Maandalizi ya kuzamia South Africa na Botswana sasa 93%

sikuiona hii,vipi upo Botswana ama?halafu kwa nini hukunicheki whatsapp dada yako mie ningekushauri mawili matatu
Dada ni kweli ila nisamehe niliblok akaunti ya whatsapp kuepusha maswali ila nishawahi siku moja kukuambia kabla ya shambulio la huko kwenu kuhusu kusafiri kuja huku kama unakumbuka. Unakuja lini Tz?. Lengo la huku ni kuja kufahamiana na kufahamu nini nafanya kwa ajili ya life langu then tageuza home na kurudi mazima.
 
Safi sana nilijua bado huja pokelewa ninge kuja Kuku chek nipo venderbij park ukikwama nicheki mkuu
Kkkkkkkkkk!! Kuna mmoja yeye alishajipachika ni mkimbizi toka South Sudani yaani full vituko. Hata sipafahamu mkuu huko uliko. Nikirudi mara ya pili mwisho wa huu mwezi tutatafutana tu ili nipate kapani ya kutosha "Lale kahle"
 
Sasa utapafaham vip na wewe ni mgeni?
Rejea nilicho andika hapo ukikwama panda tax (daladala zao)
tokea johbug njo sasbug shuka checkas,
njoo emflen gorf estate venderbij park ni pm ntakupokea mimi si mende
tutapiga kazi upate nauli urudi bongo kaka ondoa hofu.
 
hongera bro,usisite kuleta mrejesho unaweza ukawa inspire wengine jinsi gani ya kupigana na maisha nje ya tzania,
 
Sasa utapafaham vip na wewe ni mgeni?
Rejea nilicho andika hapo ukikwama panda tax (daladala zao)
tokea johbug njo sasbug shuka checkas,
njoo emflen gorf estate venderbij park ni pm ntakupokea mimi si mende
tutapiga kazi upate nauli urudi bongo kaka ondoa hofu.
Kaka nisamehe bure nilikuquote vibaya,niliyetaka kumjibu ni yule aliyeandika nimekuja kufanyishwa ngono. Samahani sana brother. Siku zote niliomba ninakoenda nikapate watu wema kama wewe. Hatua ya kwanza kabisa napigania uraia wa huku kupitia huyu mama (njia nazijua mwenyewe na nahisi utakuwa umeshaelewa) nikipata uraia ndugu tutasaidiana vizuri sana. Mimi ni mchakarikaji dada Victorie ananifahamu sana. Wazo la uraia ni huyu huyu mama anashughurikia. Naheshimu sana kunikaribisha huko ila narudi kwanza kuiweka vizuri familia yangu ikiwemo mtu wa kupokea pesa nitakapokuwa natuma nyumbani na mambo mengine.
 
Laiti ningejua zaidi kuhusu wewe ningekushauri, yawezekana wanakuhitaji kwa ajili ya mambo fulani fulani siyo ngono tu bali hata mambo ya ushetani. Kama wewe ni mshirikina mzuri basi uwezekano mkubwa ni huo.

Acha zako wewe mi sijakuwazia ngono nimekwambia ukikwama nicheck kama mbongo mwenzangu mi nishaota mizizi hapa mbona unawaza ngono tu.
Mkuu nililenga kumjibu huyu Fazili wala si wewe. Ni typing error tu kabla sijatuma nilikuta nimeclic komenti yako kimakosa.
 
Kaka nisamehe bure nilikuquote vibaya,niliyetaka kumjibu ni yule aliyeandika nimekuja kufanyishwa ngono. Samahani sana brother. Siku zote niliomba ninakoenda nikapate watu wema kama wewe. Hatua ya kwanza kabisa napigania uraia wa huku kupitia huyu mama (njia nazijua mwenyewe na nahisi utakuwa umeshaelewa) nikipata uraia ndugu tutasaidiana vizuri sana. Mimi ni mchakarikaji dada Victorie ananifahamu sana. Wazo la uraia ni huyu huyu mama anashughurikia. Naheshimu sana kunikaribisha huko ila narudi kwanza kuiweka vizuri familia yangu ikiwemo mtu wa kupokea pesa nitakapokuwa natuma nyumbani na mambo mengine.
Hilo sio tatizo na wala huangaiki toa rand 150 unapata ID mchezo umeisha,
baada ya miezi 3 passport,
muhimu jifunze rugha utakayo penda ili ikusaidie na si kimombo iwe ya kwao binafsi naongea Africans na xsulu
 
Bro kuna kijana mmoja wa maswa ni msukuma ameongea nae Ki Xhosa na Kizulu hadi yeye kashangaa,jamaa anaishi Durban. Lkn mkuu mbona Watz wanapenda sana pombe ugenini huku?
 
daaa hongera sana mkuu story yako nikama yakufikirika flani hivi nayakuitunga lakini ndio ukweli maana mtu akiisoma mwanzo anaweza akasema ni uwongo na umeamua kunogesha jukwaa tuu lkn ukisoma coment ndio wapata ukweli halisi daa kweli maisha ni kama picha aisee
 
Sijawahi kuzamilia jambo katika maisha likaishia njiani. Ila nimejifunza kitu kwamba usikimbilie kuoa kama una ndoto za kuzamia ng'ambo. Usiku mwema.
 
Hilo sio tatizo na wala huangaiki toa rand 150 unapata ID mchezo umeisha,
baada ya miezi 3 passport,
muhimu jifunze rugha utakayo penda ili ikusaidie na si kimombo iwe ya kwao binafsi naongea Africans na xsulu
Takomaa na lugha ya Ki Xhosa tu mkuu
 
Ukisha fika huko nami nitumie nauli nije nitafute huko
Mkuu hizo ni dalala za Jo'burg ambapo hili jiji kwa sasa linaitwa Gauteng (GAUTRAIN ni kifupi tu cha Gauteng train), si kwamba niko njiani
99ae1aad96c8a744c989aaf2cac529ff.jpg
73c74da9c419b95613face1c64366d62.jpg
 
Nimeamini ukiwa muoga huwezi kuzamia nchi za watu
Hahahaaaa yataka roho ngumu sana kaka. Kuna kipindi ukiwa njiani unawaza hivi niko timamu kweli kichwani au nishakuwa msukule napelekwa kuzimu!!? Kitakacho kupa nguvu ni abiria wezako tena wengine wahajui hata watafikia wapi lkn wako wanalisongesha mbele tu. Lakini huko kwetu vijana wengi tu wako Mali wanafanya mining job sasa angalia Mali na hapa South ucheki umbali.
 
Nasikia wabongo wanaoishi huko si watu Wa kuwaamini mkuu kuna mdau mmoja alishasemaga humu humu

Ni kweli kabisa mkuu. Nilikuwa huko two years ago, wabongo ni wengi sana na wanaongea kiswahili mtaani, wajanja wajanja sana na wezi wakubwa wa ipads, computer, simu, magari n.k.

Usipokuwa makini utauzwa asubuhi kweupe
 
Back
Top Bottom