Atabase Agaya
Senior Member
- Dec 7, 2011
- 120
- 41
Hakuna maajabu yoyote ktk number tatu! Every number is special in its own special way, and I think every number should be awarded a handsome certicate of participation suitable for framing.
Siku imegawanyika sehemu tatu. asbuhi, mchana, jioni.
Habar wanajamv,
nimejiuliza kwann namba tatu inatumika sana kwenye mambo mbalimbali
lakini sijapata jibu! hebu jionee mwenyewe
1. Ushindi mzur katka soka ni goli tatu kwa sifuri.
2. Mara nyingi ukiumwa unapewa dawa na unatakiwa kunywa kutwa mara 3
3. Kila siku tunashauriwa kula milo mitatu yaani asubuh, mchana na jion.
4. Katika uandikishaji wa majina sehem mbalimbali yanaandikwa matatu
yaani la kwako,la baba na la babu.
5. Kwenye mashindano mengi, ushindi mzito huishia namba tatu, mfano
michezon, darasani n.k
6. Hata katika kuingiza neno la siri (password) mwsho mara 3, mfano
ukikosea kuweka password kwenye ATM, kadi inamezwa
7. Hata kupima maradh mbalimbal hasa ukimwi inashauriwa kupima mara 3
ili kupata majibu ya uhakika.
8. Kujiunga kidato cha tano n lazima walau uwe na credit 3
9. Hata katika kuanza shughuli au tukio mfano kwenye riadha, wanahesabu
mpaka 3 ndipo mbio huanza.
10. Hata kumpongeza mtu au jambo katika hafla mbalimbali mara nyingi
hupigwa makofi matatu.
Kwa leo inatosha, na nyie ongezeni myajuayo kuhusu namba 3.
....sema essay huwa na sehem 3... Intr. Main body. Conclusion.
Na mimi nimezaliwa tarehe 3, na kubatizwa tarehe 3.