Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,469
Kaunga are you really serious or there is a point you want to make?
Yaani nimemiss maneno kama hayo kwenye uzi huu, lakini mwishoni ni ile dini nyingine, ingekuwa ni majina mengine!
Kaunga are you really serious or there is a point you want to make?
Ndallo........................tatizo la Warioba naye ana ufisadi wake pale...........................kwenye EPA alilamba hela hadi leo hajawahi hata kutuomba msamaha wala kuzirejesha na leo ndiye anaaminika kutuandikia katiba mpya ya kutunyongelea mbali akidai ndiyomatakwa ya wadanganyika................
Katika khali inayoonyesha kuwa serikali ya ccm inaoongozwa na taswira za upofu usio na tiba, sasa utetezi wa vinara wa kesi za ufisadi wamekuja na mbinu mpya kabisa........... wanatumia ubatili wa maamuzi wa vikao vya baraza la mawaziri na hata kumwita mahakamani kasisi wao Mkuu wa ufisadi Ben Mkapa kama ni kinga ya maovu waliyoyafanya dhidi ya raia wasio na hatia wa taifa hili!
kesi ya mahalu na wenzie ilifutwa kwa mbinu hizi chafu ambazo ni kinyume na sheria na ile ya Pesambili Mramba na wenzie inaonyesha mwelekeo uleule.........utetezi wenyewe una sura inayoshahibiana na hivi................kuwa serikali iliruhusu tuibe sasa kosa letu ni lipi..............na kama mnabisha iteni hata jemedari mkuu wa ufisadi ben Mkapa na hata wasaidizi wake wa karibu watawathibitishia hakuna rushwa kwa sababu baraza lote la mawaziri liliafiki tule na pengine hata baadhi yao ndiyo waliotutuma tuwaibie watanzania wanyonge...............kwa hiyo kama baraza zima la mawaziri liliweka tiki sasa sisi watekelezaji wa ufisadi tuna makosa gani kama wahariri wake hawaguswi siye tuna makosa gani...............................kwa lugha nyingine ni kuwa kama kweli taifa limeazimia kupambana na ufisadi inabidi tuanze kuliwajibisha baraza la mawaziri hususani mwenyekiti wa vikao hivyo..................kabla hatujawafikia dagaa kama hawa akina Pesambili, Mahalu na wenzao..............
wakiona hakimu hapokei rushwa wanamkataa na kutumia ushawishi wao kwa msajili wa mahakama kupata hakimu ambaye atatoa maamuzi wayatakayo........................
huu ni ushahidi tosheleza ya kuwa ufisadi unaanzia Ikulu na kutitirika hadi kwa balozi wa nyumba kumi na baadaye kwa kila raia kujivunia dhuluma................
Waswahili hulonga........"mwiba uingiliako ndiko utokeako."..............kwa vile ufisadi wote huanzia au kichocheo chake ni ikulu basi tuanzie huku kuushughulikia vinginevyo...................the war against graft is a huge distraction............................what do you think?
inanipelekea kufikiri kwamba muda wa kuandika katiba mpya bado kwa vile uelewa wa wa-Tanzania walio wengi bado ni mdogo na unawapa nafasi wanasiasa wapotoshaji kupenyeza ajenda zao za ki-chama kwa kuangalia waliopo madarakani na sio kuandaa mfumo ambao utadhibiti watakaokuwa wameshikilia uongozi. mchezo wa sasa ni kulindana kwa sana na kwa siku za karibuni tusitegemee chochote kwani mahakama, bunge na utawala kama vile sauti yao ni moja badala ya kila mmoja kuwa mlinzi wa mwenzake, akisema mmoja hata kama kakosea wengine wanafyatavipik2 ukiona katiba mpya bado raisi na tume yake fekki ya kimahakama ndizo zinaendelea kuteau majaji ujue ya kuwa tumetapeliwa.........................................ajira zote za umma lazima zitangazwe kwenye vyombo vya umma na zitoe fursa sawa kwa wote kuziomba siyo huu utamaduni wa kupeana ugali kwa kujuana halafu kazi inakuwa kuteteana.................................katika ufisadi............
.
mtu chake........... Tatizo la hawa wagagagikoko ni kuwa..........................baraza la mawziri kamwe haliko juu ya sheria sanasana wanachofanikiwa kufanya ni kuiumbua serikali yao kuwa fisadi mkuu na nambari one ni Raisi wa jamhuri wa Muungano ambao ni ukweli lakini je kisiasa huo ni utetezi kweli?
Kisheria yawezekana ukawa ni utetezi kwa kudai mbona kambale hamjakamata mmenikamata mie dagaa.......tu kwa hiyo mmenibagua......................................lakini utetezi wa kipumbavu kama huo unathibitisha ufisadi ulifanyika ila kuna hila y kumlinda bosi wao ambaye ndiye Raisi..............sasa hapo inaoonyesha ofisi ya DPP, AG na Takukuru haziko huru katika kufanya kazi zao..................vibosile pale hawana uhalali wa ofisi zao kwa sababu mbeleko za kuwabeba zinatoka kwa ridhaa ya fisadi mkuu ambaye ndiye Raisi na kawaweka pale ili wamsaidie kufunika maovu yako dhidi ya jamii.....
Kijereshi inabidi tuendelee kuhoji jinsi taasisi ya DPP na takukuru ikiwemo idara ya usalama zinaundwa vipi na kama kweli zina mchango wowote katika maendeleo ya taifa...............au tumerundika watu kutafuna helza za umma ili kushamirisha dhuluma tu?
Tetty na tudadasi hivi hawa maharamia ni vigezo vipi hutumika kuwateua kwa usiri mkubwa..................mbona raia waote hawapewi fursa sawa ya kuziomba nafasi husika?
mbona ushauri wa TISS na vyombo vingevyo haujaweza kutuletea viongozi bora......................tatizo liko wapi?
Katika khali inayoonyesha kuwa serikali ya ccm inaoongozwa na taswira za upofu usio na tiba, sasa utetezi wa vinara wa kesi za ufisadi wamekuja na mbinu mpya kabisa........... wanatumia ubatili wa maamuzi wa vikao vya baraza la mawaziri na hata kumwita mahakamani kasisi wao Mkuu wa ufisadi Ben Mkapa kama ni kinga ya maovu waliyoyafanya dhidi ya raia wasio na hatia wa taifa hili!
kesi ya mahalu na wenzie ilifutwa kwa mbinu hizi chafu ambazo ni kinyume na sheria na ile ya Pesambili Mramba na wenzie inaonyesha mwelekeo uleule.........utetezi wenyewe una sura inayoshahibiana na hivi................kuwa serikali iliruhusu tuibe sasa kosa letu ni lipi..............na kama mnabisha iteni hata jemedari mkuu wa ufisadi ben Mkapa na hata wasaidizi wake wa karibu watawathibitishia hakuna rushwa kwa sababu baraza lote la mawaziri liliafiki tule na pengine hata baadhi yao ndiyo waliotutuma tuwaibie watanzania wanyonge...............kwa hiyo kama baraza zima la mawaziri liliweka tiki sasa sisi watekelezaji wa ufisadi tuna makosa gani kama wahariri wake hawaguswi siye tuna makosa gani...............................kwa lugha nyingine ni kuwa kama kweli taifa limeazimia kupambana na ufisadi inabidi tuanze kuliwajibisha baraza la mawaziri hususani mwenyekiti wa vikao hivyo..................kabla hatujawafikia dagaa kama hawa akina Pesambili, Mahalu na wenzao..............
wakiona hakimu hapokei rushwa wanamkataa na kutumia ushawishi wao kwa msajili wa mahakama kupata hakimu ambaye atatoa maamuzi wayatakayo........................
huu ni ushahidi tosheleza ya kuwa ufisadi unaanzia Ikulu na kutitirika hadi kwa balozi wa nyumba kumi na baadaye kwa kila raia kujivunia dhuluma................
Waswahili hulonga........"mwiba uingiliako ndiko utokeako."..............kwa vile ufisadi wote huanzia au kichocheo chake ni ikulu basi tuanzie huku kuushughulikia vinginevyo...................the war against graft is a huge distraction............................what do you think?
