Maamuzi ya baraza la mawaziri sasa ni kinga ya Mafisadi?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Katika khali inayoonyesha kuwa serikali ya ccm inaoongozwa na taswira za upofu usio na tiba, sasa utetezi wa vinara wa kesi za ufisadi wamekuja na mbinu mpya kabisa........... wanatumia ubatili wa maamuzi wa vikao vya baraza la mawaziri na hata kumwita mahakamani kasisi wao Mkuu wa ufisadi Ben Mkapa kama ni kinga ya maovu waliyoyafanya dhidi ya raia wasio na hatia wa taifa hili!

kesi ya mahalu na wenzie ilifutwa kwa mbinu hizi chafu ambazo ni kinyume na sheria na ile ya Pesambili Mramba na wenzie inaonyesha mwelekeo uleule.........utetezi wenyewe una sura inayoshahibiana na hivi................kuwa serikali iliruhusu tuibe sasa kosa letu ni lipi..............na kama mnabisha iteni hata jemedari mkuu wa ufisadi ben Mkapa na hata wasaidizi wake wa karibu watawathibitishia hakuna rushwa kwa sababu baraza lote la mawaziri liliafiki tule na pengine hata baadhi yao ndiyo waliotutuma tuwaibie watanzania wanyonge...............kwa hiyo kama baraza zima la mawaziri liliweka tiki sasa sisi watekelezaji wa ufisadi tuna makosa gani kama wahariri wake hawaguswi siye tuna makosa gani...............................kwa lugha nyingine ni kuwa kama kweli taifa limeazimia kupambana na ufisadi inabidi tuanze kuliwajibisha baraza la mawaziri hususani mwenyekiti wa vikao hivyo..................kabla hatujawafikia dagaa kama hawa akina Pesambili, Mahalu na wenzao..............

wakiona hakimu hapokei rushwa wanamkataa na kutumia ushawishi wao kwa msajili wa mahakama kupata hakimu ambaye atatoa maamuzi wayatakayo........................

huu ni ushahidi tosheleza ya kuwa ufisadi unaanzia Ikulu na kutitirika hadi kwa balozi wa nyumba kumi na baadaye kwa kila raia kujivunia dhuluma................

Waswahili hulonga........"mwiba uingiliako ndiko utokeako."..............kwa vile ufisadi wote huanzia au kichocheo chake ni ikulu basi tuanzie huku kuushughulikia vinginevyo...................the war against graft is a huge distraction............................what do you think?
 
Rutashubanyuma inaonekana wanakaa pamoja kupanga mipango ya kifisadi na then kwa kesi kama hii akiitwa aliyekuwa mkuu wao anasema ilikuwa maamuzi ya baraza la mawaziri na waliamua kwa pamoja. Kwa maana nyingine hakuna makosa yaliyofanyika. Na hapo jamaa anakua ameokoka kwenda jela.
Huu ni usanii wa hali ya juu sana na ndo maana toka mwanzo watu walisema hizi kesi ni kiinimacho hakuna atakayefungwa kwa maamuzi haya. Na ndiko zinakoelekea kwa sasa kesi za akina Mramba na Yona na Mgonja.
Tanzania hii full usanii na kulindana kwa viongozi hawa ambao wanajua hata wakifanya madudu yupo wa kuwatetea na sheria na kanuni walizojitungia zinawalinda kwa kila hali na hawatafungwa kwa maamuzi waliyoyafanya.
 
Last edited by a moderator:

Mr Rocky khalafu utetezi ni kuwa tusiongelee kesi za ufisadi kwani ziko mahakamani ambako ni michoro tu ndiyo inaendelea...........
 
akina ngeleja zama zao zikifika watamtaja kikwete,,,,siku zinasonga,kwani umesahau ya mzee wa TICTS,KARAMAGI
 
Rutashubanyuma inaonekana wanakaa pamoja kupanga mipango ya kifisadi na then kwa kesi kama hii akiitwa aliyekuwa mkuu wao anasema ilikuwa maamuzi ya baraza la mawaziri na waliamua kwa pamoja. Kwa maana nyingine hakuna makosa yaliyofanyika. Na hapo jamaa anakua ameokoka kwenda jela.
Huu ni usanii wa hali ya juu sana na ndo maana toka mwanzo watu walisema hizi kesi ni kiinimacho hakuna atakayefungwa kwa maamuzi haya. Na ndiko zinakoelekea kwa sasa kesi za akina Mramba na Yona na Mgonja.
Tanzania hii full usanii na kulindana kwa viongozi hawa ambao wanajua hata wakifanya madudu yupo wa kuwatetea na sheria na kanuni walizojitungia zinawalinda kwa kila hali na hawatafungwa kwa maamuzi waliyoyafanya.

huku watanzania wanakenua kuwa kuna haki za kupelekana mahakaman,naanza kuhisi kwamba hata mpango wa kuwalaza mahabusu alina yona ulikua ni dili,,,si bure
 
Last edited by a moderator:
akina ngeleja zama zao zikifika watamtaja kikwete,,,,siku zinasonga,kwani umesahau ya mzee wa TICTS,KARAMAGI

Bajabiri hii inaonyesha usanii wa DPP na Takukuru............kuilinda Ikulu ili itumike kiuliza hivi baraza la mawaziri lipo juu ya sheria?
 
Last edited by a moderator:
huku watanzania wanakenua kuwa kuna haki za kupelekana mahakaman,naanza kuhisi kwamba hata mpango wa kuwalaza mahabusu alina yona ulikua ni dili,,,si bure
[MENTION]
Bajabiri[/MENTION] unapoona mahabusu inakarabatiwa ili viongozi wa ufisadi wawe na mahali pazuri pa kujaamiana na hawara zao.......ujue hakuna haki hapo ila kiini macho.............
 
Mzani wetu wa haki(scale of justice) ndo unazidi kuota kutu hivyo na mashaka kama utaweza kuhimili uzito wa kesi hizi mambo yanavyoelekea tayari umeshaelemewa kila kitu ni kiini macho tu hakuna kinachoendelea hapo.
 
MKAPA na CHENGE vinara wa ufisadi!hao ndio wanaomtetea mramba!
[MENTION]
BONGOLALA[/MENTION] lakujiuliza kwanini DPP na Takukuru hazkuwafikisha Mkapa & CO.............na kujificha kwenye kichaka cha watekelezaji badala ya kuwaburuta waasisi wa ufisadi ambao baadaye ndiyo huwa vinara wa kuhubiri....rada siyo ufisadi lakini hela za ufisadi zirudishwe ni mali ya watanzania..............................ikija RIchmond/Dowans.............walisema waliovunja sheria ya manunuzi ni baraza la mawaziri kwa hiyo Dowans hawana hatia...........................ilipokuja Kashfa ya ubalozi wa Italia................Mkapa ambaye ndiye mtuhumiwa nambari one akageuzwa kuwa shahidi..........na akajichoma kizimbani eti anatushangaa siye tunaolia na ufisadi wakati Ikulu ilibariki tuliwe...........................na sasa Mramba & CO> weanfuata nyayo..................swali hivi mshtakiwa nambari one Mkapa na JK kwanini hawaburutwi mahakamani wakajibu kama baraza la mawaziri lipo juu ya sheria?
 
hata magereza kwenyewe hawakuwa nalala ilikuwa geresha tu,mbwembwe nyingi na ving'ola eti anaenda segerea ikifika saa tano V8 tinted inamchukua mpaka home then asubuhi anarudi,.inakuwa kama anaamka asubuhi anaenda kazini na kurudi usiku,.hii ndo TEENTZ
 
Mzani wetu wa haki(scale of justice) ndo unazidi kuota kutu hivyo na mashaka kama utaweza kuhimili uzito wa kesi hizi mambo yanavyoelekea tayari umeshaelemewa kila kitu ni kiini macho tu hakuna kinachoendelea hapo.
[MENTION]
Kijereshi[/MENTION] inabidi tuendelee kuhoji jinsi taasisi ya DPP na takukuru ikiwemo idara ya usalama zinaundwa vipi na kama kweli zina mchango wowote katika maendeleo ya taifa...............au tumerundika watu kutafuna helza za umma ili kushamirisha dhuluma tu?
 
