maajabu ya udsm sehemu ya II

kingxvi

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
879
150
kumbe ile research institution inayolalamikiwa kila siku na wananchi REDET ipo chini ya udsm?
Kumbe mwigulu lowassa j.k, wamesoma pale?
Hata dr michael kadeghe kumbe alikuwa pale?
 
We umetoswa na udsm,umebaki kulialia ovyo.pole kwa kuwa kilaza!
 
kwa watu wenye akili za ufisadi ama wamepitia mahali walipopita mafisadi wanaweza kunizika hai

wewe ni miongoni mwa watu mlioko kwenye maajabu ya JF, kwanini uji na solutions ya hayo unayoyasema?? sasa unatoa heading kamili alafu ndani ni maswali!
 
wewe ni miongoni mwa watu mlioko kwenye maajabu ya JF, kwanini uji na solutions ya hayo unayoyasema?? sasa unatoa heading kamili alafu ndani ni maswali!

dogo mimi nimesoma hamburg
 
duh, wakuu mna maswali mazito jamani...muacheni kiongozi jamani mnamchanganya sasa! hahahahaha!!!!!!!!
 
Hivi kwa nini watu walioomba udsm wakakosa wanalalama hivi! nendeni mlikopangiwa wacheni kulalama au subirini mwaka kesho. Mnapoteza muda kuandika mambo yasio na mshiko kila siku hapa.
 
Hivi kwa nini watu walioomba udsm wakakosa wanalalama hivi! nendeni mlikopangiwa wacheni kulalama au subirini mwaka kesho. Mnapoteza muda kuandika mambo yasio na mshiko kila siku hapa.

Hivi udsm ina hatimiliki ya maisha bora baada ya kumaliza chuo?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom