Hapana sio la Muungano ,ni mwanasiasa mashuhuri katika siasa za Tanzania na East Africa ,na pia naweza kusema ni mdau wa harakati za ukombozi hapa Tanzania dhini ya ukoloni mweusi.
Sometimes baba akifukuzwa kazi huwezi kuwafahamisha watoto wote,ni kwa usalama zaidi na kuepuka maswali mengi hasa kama hakuna majibu ya maswali.cha ajabu hapa ni ukimya uliopo, kama Pinda kwenda check up tunaambiwa, kwani yeye kimya kimya?
kuna taarifa zilioenea chini kwa chini kuwa makamo wa kwanza wa raisi wa zanzibar maalim seif sharif hamadi ni mgonjwa.
Nashangaa tu habari hii imekuwa kama imefichwa sijaisikia kwenye magazeti wala vyombo vya habari.
Mwenyezi mungu amjaalie uzima na arudi katika afya yake ya kawaida.
Umenena mkuu.Mkuu Mwiba Maalim Seif ni maarufu Zanzibar tu huku bara tunamwona kama mwanasiasa mpenda madaraka na siasa za utengano baina ya Tanzania bara na Zanzibar kaziasisi Maalim Seif kupitia chama chake cha CUF na kikundi chake cha kigaidi Uamusho.
Laana ya kuchoma makanisa na vibanda vya biashara vya watu wa Tanzania bara inamtafuna.
Na yule aliyekua na ugonjwa wa kuangukaanguka vipi alishapona??
Hata Lowassa nae tunasikia kila mara mgonjwa, lakini inafichwa fichwa (sijui ndo urais 2015)!
usiwasemee watanganyika kama ni ukafiri umekukaa wewe tu.Umenena mkuu.
Maalim Sefu ndiye muasisi wa mfarakano ulipo sasa ndani ya Muungano akisaidiwa na Karume.
Hao vile vile ndo waasisi wa Uamsho Zanzibar.
Kitendo cha kuchoma nyumba za ibada huko Zanzibar kama wana husika basi dhambi hiyo itawatesa hadi watubu hadharani.
Kama binadamu tumamtakia kila la heri na mgogoro wake wa afya lakini Watanganyika hawatasikitika kumwona akitoweka.
Dhambi zamtafuna huyu Mwarabu mweusi. Pole Sefu
usiwasemee watanganyika kama ni ukafiri umekukaa wewe tu.
Umenena mkuu.
Maalim Sefu ndiye muasisi wa mfarakano ulipo sasa ndani ya Muungano akisaidiwa na Karume.
Hao vile vile ndo waasisi wa Uamsho Zanzibar.
Kitendo cha kuchoma nyumba za ibada huko Zanzibar kama wana husika basi dhambi hiyo itawatesa hadi watubu hadharani.
Kama binadamu tumamtakia kila la heri na mgogoro wake wa afya lakini Watanganyika hawatasikitika kumwona akitoweka.
Kuna taarifa zilioenea chini kwa chini kuwa Makamo wa Kwanza wa Raisi wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi ni mgonjwa.
Nashangaa tu habari hii imekuwa kama imefichwa sijaisikia kwenye magazeti wala vyombo vya habari.
Mwenyezi Mungu amjaalie uzima na arudi katika afya yake ya kawaida.
Tujulishe vizuri maanake uoga umetujaa!! wapiganaji wetu wakiumwa. Ukiona nyasi unaona nyoka baada ya kuumwa na nyoka aka TISS!!Kuna taarifa zilioenea chini kwa chini kuwa Makamo wa Kwanza wa Raisi wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamadi ni mgonjwa.
Nashangaa tu habari hii imekuwa kama imefichwa sijaisikia kwenye magazeti wala vyombo vya habari.
Mwenyezi Mungu amjaalie uzima na arudi katika afya yake ya kawaida.
Mkuu uwe mkweli katika nafsi yako."waonesha chuki binafsi tu ulizonazo juu ya Maalim Seif. wewe unaona huu uliopo ni mfarakano? kwa taarifa yako hata wakati marehem Shk Karume alivyouwawa hakuwa akiongea na Nyerere (LAllah) kisa ni huu huu muungano. Jumbe alifukuzwa Urais wa Znz kisa huu huu muungano, humtendei haki kusema Maalim ndie muasisi wa "mfarakano"! Watanganyika msisikitike mkimuona kaondoka, hata sisi hatukusikitika alivyoondoka Nyerere (LAllah) .... kila mmoja na uoni wake" ........ Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, KWANZA!"