[h=2][/h]
Wale majaji fasta fasta kazi yao kubwa mahsusi ni kutumika kwenye kesi kama hizi
[MENTION]
vipik2[/MENTION] ukiona katiba mpya bado raisi na tume yake fekki ya kimahakama ndizo zinaendelea kuteau majaji ujue ya kuwa tumetapeliwa.........................................ajira zote za umma lazima zitangazwe kwenye vyombo vya umma na zitoe fursa sawa kwa wote kuziomba siyo huu utamaduni wa kupeana ugali kwa kujuana halafu kazi inakuwa kuteteana.................................katika ufisadi............
 
katika khali inayoonyesha kuwa serikali ya ccm inaoongozwa na taswira za upofu usio na tiba, sasa utetezi wa vinara wa kesi za ufisadi wamekuja na mbinu mpya kabisa........... Wanatumia ubatili wa maamuzi wa vikao vya baraza la mawaziri na hata kumwita mahakamani kasisi wao mkuu wa ufisadi ben mkapa kama ni kinga ya maovu waliyoyafanya dhidi ya raia wasio na hatia wa taifa hili!

Kesi ya mahalu na wenzie ilifutwa kwa mbinu hizi chafu ambazo ni kinyume na sheria na ile ya pesambili mramba na wenzie inaonyesha mwelekeo uleule.........utetezi wenyewe una sura inayoshahibiana na hivi................kuwa serikali iliruhusu tuibe sasa kosa letu ni lipi..............na kama mnabisha iteni hata jemedari mkuu wa ufisadi ben mkapa na hata wasaidizi wake wa karibu watawathibitishia hakuna rushwa kwa sababu baraza lote la mawaziri liliafiki tule na pengine hata baadhi yao ndiyo waliotutuma tuwaibie watanzania wanyonge...............kwa hiyo kama baraza zima la mawaziri liliweka tiki sasa sisi watekelezaji wa ufisadi tuna makosa gani kama wahariri wake hawaguswi siye tuna makosa gani...............................kwa lugha nyingine ni kuwa kama kweli taifa limeazimia kupambana na ufisadi inabidi tuanze kuliwajibisha baraza la mawaziri hususani mwenyekiti wa vikao hivyo..................kabla hatujawafikia dagaa kama hawa akina pesambili, mahalu na wenzao..............

Wakiona hakimu hapokei rushwa wanamkataa na kutumia ushawishi wao kwa msajili wa mahakama kupata hakimu ambaye atatoa maamuzi wayatakayo........................

Huu ni ushahidi tosheleza ya kuwa ufisadi unaanzia ikulu na kutitirika hadi kwa balozi wa nyumba kumi na baadaye kwa kila raia kujivunia dhuluma................

Waswahili hulonga........"mwiba uingiliako ndiko utokeako."..............kwa vile ufisadi wote huanzia au kichocheo chake ni ikulu basi tuanzie huku kuushughulikia vinginevyo...................the war against graft is a huge distraction............................what do you think?

kasisi maana yake nini mkuu?
 
Narudia tena jamani, tusitarajie serikali kumaliza baadhi ya matatizo yanayoonekana kwa wananchi wa kawaida nje ya mfumo wa viongozi wa serikali, kwa kuwa kwa upande wa serikali linaloonekana tatizo kwa mwananchi kwa kiwango kikubwa ni fursa kwa serikali na wale wanaoiendesha. Hivyo tusitarajie watu wanaofaidika na mfumo huo watukombowe na ndiyo maana wakati mwingine ni vigumu kumwondoa mtu ambaye amefika ngazi ya juu ya uongozi wa serikali kwa urahisi zaidi ya kumuhamisha kwa kuwa ukimtoa anaweza kutoa siri ya jinsi serikali inavyofaidika na mfumo uliopo au miundo iliyopo. Kwa kuwa serikali haiwezi kubadili fursa hizo ambazo sisi tunaziona ni matatizo, suala kubwa hapa ni sisi wananchi kubadilika na kufunguka kuona mwanga na giza ili kuanza kujikomboa na siyo kuisubiri serikali ikuletea neema mabayo hutakaa uione. Badilika mwananchi.
 
