kwa watu wenye akili za ufisadi ama wamepitia mahali walipopita mafisadi wanaweza kunizika hai
dogo mimi chuo nilisoma nje now nafanya kazi
dogo mimi chuo nilisoma nje now nafanya kazi
ulisoma india sio?
dogo mimi nimesoma hamburg
weka kwanza ya kwako hapa
Hivi kwa nini watu walioomba udsm wakakosa wanalalama hivi! nendeni mlikopangiwa wacheni kulalama au subirini mwaka kesho. Mnapoteza muda kuandika mambo yasio na mshiko kila siku hapa.