Maalim Seif Ndani ya Star Tv Tuongee Asubuhi

Alexandry Nemesi

JF-Expert Member
Jun 7, 2014
1,494
568
Makamu wa Rais wa SMZ Mh.Maalim Seif Yupo ndani ya Star Tv Kipindi Cha Tuongee Asubuhi Muda huu Mada ikiwa ni Siasa za Znz na hatma ya Muungano.

Video.

Last edited by a moderator:
Hana kitu kabakiza madevu tu lakini mengine hakuna kitu tuone hayo madevu kama yanasaidia kitu kuongoza watu.
 
Makamu wa Rais wa SMZ Mh.Maalim Seif Yupo ndani ya Star Tv Kipindi Cha Tuongee Asubuhi Muda huu Mada ikiwa ni Siasa za Znz na hatma ya Muungano
Huyu jamaa angeenda tu kwa wazazi wake huko omani anajisumbua tu huku zanzibar hatakiwi.
 
huyu mzee nilikuwa namkubali sana,ila sasa kapoteza mvuto.

Nimegunduwa wanasiasa wengi wa tz wanatamaa na madaraka tu na sio kama tunavyofikiri wananchi
 
huyu mzee nilikuwa namkubali sana,ila sasa kapoteza mvuto.

Nimegunduwa wanasiasa wengi wa tz wanatamaa na madaraka tu na sio kama tunavyofikiri wananchi

Acha kupotosha watu wewe.hili ndio jembe linalopigania serikali tatu
 
huyu mzee nilikuwa namkubali sana,ila sasa kapoteza mvuto.

Nimegunduwa wanasiasa wengi wa tz wanatamaa na madaraka tu na sio kama tunavyofikiri wananchi

Hivi wewe unavyoona leo hii hili ''zee la madevu'' likisimamishwa na Shein pale Zanzibar, kuwe na fair play, nani ana mvuto kwa wazanziba,. Siasa ni target ndugu yangu, japo mimi siipendi
 
CCM nmeichoka xna chochote wanachoongea nahc wananichukiza tu
 
Makamu wa Rais wa SMZ Mh.Maalim Seif Yupo ndani ya Star Tv Kipindi Cha Tuongee Asubuhi Muda huu Mada ikiwa ni Siasa za Znz na hatma ya Muungano

Nimemwona Na Kumfuatilia Mwanzo Mwisho Japo Alikuwa Very Subjective Hata ktk Mambo Ambayo Ni Ya Kimsingi ILA Kuna Mengi Ameyatolea Ufafanuzi Wa Kina Na Kutufunua Sisi WADANGANYIKA! Hata Hivyo Kwa Jicho Langu Kali La Tai Naona Angeachana Tu Na Siasa Kwa Sasa Kwani Kiutaalam Hana Afya Nzuri ( TAHADHARI HAPA Si UKIMWI wala EBOLA ) ila Nahisi Kwa Hayo Mengine Yaliyobaki Hatakosekana Nayo. Cha Msingi Ajaribu Sana Kumuandaa Vyema Mrithi Wake!
 
Suala la afya kuwa na Mgogoro si lake peke yake. Nasikia hata Mgombea mwingine wa Rais wa Muungano afya yake ina mgogoro lakini akazidi kutoa Pesa akipate hicho cheo.
 
MVUTANO KATIBA: Maalim Seif kupitia Star TV leo asema ataongoza kampeni kuhakikisha Wanzazibar wanaikataa rasimu itakayopendekeza kuwa na serikali mbili.
 
Huyu Mh ni mroho wa madaraka kwani umri nao umeshamtupa mkono alitakiwa ang'atuke kwa heshima akawapisha vijana tena wananguvu kisiasa yy angebaki kuwa baba wa taifa kwa zanzibar tena angejenga historia ya zanziba na ulimwenguni pote leo nimemsikiliza kwa makini sana nilichogundua na ni mlevi wa madaraka ,kwani ameshajenga historia kisiasa anaheshima yake wala hatutoweza kumsahau huu ni wakati wa vijana amuachie Mansuri Yusufu Himidi yuko fiti kwa nafisi ya urais wa zanzibar zanzibar kwanza ,,,
 
Hana kitu kabakiza madevu tu lakini mengine hakuna kitu tuone hayo madevu kama yanasaidia kitu kuongoza watu.

Ritz mwone mwana ccm mwenzio anavyokejeli waislam na uislam
 
Last edited by a moderator:
Kiukweli wengi wenu mulochangia nahis ni wana ccm au ni wa tanganyika hamuijui hali halis ya znzbr hemu jaribuni jutembea muijue ipo vp na musidanganywe na majarida ya vibaraka wenu. Namaanisha kwamba huyu jamaa anakkuubaliwa sana na wa znzbr. Na alichingea leo ni sawa kabisa ingawa kuna watu imewachoma.
 
Mmoja wao ni ww mm nilijua tu atajitokeza hapahapa pole kaka hiyo ndio hali halis hata ikikuuma
 
Back
Top Bottom