti ningejua zaidi kuhusu wewe ningekushauri, yawezekana wanakuhitaji kwa ajili ya mambo fulani fulani siyo ngono tu bali hata mambo ya ushetani. Kama wewe ni mshirikina mzuri basi uwezekano mkubwa ni huo.
 
Acha zako wewe mi sijakuwazia ngono nimekwambia ukikwama nicheck kama mbongo mwenzangu mi nishaota mizizi hapa mbona unawaza ngono tu.
 
Nasikia wabongo wanaoishi huko si watu Wa kuwaamini mkuu kuna mdau mmoja alishasemaga humu humu
Nafahamu sana hata Wakenya wapo kibao tu. Huyu mama tangu tujuane amekuwa akiwapa kapani sana Watz hadi kuwapitishia mikate kistoni kwao
 
Back
Top Bottom