inanipelekea kufikiri kwamba muda wa kuandika katiba mpya bado kwa vile uelewa wa wa-Tanzania walio wengi bado ni mdogo na unawapa nafasi wanasiasa wapotoshaji kupenyeza ajenda zao za ki-chama kwa kuangalia waliopo madarakani na sio kuandaa mfumo ambao utadhibiti watakaokuwa wameshikilia uongozi. mchezo wa sasa ni kulindana kwa sana na kwa siku za karibuni tusitegemee chochote kwani mahakama, bunge na utawala kama vile sauti yao ni moja badala ya kila mmoja kuwa mlinzi wa mwenzake, akisema mmoja hata kama kakosea wengine wanafyata
[MENTION]kesi ya Mahalu haikufutwa kwa sababu hizo..Ilifutwa kwa kuwa ilikuwa ni kesi yenye majungu na upuuzi mtupu..so hakukuwa na jambo la maana katika kesi ile..wa kulaumiwa ni Jk anayefanya mambo kwa visasi
[MENTION]Rutu ya a, hapa Tanzania watendaji wetu wanashindwa kuwa na hofu ya Mungu na ndio maana tumeweka vyombo visivyojulikana ili kuwajengea wanannchi hofu ya kuhoji. Bwana Yesu alisema vizuri kuwa hakuna nayewasha taa na kuiweka uvunguni bali huweka juu ya meza ili ipate kuwamulika watu. Sasa hiyo TISS ni kama taa iliyowekwa chini ya uvungu wa kitanda na hatujui inammulika nani. Na kwa jinsi ilivyoshindwa kujua majukumu yake ni kuwasaidia watu gani-vionogozi tena wasio na tija au wananchi sasa inajitokeza kujibu shutuma kiajabu ajabu. Mambo ya aibu yaefanyika wakati eti tuna chombo nyeti kilichoshindwa kuzuaia hayo mambo-EPA, RICHMOND, Meremeta, Tangold, Symbion, BOT Majengo Pacha, ATC na ukodishwaji wa ndege, TICS, Bandari, oh litania ni ndefu. We need overghaul. Kenya wamelijua ndio maana kazi nyingi za utendaji sasa hivi zinatangzwa na watu wanaomba na kufayiwa usahili kweupe katika jua la utosi na kila mwananchi anaona na kufatilia
[MENTION]Ruta, TAKUKURU inawezekana uundwaji wake ulikuwa na nia nzuri lakini watendaji wake coupled with uteuzi ni questionable na kauli zao nafikiri zinahakisi utendaji wao. Kumbuka incumbent oaboss alikabidhiwa mikoba ya mtangulizi wake wakati mtangulizi alikuwa hajatoa barua ya kujihudhuru au kufutwa kazi. Katika hali ya ukweli na uwazi (truth and transparency) huu sio utendauji uliojaa weredi na kusudio la kuwasaidia walengwa wanaoumizwa na vitendo vibaya vya rushwa. Kwanza kwa mtuliwa huwezi hata siku moja ukajiamini maana wakati wote unaogopa kivuli chako ukifikiri umma wanajua umehusika kumchongea mtangulizi wako, umeshindwa kuwa na kiburi cha kumwambia mteuzi afate uthristimas naaratibu hata kama mamlaka anayo lakini anatakiwa aongozwe na reservation na mwisho lazima ufanye kila kitu kwa kumfurahisha mteuzi ili lisije likakukuta lilimsibu mtangulizi. Huyu ndiye kinara wa kupambana na rushwa mtoto wa uteuzi wenye utata na maamuzi lazima yawe tata. Kwa mfano nitawapa sikukuu ya Christimas na Mwaka Mpya wakati wa saga la Richmond na mwisho aliishia kuwa hakimu wakati kazi yake ni kutetea kesi mahakamani. Angekuwa mkweli bunge lilipokuwa na shaka na maamuzi yake na kulijadili upya hata kabla Tume ya Mwakyebe haijamtuhumu alipaswa awe amejiuzuru na heshima yake mbele ya umma ingekuwa kubwa. Sasa katika taasisi yenye utata wa aina hii inabidi ifanyiwe overhaul maana naona ni kama pesa za walipa kodi zinaliwa bure maana through this institutions the county does niriot enjoy value for money. Afisa wa PCCB anachukua usafiri wa umma anatembea for some kilomenters kufukuzana na traffic polisi aliyekula rushwa chini ya laki moja au hakimu wa mahakama ya mwanzo aliyekula 50k, kweli hapa kuna logical and strategic decisions. Operational Costs kubwa kuliko alichoenda kukamata hapo hatujasema risk. Hawa wala rushwa ndogondogo wanahitaji kuboreshewa viapato vyao wa kuangaika nao ni wale waliosaini mikataba mikubwa ambayo kwayo tunapata ahsara ya trilions of money. PCCB ivunjwe, iundwe upya ipewe job descriptions that will hatch value for money na isteuliwe na wanasiasa bali na kamati maalumu ya bunge na wahisika wake waombe kazi sio uteuzi halafu iwajibike kwa bungw au mahakama na sio ikulu
[MENTION]Hakuna alie msafi ndani ya ccm!