Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,173
- Thread starter
- #81
[MENTION]UWEZO WA KUFIKIRI UNAISHIA PALE AMBAPO MWANADAMU ANALAUMU BILA KUTOA SULUHISHO.iweje leo tuna chama kikuu cha upinzani CDM bado tuna mawazo mgando ya kuwa hawawezi kufanya lolote?Nchi zote zilizofanya mabadiliko ya kidemokrsia viongozi wake wastaafu wamewajibika.mf zambia,malawi.Sisi tunabaki tunaongea pumba kali about CDM. tAFAKARI CHUKUA HATUA ACHA KULALAMIKA.
ngalelefijo[/MENTION] mwenzetu ambaye huna mawazo mgando mbona unatoa mifano ya nchi ambazo ziliwaamini wapinzani lakini baada ya miaka 20 wakarudi kulekule walikotoka baada ya kugundua tatizo ni mfumo na wala siyo vyama...............rekebisha mfumo wa kiutawala na kuuleta mikononi mwa raia na hapo kutakuwa na uwajibikaji ambao ni endelevu..........................kama haya ni mawazo mgando hebu tusaidie mawazo yako ambayo ni ni ya kileo.