Katika khali inayoonyesha kuwa serikali ya ccm inaoongozwa na taswira za upofu usio na tiba, sasa utetezi wa vinara wa kesi za ufisadi wamekuja na mbinu mpya kabisa........... wanatumia ubatili wa maamuzi wa vikao vya baraza la mawaziri na hata kumwita mahakamani kasisi wao Mkuu wa ufisadi Ben Mkapa kama ni kinga ya maovu waliyoyafanya dhidi ya raia wasio na hatia wa taifa hili!

kesi ya mahalu na wenzie ilifutwa kwa mbinu hizi chafu ambazo ni kinyume na sheria na ile ya Pesambili Mramba na wenzie inaonyesha mwelekeo uleule.........utetezi wenyewe una sura inayoshahibiana na hivi................kuwa serikali iliruhusu tuibe sasa kosa letu ni lipi..............na kama mnabisha iteni hata jemedari mkuu wa ufisadi ben Mkapa na hata wasaidizi wake wa karibu watawathibitishia hakuna rushwa kwa sababu baraza lote la mawaziri liliafiki tule na pengine hata baadhi yao ndiyo waliotutuma tuwaibie watanzania wanyonge...............kwa hiyo kama baraza zima la mawaziri liliweka tiki sasa sisi watekelezaji wa ufisadi tuna makosa gani kama wahariri wake hawaguswi siye tuna makosa gani...............................kwa lugha nyingine ni kuwa kama kweli taifa limeazimia kupambana na ufisadi inabidi tuanze kuliwajibisha baraza la mawaziri hususani mwenyekiti wa vikao hivyo..................kabla hatujawafikia dagaa kama hawa akina Pesambili, Mahalu na wenzao..............

wakiona hakimu hapokei rushwa wanamkataa na kutumia ushawishi wao kwa msajili wa mahakama kupata hakimu ambaye atatoa maamuzi wayatakayo........................

huu ni ushahidi tosheleza ya kuwa ufisadi unaanzia Ikulu na kutitirika hadi kwa balozi wa nyumba kumi na baadaye kwa kila raia kujivunia dhuluma................

Waswahili hulonga........"mwiba uingiliako ndiko utokeako."..............kwa vile ufisadi wote huanzia au kichocheo chake ni ikulu basi tuanzie huku kuushughulikia vinginevyo...................the war against graft is a huge distraction............................what do you think?

ukiona harufu ya ufisadi huwezi kuacha kazi na kuresign? lazima ung'ang'anie tu madudu kwa sababu umeaambiwa na boss, wewe mwenye signature ndiyo unaenda jela na kufilisiwa kwa sababu kama ulikua mjinga kuona au siyo mzalendo kuona madudu yale kwa nini haukujitoa kwa kujiuzulu. Haya ndiyo haya haya ya EL anataka kusafishwa kwa kusema Richmond ni ya JK, sasa yeye hakuona madudu? aliona, hakuona kama taifa litaenda gizani na kupoteza hela? aliona, sasa analalamika nini kama ameonewa...hii tamaduni ya kutochukua personal responsibility katika uongozi ni ujinga mtupu
 
Kwa namna uelewa wa watanzania juu ya haki zao unavyoongezeka kwa kasi ndogo ndivyo CCM watakavyozidi kuwahadaa na kuzoa kura za watz wasiojua haki zao. Kwa hali hii naomba wanaCDM waongeze juhudi za kuwafumbua macho watz wajue namna fedha zao zinavyoliwa. Kwa baadhi ya wanakijiji ninaongea nao wanasema acha CCM wale hela maana si zao bali ni za Serikali! Inasikitisha!
 
Back
Top Bottom